Uuzaji wa mashamba

Unique Flower

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
12,714
24,890
Kwakweli naombeni matapeli madalali msinipigie ,mnasema mnauza mashamba natafuta mteja tunaanza kuzunguka tu kama pia.

Tuelewane.

Hii namba ni kwa ajili ya wateja sio mniharibie kazi .

Ila kama kuna mteja anahitaji kiwanja na mashamba Arusha aniambie na bajeti yake ili tumtafutie .
 
Mimi ni nauza viwanja na heka kwa walionavyoo sasa mtu jana amedai yeye anauza viwanja nimempeleka mtu akavione tumezunguka mwisho wa siku hana cha kutuonyesha
Niuzie vyangu, vina hati ya wizara. Vipo Mwasonga, Kigamboni.
 
Viwanja vya halal ni vya kikatiti na maji ya chai na king'ori, na boma ila kama unataka mahali pengine tupige simu ya chapu
 
Kikatiti kwa bajeti ya 3M mtu anaweza kupata ngapi kwa ngapi mama?
Maroroni ndio unaweza pata 20 kwa 15 ila nipigie kwa hii namba👇 niulizie kwa kikatiti kama vitapatikana kwa hiyo bei 0699 22 79 42 .
Ili nikujulishe maana vile 20 kwa 30 ambavyo ni 5ml viliisha.
 
Back
Top Bottom