uuzaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    SI KWELI Wananchi wa Zimbabwe huuza vidole ili wajipatie kipato

    Hivi karibuni kulizuka uvumi wa watu kulipa hela nyingi kununua vidole vya miguu nchini Zimbabwe. Je, Ukweli ukoje?
  2. MERCENARY2015

    Wakala wa uuzaji wa Jumla Cement aina ya SIMBA Arusha

    Salamu Wakuu Kwa muda mrefu sasa nilikuwa na mpango wa kufungua biashara ya kuuza CEMENT kwa bei ya rejareja mkoani Arusha. Wakuu naomba kupata mawasiliano au kuunganishwa na wakala anayeuza CEMENT za Kampuni ya SIMBA kwa bei ya Jumla. Kwa sasa nipo mkoa wa Arusha, hasa ukizingatia pia...
  3. SOVIET UNION

    Waziri Bashe aache sifa apige marufuku Uuzaji wa Chakula nje

    India mwezi jana ilipiga marufuku kuuza ngano nje ili kulinda soko la ndani make bei ya ngano kule India ilikuwa imeanza kupanda kwa kasi sana. Kumbuka wale Ngano ndo chakula kikuu na Wali pia. India ni mzalishaji mkubwa wa Ngano Duniani lakini iliona hatari kwa raia wake kuuziwa ngano bei ya...
  4. Kitandu Nkoru

    Uuzaji wa vidole vya miguu Zimbabwe

    Taarifa hiyo kwamba raia wa Zimbabwe wanauza vidole vyao vya miguuni ili kukabiliana na umasikini imesambaa sana nchini Nigeria. Mwanablogu mmoja wa Zimbabwe amedai kwamba biashara hiyo inafanyika katika kituo kimoja cha maduka katika mji mkuu Harare. Inanukuua ujumbe wa WhatsApp ukiwa na...
  5. L

    Kenya na Uganda kufanya uuzaji wa pamoja ili kuvutia watalii wa nje

    Kenya na Uganda zinatarajiwa kuanza kufanya shughuli za uuzaji wa pamoja ili kuvutia watalii kutoka nje. Akiongea kwenye uzinduzi wa maonesho ya barabarani yaliyoandaliwa na Bodi ya Utalii ya Uganda (UTB), Mkurugenzi Mkuu wa Shirikisho la Waendesha Utalii wa Kenya Fred Kaigua amesema jijini...
  6. L

    Uuzaji wa bidhaa za photovoltaic za China nje ya nchi wapanda kwa asilimia 60 mwaka 2021

    China imeshuhudia uuzaji mwingi wa bidhaa zake za photovoltaic (PV) nje ya nchi mwaka jana wakati dunia inaongeza juhudi za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Kwa mujibu wa Wizara ya Viwanda na TEHAMA, mwaka 2021 uuzaji nje wa bidhaa za PV za China ulipita dola za kimarekani bilioni 28.4...
  7. Aliko Musa

    Natafuta kazi ya kujitolea bure kwenye mambo yote yahusuyo ujenzi, nyumba za kupangisha na uuzaji ardhi

    Naitwa Aliko Musa. Ninaishi Mbeya mjini. Mimi ni mwandishi na mshauri mbobezi wa masuala ya uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Ninaandika makala kupitia mtandao wa UWEKEZAJI MAJENGO BLOG. Kupitia mtandao huu ninawashirikisha watu mbinu bora za kuwekeza kwenye ardhi na majengo ili kujenga...
  8. kidadari

    Ukweli kuhusu kampuni ya upimaji na uuzaji wa viwanja ya Cdqlink investment company

    Nimeifuatilia hii kampuni kwa kweli inauza viwanja kwa bei rafiki na wanaruhusu kulipa kidogokidogo ila changamoto inakuja kwenye page yao wanayotumia ya instagram wamelimit coments kiasi wateja hawawezi coments zaidi ya kuwasiliana kwa namba za simu tuu. Kampuni inajitanabaisha kua...
  9. M

    Waziri Gwajima umechemka kuhusu Uuzaji wa Damu unaodai unafanywa na Watumishi wa Wizara ya Afya. Hujui ufanyalo

    Waziri wa Afya Dr Gwajima Katika hotuba yake aliyoitoa kwa watumishi ambapo aliwaonya kuhusu kununua damu au kwa watumishi kuuza damu na kudsi ni kosa hivyo anatoa eti mwezi kwa yoyote atakayebainika atachukuliwa hatua kali za kisheria. Cha Ajabu akiwa kama Waziri wa Afya kwanza Watumishi Wote...
  10. L

    Kuingia kwa majukwaa ya uuzaji wa mtandaoni ya China barani Afrika ni fursa mpya kwa biashara na uchumi

    Na Ronald Mutie Mwaka 2020 mwezi Mei, takriban tani 1.5 za kahawa ya Rwanda ziliuzwa ndani ya dakika moja tu wakati wa tukio la uuzaji wa moja kwa moja mtandaoni lililolenga kutangaza kahawa ya Rwanda kwenye soko na wateja wa China. Uuzaji huo ulikuwa umeandaliwa na kampuni kubwa zaidi...
  11. Mzee makoti

    Profesa Assad ahoji usiri wa uuzaji Nyumba za Serikali

    Sakata la uuzaji wa nyumba za Serikali limeibuliwa upya na aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Musa Assad akikosoa utaratibu uliotumika kuziuza. Dodoma. Utaratibu uliotumika kuuza nyumba za Serikali umekosolewa kutokana na kutolihusisha Bunge kama chombo cha...
  12. Chance ndoto

    Mawazo katika kufanikiwa kwenye biashara ya Tofali haswa kwenye Miji inayokuwa

    Habari wana Jamvi. Leo nimejifikiria kuhusu Biashara ya tofali naamini kila mtu kwa nafasi yake ameshiriki katika biashara hii. Leo ningependa tuelezane mambo kadha wa kadha kuhusu biashara hii, jinsi yakufanikiwa zaidi na zaidi, uendeshaji na maono yako kwa mfanyabiashara baada ya miaka...
  13. T

    Uuzaji wa cement kwa rejareja

    Habari naomba kuuliza changamoto za uuzaji wa cement kwa rejareja na faida zake na hasara zake. Pia naomba kwa mwenye uzoefu chumba kimoja cha futi kumi kwa kumi kinachukua mifuko mingapi ya cement (yaani kina uwezo wa kupokea mifuko mingapi kwa wakati mmoja) ni cement ipi yenye faida nzuri na...
  14. M

    CCM hivi Kesi ya Uwizi na Uuzaji wa Magari yetu ya Haji Manara hatuwezi Kuifufua ili akaozee tu Jela?

    Nasubiri majibu yenu CCM Makao Makuu au hapo Lumumba juu ya hili kwani Sisi wana CCM tunayahitaji yale Magari ili tuweze Kumtangaza zaidi Bi. Hangaya na Tanzania yake. Huyu Haji Manara anatakiwa awe Jela.
  15. jperson

    Msaada kisheria juu ya uuzaji na ununuzi wa nyumba

    SCENARIO [emoji1484] (A). Tuseme ni Ayuoub( ni mmliki wa nyumba) . (S).Tuseme ni Salim ( mteja wa nyumba ya Ayoub 2014). (P).Tuseme ni peter pia nae ni ( mteja wa nyumba ya ayoub 2019 ). Ayoub ni mmliki wa nyumba ndani ya manisipa iliopo ndani ya jiji X .mwaka 2014 alipokea kiasi cha shilingi...
Back
Top Bottom