Rog chimera
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 428
- 766
Wanajukwaa kweli nimeamini kuajiriwa ni utumwa,ukiingia jukwaa la ajira na tender ndo utajionea waajiriwa walivyo na hali ngumu.
Kila kona ni vilio na kero. Kuanzia halmshauri ya Itigi mpka uko mtwara ndani ndani ni vilio tu vya kunyimwa fedha za kujikimu, kutopandishwa madaraja na kadhalika na kadhalika. Waajariwa wengi ni watu manungaembe akili zao ziko dormant.
Mkome kabisa, mlishindwa ata kukaanga vitumbua mkapange barabarani???😂😂😂