Imekua ni dhana iliyoko kwenye vichwa vya watu wengi hasa watumishi, wapya na wengine wazoefu kuwa kufanya kazi kwenye kata ni jambo gumu sana kuweza kulitekeleza, na hiyo inathibitika kutokana na hali ilivyo katika kata nyingi nchini Tanzania. Watumishi wengi wanaofanya shughuli zao kwenye kata...