uteuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. UTEUZI: Rais Samia amefanya mabadiliko madogo ya Makatibu Wakuu

    Rais Samia amefanya mabadiliko madogo ya Makatibu Wakuu 1. Dkt. Francis Michael amehamishiwa Wizara ya Elimu, sayansi na teknolojia 2. Prof. Eliamani Sedoyeka amehamishiwa Wizara ya Maliasili na Utalii
  2. Mamlaka ya uteuzi chini ya ofisi ya Rais inanuka rushwa ndio maana wateule wengi wa Rais hutapeliwa ovyo na watu wanaojinasibu hutoka ofisi ya Rais

    Uhuni huu enzi ya Hayati Magufuli haukuwepo ila naona umerudi kwa kasi baada ya Mama Samiah Suluhu kutwaa madaraka. Kwa ufupi ni kwamba mamlaka ya uteuzi chini ya ofisi ya Rais ikulu imejaa na inanuka rushwa, hili limedhilika kwa baadhi ya wateule wa Rais katika nafasi mbalimbali ikiwemo DC...
  3. Mahakama Yatupa Maombi Ya Kupinga Uteuzi Wa Askofu Mwakihaba

    Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mbeya imetupilia mbali maombi ya kupinga kusimikwa Askofu mpya mteule, Geofrey Mwakihaba na kupinga kuondolewa madarakani kwa Askofu Dk Edward Mwaikali katika mkutano Mkuu wa Dayosisi uliofanyika Machi 22, 2022. Kesi hiyo iliyofunguliwa na askofu aliyeondolewa...
  4. U

    UTEUZI: Papa Francis ateua Makadinari Wapya 21

    Orodha ya walioteuliwa imeambatanishwa Jan-Marc Aveline, archbishop of Marseille, France Peter Okpaleke, bishop of Ekwulobia, Nigeria Leonardo Ulrich Steiner, archbishop of Manaus, Brazil Filipe Neri Antonio Sebastao di Rosario Ferrao, archbishop of Goa and Damao, India Robert Walter McElroy...
  5. Mamlaka za uteuzi tafadhali mturudishie Lukuvi Wizara ya Ardhi

    Waliokalia hii wizara moyo wa nchi wako wapi hatuwaoni wakihangaika na migogoro iliyosheheni wizara hii bali tunaanza kuona rejuvination ya viongozi wakiandamana na wale watu waliojitokeza awamu ya nne na kujitwalia maeneo makubwa makubwa bila kujali wanyonge waganga njaa. Kwa awamu ya sita...
  6. Uteuzi: Mhandisi Cyprian John Luhemeja ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya NARCO

    Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) Mhandisi Cyprian John Luhemeja ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Ranchi ya Taifa (NARCO) Aidha, Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Sauda Kassim Memo kuwa Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT)...
  7. S

    Kama mwalimu wa Rais Samia anapata uteuzi 2022, Vijana twafwa!

    Vijana wa nchi hii yatupasa tuungane pasipo kujali vyama vyetu tupiganie haki zetu kwa umoja wetu. Pamoja na utofauti wa itikadi zetu lakini kuna masuala yafaa tupaze sauti kwa pamoja Inakera na kuudhi kuona vijana tunakosa ajira halafu wastaafu wakiteuliwa kushika nyadhifa kila uchwao. Sitaki...
  8. Macocha Moshe Tembele ateuliwa kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Indonesia

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Macocha Moshe Tembele kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Indonesia Balozi Tembele alikuwa Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataita (Multilateral Cooperation) kabla ya kuteuliwa na Rais Samia
  9. Uteuzi: Rais Samia afanya teuzi mbalimbali za Wenyeviti wa Bodi/Baraza la Chuo na Watendaji Wakuu wa Taasisi. Balozi Sefua na Eliachim Maswi ndani

    Rais Samia afanya teuzi mbalimbali za Wenyeviti wa Bodi/Baraza la Chuo na Watendaji Wakuu wa Taasisi. Balozi Sefua na Eliachim Maswi ndani
  10. UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi na uhamisho wa Naibu Makatibu Wakuu. Dkt. Msonde kulamba asali TAMISEMI (Elimu)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho kwa Naibu Makatibu Wakuu kama ifuatavyo: Amemteua Dkt. Charles Enock Msonde kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI (Elimu). Bwana Msonde amechukua nafasi...
  11. S

    Luhaga Mpina kama kina Bashe, Polepole na wengine, anatafuta uteuzi tu

    Huo ndio ukweli mchungu kwani huwezi kuwa mzalendo na mwenye uchungu na nchi hii halafu ukawa mwana-CCM isipokuwa Nyerere, mtu kama Sokoine na wengine wachache sana. Wengi huko ni wasaka fursa, fursa ambazo huwezi kuzipata ukiwa upinzani na wengine wako katika hicho chama ili wabaki salama...
  12. Rais Samia amteua Mavere Tukai kuwa Mtendaji Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi jioni ya Aprili 14, 2022 kama ifuatavyo: Amemteua Rosemary William Slaa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Bohari ya Dawa (MSD), Bi. Slaa ni Afisa Mwandamizi katika Kampuni ya Picenaterhouse Coopers PWC...
  13. Haji Manara: Paul Makonda alilazimisha kwa nguvu uteuzi Simba SC, Mo Dewji asilaumiwe hakuwa na namna

    Haji Manara ameendelea kuanika maovu ya Paul Makonda aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam, kupitia Instagram yake, Haji Manara amesema haya kuhusu Paul Makonda kulazimisha uteuzi katika Klabu ya Simba. Ukalazimisha uteuzi Simba kwa nguvu, ktk hili MO alikuwa hana namna asilaumiwe, angefanyaje...
  14. B

    UTEUZI CCM: UVCCM yateua makatibu wapya wa wilaya kote nchini

    UTEUZI CCM: UVCCM yateua makatibu wapya wa wilaya kote nchini Nazidi kuchambua majina nimeona Kuna wakuu wa shule 53 walioteulia kuwa makatibu wa wilaya wapya
  15. UTEUZI: Rais Samia amteua Hassan Ali Hassan kuwa Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua ACI. Hassan Ali Hassan kuwa Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, amechukua nafasi ya Kamishna Johari Masoud Sururu ambaye atapangiwa majukumu mengine. Kabla ya uteuzi huo Hassan alikuwa Mkuu wa Uhamiaji Mkoa wa Kaskazini Pemba.
  16. N

    Sio Mchechu tu hata uteuzi wa Peter Ulanga hamna kitu kabisa

    Huyu alikuwa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa wote. Ameutumikia Mfuko kwa takribani miaka kumi lakini baada ya kuondoka tu yeye ndiyo Mfuko ukaanza kujulikana. Yule dada aliyempokea nafasi Justina Mashiba angalau anaonekana kufanya kazi - kwa muda mfupi anaufanya Mfuko uonekane. Juzi...
  17. M

    Humprey Polepole atachanja au hatochanja atakapokwenda kuwa Balozi Malawi?

    Baada ya uteuzi huu wa kuwa Balozi kwa nchi ya Baba Askofu Bw Chakwera ambaye ni Mmagharibi kimtizamo. Je, Polepole atachanja au hatachanja? Ni mgogoro wa kidiplomasia au ndio demokrasia itashika hatamu?
  18. Sitarajii Polepole kuapishwa kesho, ukibisha ungana na timu wahuni

    Tunajua alijua tarajio hili au la namna hii na alijiandaa. Asituangushe amuenzi Magufuli kwa dhati ya Mungu wake. Fedheha ni mbaya akatae. Polepole huwa hayumbishwi na ufalme wa duniani chini ya jua. Hiari ni hiari tu tugange yajayo. Ukimtegemea Mungu ufalme wa duniani hauna tija. Malawi...
  19. Uteuzi: Rais Samia amteua Humphrey Polepole kuwa Balozi Malawi, Mchechu arudishwa NHC

    Rais Samia Suluhu amemteua Humphrey Polepole kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi. Sambamba na hilo Rais Samia Suluhu amemteua Shamsi Vuai Nahodha kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia Rais Samia Suluhu amemteua Waziri Kindamba kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe. Kindamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…