uteuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz akunwa na Uteuzi wa Angelina Ngalula kuwa Mwenyekiti wa East African Business Council

    Katika hafla iliyoandaliwa na TANZANIA PRIVATE SECTOR FOUNDATION (TPSF), Angelina Ngalula amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa EAST AFRICA BUSINESS COUNCIL (EABC) Hafla hiyo ilihudhuriwa na wadau mbalimbali akiwemo bilionea Rostam Aziz. Akiongea wakati wa kutoa pongezi zake, Rostam Aziz alisema...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mabeyo jioni ya leo utamsikia Katibu Mkuu Kiongozi akikutangazia Uteuzi mwingine

    Rais Samia amesema CDF mstaafu General Mabeyo bado ana nguvu hivyo Serikali itampangia Majukumu mengine ya kufanya na Leo tutasikia redioni Source ITV habari
  3. Memento

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amteua Jacob John Mkunda kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF)

    Rais Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Meja Jenerali Jacob John Mkunda kuwa Jenerali, na amemteua kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF). Kabla ya uteuzi huo alikuwa Mkuu wa Tawi la Operesheni na Mafunzo katika Makao Makuu ya Jeshi. ==== RAIS, Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Meja...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Stephen Wasira aula tena CCM, ateuliwa kuwa mjumbe wa Kamati Kuu

    Hii ndio taarifa iliyowasilishwa kwa umma na Ndugu Shaka Hamdu ambaye ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, kwamba Mkongwe Steven Wassira amechaguliwa kwa kura kuziba pengo la Kijana Makongoro Nyerere na kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, hii ni kwa sababu Kanuni zimemzuia Makongoro kwa vile...
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia amefanya mabadiliko madogo ya Makatibu Wakuu

    Rais Samia amefanya mabadiliko madogo ya Makatibu Wakuu 1. Dkt. Francis Michael amehamishiwa Wizara ya Elimu, sayansi na teknolojia 2. Prof. Eliamani Sedoyeka amehamishiwa Wizara ya Maliasili na Utalii
  6. nyboma

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya uteuzi chini ya ofisi ya Rais inanuka rushwa ndio maana wateule wengi wa Rais hutapeliwa ovyo na watu wanaojinasibu hutoka ofisi ya Rais

    Uhuni huu enzi ya Hayati Magufuli haukuwepo ila naona umerudi kwa kasi baada ya Mama Samiah Suluhu kutwaa madaraka. Kwa ufupi ni kwamba mamlaka ya uteuzi chini ya ofisi ya Rais ikulu imejaa na inanuka rushwa, hili limedhilika kwa baadhi ya wateule wa Rais katika nafasi mbalimbali ikiwemo DC...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mahakama Yatupa Maombi Ya Kupinga Uteuzi Wa Askofu Mwakihaba

    Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mbeya imetupilia mbali maombi ya kupinga kusimikwa Askofu mpya mteule, Geofrey Mwakihaba na kupinga kuondolewa madarakani kwa Askofu Dk Edward Mwaikali katika mkutano Mkuu wa Dayosisi uliofanyika Machi 22, 2022. Kesi hiyo iliyofunguliwa na askofu aliyeondolewa...
  8. U

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Papa Francis ateua Makadinari Wapya 21

    Orodha ya walioteuliwa imeambatanishwa Jan-Marc Aveline, archbishop of Marseille, France Peter Okpaleke, bishop of Ekwulobia, Nigeria Leonardo Ulrich Steiner, archbishop of Manaus, Brazil Filipe Neri Antonio Sebastao di Rosario Ferrao, archbishop of Goa and Damao, India Robert Walter McElroy...
  9. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Mamlaka za uteuzi tafadhali mturudishie Lukuvi Wizara ya Ardhi

    Waliokalia hii wizara moyo wa nchi wako wapi hatuwaoni wakihangaika na migogoro iliyosheheni wizara hii bali tunaanza kuona rejuvination ya viongozi wakiandamana na wale watu waliojitokeza awamu ya nne na kujitwalia maeneo makubwa makubwa bila kujali wanyonge waganga njaa. Kwa awamu ya sita...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Mhandisi Cyprian John Luhemeja ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya NARCO

    Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) Mhandisi Cyprian John Luhemeja ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Ranchi ya Taifa (NARCO) Aidha, Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Sauda Kassim Memo kuwa Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT)...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kama mwalimu wa Rais Samia anapata uteuzi 2022, Vijana twafwa!

    Vijana wa nchi hii yatupasa tuungane pasipo kujali vyama vyetu tupiganie haki zetu kwa umoja wetu. Pamoja na utofauti wa itikadi zetu lakini kuna masuala yafaa tupaze sauti kwa pamoja Inakera na kuudhi kuona vijana tunakosa ajira halafu wastaafu wakiteuliwa kushika nyadhifa kila uchwao. Sitaki...
  12. beth

    JamiiForums Tanzania Macocha Moshe Tembele ateuliwa kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Indonesia

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Macocha Moshe Tembele kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Indonesia Balozi Tembele alikuwa Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataita (Multilateral Cooperation) kabla ya kuteuliwa na Rais Samia
  13. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Rais Samia afanya teuzi mbalimbali za Wenyeviti wa Bodi/Baraza la Chuo na Watendaji Wakuu wa Taasisi. Balozi Sefua na Eliachim Maswi ndani

    Rais Samia afanya teuzi mbalimbali za Wenyeviti wa Bodi/Baraza la Chuo na Watendaji Wakuu wa Taasisi. Balozi Sefua na Eliachim Maswi ndani
  14. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi na uhamisho wa Naibu Makatibu Wakuu. Dkt. Msonde kulamba asali TAMISEMI (Elimu)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho kwa Naibu Makatibu Wakuu kama ifuatavyo: Amemteua Dkt. Charles Enock Msonde kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI (Elimu). Bwana Msonde amechukua nafasi...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina kama kina Bashe, Polepole na wengine, anatafuta uteuzi tu

    Huo ndio ukweli mchungu kwani huwezi kuwa mzalendo na mwenye uchungu na nchi hii halafu ukawa mwana-CCM isipokuwa Nyerere, mtu kama Sokoine na wengine wachache sana. Wengi huko ni wasaka fursa, fursa ambazo huwezi kuzipata ukiwa upinzani na wengine wako katika hicho chama ili wabaki salama...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amteua Mavere Tukai kuwa Mtendaji Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi jioni ya Aprili 14, 2022 kama ifuatavyo: Amemteua Rosemary William Slaa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Bohari ya Dawa (MSD), Bi. Slaa ni Afisa Mwandamizi katika Kampuni ya Picenaterhouse Coopers PWC...
  17. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Haji Manara: Paul Makonda alilazimisha kwa nguvu uteuzi Simba SC, Mo Dewji asilaumiwe hakuwa na namna

    Haji Manara ameendelea kuanika maovu ya Paul Makonda aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam, kupitia Instagram yake, Haji Manara amesema haya kuhusu Paul Makonda kulazimisha uteuzi katika Klabu ya Simba. Ukalazimisha uteuzi Simba kwa nguvu, ktk hili MO alikuwa hana namna asilaumiwe, angefanyaje...
  18. BigTall

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi amteua Dkt. Zuhura Mohamed Abdallah kuwa Kamishna wa Idara ya Ufuatiliaji na Tathmini katika Tume ya Mipango

  19. B

    JamiiForums Tanzania UTEUZI CCM: UVCCM yateua makatibu wapya wa wilaya kote nchini

    UTEUZI CCM: UVCCM yateua makatibu wapya wa wilaya kote nchini Nazidi kuchambua majina nimeona Kuna wakuu wa shule 53 walioteulia kuwa makatibu wa wilaya wapya
  20. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia amteua Hassan Ali Hassan kuwa Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua ACI. Hassan Ali Hassan kuwa Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, amechukua nafasi ya Kamishna Johari Masoud Sururu ambaye atapangiwa majukumu mengine. Kabla ya uteuzi huo Hassan alikuwa Mkuu wa Uhamiaji Mkoa wa Kaskazini Pemba.
Back
Top Bottom