Costumer service, accountability and responsibilities vyaanza kudorora ofisi za umma

ARGAN MARA

JF-Expert Member
Aug 2, 2016
930
2,520
Ndugu zangu habari za muda huu, nimatumaini yangu sote tunaitekeleza slogan ya mkuu wa kaya.

Twende moja kwa moja kwenye mada kipindi cha awamu Serikali iliyopita tuliona bwana yule alivyojitaidi kurudisha nidhimu kwa watumishi wa Umma kwa kutekeleza majukumu yao kama inavyotakiwa.

Watumishi walikuwa wanafika kazini kwa wakati nakumbuka Kuna hadi wizara moja ilikuwa inafanya kazi adi overtime kwakweli watanzania tulijivunia sana kwani watumishi wa Umma walikuwa nawatuhudumia vizuri na kwa wakati.

Kulikuwa hakuna kubaguliwa ukienda kupata huduma hasa sisi wanaotuita wanyonge kweli tulipata kwa kiasi fulani Haki.

Sasa hivi tumeanza kuona huduma zimeaanza kuwa mbovu Kama a kipindi Cha nne, tumeona watumishi wa hospitali moja wakipiga porojo huku mgonjwa akiumia kitandani bila kupata huduma.

Siyo hapo tu Bali karibia ofisi zote za Serikali zinazotoa huduma kwa jamii watumishi wao wameanza kulegalega.

Mwisho kabisa nawatakia Kila la kheri kwenye majukumu yenu.
 
Hiyo ndo serikali ya mama Samiah bwana.Nchi hii bila kuwa kuchakichaa hawafanyai..hadi waibe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom