utawala

  1. kwa-muda

    JamiiForums Tanzania Haya yote yanayoendelea ni matokeo ya akina Polepole na utawala wa JPM - Tujifunze kupigia kelele viongozi kufuata sheria

    Haijalishi unampenda vipi Hayati JPM, lakini ameacha shida kubwa iliyoanza katika utawala wake. Tatizo shida ya sisi Watanzania huwa tunafurahi na hatujali pale sheria, katiba ikivunjwa na mtu tunayedai anatimiza matakwa ya wananchi. Tena tunasema kwamba kufuata utaratibu na sheria...
  2. F

    JamiiForums Tanzania GE2025 Yeyote anayetaka CCM iendelee kubaki madarakani baada ya utawala kwa miaka zaidi ya 60 huyo sio mjinga tu ni limbukeni mkubwa

    Mtu yeyote anayetaka CCM iendelee kubaki madarakani hata baada ya utawala kwa miaka zaidi ya 60 huyo sio mjinga tu bali ni limbukeni mkubwa!
  3. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kiroho , Utawala wa awamu ya tano umekatiliwa naomba wataalamu wengine wa kiroho mkae chini na atafutwe Mgombea anayekubalika.

    Kiroho Rais , Samia hatoweza kuwa Rais wa awamu ya sita. Ikiwa kuna wataalamu wa kiroho wamshauri mapema . Na pia yalifanyika makosa makubwa kumteua kuwa Makamu wa Rais kwakuwa hatima yake haikuwa ya kitaifa bali ya eneo dogo Kama Jimbo Ndo ufanisi wake ambao umeacha alama ni ule wa Bunge la...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Steji tuliyofika sasa ukipingana utawala wa CCM wanadeal na watu wako karibu

    Kama ndio tumefikia hapa naanza kuelewa kwa nini wameamua kumkomesha gwajima kwa waumini wake. Sasa tunaona kwa polepole kuanza kuteswa ambao hata sio wahusika. Ili taifa linapita wakati mgumu.
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Polepole, usisahau nchi au taifa lolote la Maana Msingi wake ni Mambo haya Makuu matatu; Chama chako kinavunja Msingi Mkuu wa taifa, hayo ni matokeo

    Mpo Salama! Taifa lolote la Maana, ndoto ya watu ni lile linalojengwa katika Misingi Mikuu miitatu; 1. Utawala Bora na Sheria (Good Governance and Rule of Law) Huu ni kama msingi wa nyumba. Bila utawala bora hakuna amani, hakuna haki, hakuna maendeleo. Sheria hutuliza, huongoza, na hutoa...
  6. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Nasikitika kuna watu wanajiita great thinker bado wanauziwa uongo kwamba Mbunge analetea jimbo maendeleo. Huu ni uongo mkuu.

    Kuna nyakati zifike watu tutumia akili tulizo pewa na Mwenyezi Mungu, tupunguze kuuziwa ujinga na hadaa. Hakuna mbunge kutoka chama chochote kile anaweza letea Jimbo lake maendeleo ilihali nchi haina sera za Jimbo na jimbi linategemea sera za nchi. Hawa wabunge tunao wapigia chapuo kwa...
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Watanganyika wamerogwa. Polepole leo hii wanamuona shujaa. Anatetea tumbo lake

    Kipindi cha Jiwe polepole na Bashite na wengine walikuwa mstari wa mbele kutetetea kila aina ya uovu wa kipindi cha Magufuli. Walikuwa wanakula mezani kwa mfalme. Walikuwa na ukwasi wa kutosha. Eti sasa hivi Polepole mzee wa v8 anaupondea utawala wa Rais Samia!!! Hiki ni kituko sana. Sisemi kuwa...
  8. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mpango, Majaliwa na Polepole ni watu walioamua kuacha kuendelea kufanya kazi na utawala huu. Je nini kinaendelea?

    Makamu wa Rais Muheshimiwa Philip Mpango alidai kuwa ametosha kuwa Makamu wa Rais na hakutaka kuendelea kuwa Makamu kwa muhula wa Urais ujao ambao Rais Samia bado anautetea. Mpango ametaka kustaafu kwa hiari cheo icho ambacho amedumu nacho kwa Muhula mmoja wa Urais. Hatujakaa sawa Waziri Mkuu...
  9. sanalii

    JamiiForums Tanzania Kwanini polepole hakujiuzulu kwenye uongozi wa magufuli kama kigezo ni utawala bora wa kidemokrasia?

    Huyu mtu ndio alikua akitamba kwa "vieite", alikua yupo madarakani ulipofanyika uchaguzi wa serikali wa mitaa uliokua wa hovyo sana na wapinzani kukatwa, alikua yupo kwenye uongozi uchaguzi wa 2020. Kifupi CHADEMA wanasahau sana na ni wepesi kuwa deceived. Polepole anaondoka kwa maslahi yake...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nimejitahidi sana nitafute kitu cha kusifia kwenye huu utawala sijakiona kama kuna ameona nisaidie labda tafsiri yangu Ina shida

    Kuna jitihada kubwa sana za kujaribu kutukuza na kusifia kila kitu kilichofanyika nchini na kwa bahati mbaya inaonekana kuna wasifiaji wengine ukimuangalia sura yake unajua kabisa kuwa amesamehe akili yake ili asifiwe kwa maslahi binafsi. Niwaambie ukweli sioni chochote cha kusifia kwa sababu...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mzimu wa Epstein waundama utawala wa Trump, raia wazidisha kuidai listi ya wateja wake waliyohadiwa na Trump

    Mojawapo ya ajenda ambazo Trump alitamba nazo sana wakati wa kampeni zake za kugombea urais awamu ya pili ni pamoja na kuweka wazi mafaili ya mauaji ya Rais John F Kennedy na kuweka hadharani listi ya pedophile maarufu Jeffrey Epstein ambaye alikuwa anawatafutia matajiri na watu maarufu wasicha...
  12. Daby

    JamiiForums Tanzania Sawa, Vijana wa Kenya wana haki kuandamana kupinga utawala dhalimu. Lakini Agendas zao zimechukuliwa na wanasiasa

    Kenya wakipita 2027 vizuri wamshukuru Mungu. Mwaka 2007 walipouana mambo yalianza hivi hivi. Kuenguliwa kwa Riggy G kummemfanya afanye siasa za ukabila waziwazi. Hata haogopi kutamka kauli zinazoweza/japo zimeanza kuligawanya taifa kikabila. Ukiwaskia wanasiasa hasa wa Bonde la ufa hoja yao...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Elon Musk alaani utawala wa Trump kwa kutengeneza bajeti mbaya ya nchi kihistoria, aapa kuwanyoosha wabunge wote walioipitisha

    Elon Musk anasema bajeti ya serikali ya Trump maarufu kama "Big Beatiful Bill" iliyopitishwa na bunge linaloongozwa na Republicans ni ya hovyo kuwahi kutokwa na itavunja rekodi kuongeza deni la Marekani kwa $Trilioni 5 zaidi. Aanasema nchi hiyo ni kama inaongozwa na chama kimoja cha nguruwe na...
  14. MICHEWENI 2024

    JamiiForums Tanzania Makubaliano ya ISRAEL/IRAN kusitisha vita hayawezi kumaliza vita kama lengo ni kuuangusha utawala wa Serikali ya Iran

    1. Kuendelea Kuishi = Ushindi Katika vita vinavyolenga kubadilisha utawala, kuendelea kuwepo madarakani ni ushindi. Licha ya kushambuliwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran bado ipo madarakani. Viongozi wa Iran (kama Kiongozi Mkuu na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi - IRGC) bado wapo kazini. Hii...
  15. HOST NOT FOUND

    JamiiForums Tanzania Je, Upo uwezekano wa mfumo mpya wa kiutawala kuzaliwa?

    Katika historia ya mwanadamu, mifumo ya kiutawala imekuwa kama wimbi linalofika ukingoni na kurudi baharini, haikai mahali pamoja. Tulishuhudia ujima, tukazama kwenye ukabaila, tukakumbatia ujamaa, tukakimbilia ubepari, na sasa tunaishi kwenye kivuli cha kile kinachoitwa Uliberali wa kisasa...
  16. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Tujadili kwa Umakini: Nani anateka na kwanini wanaotekwa ni wakosoaji wa utawala?

    Tujiulize kwa uzito na dhamira safi: Kwa nini matukio ya utekaji yameendelea kuwa siri nzito inayoumiza jamii, na kwa nini wahanga wakubwa ni wale tu wanaothubutu kusema wazi kuhusu mfumo wa uongozi? Hii sio coincidence—ni pattern ya hatari. Kama taifa, hatuwezi kuendelea kufumba macho huku...
  17. britanicca

    JamiiForums Tanzania Namuona Khamenei mwishoni mwa utawala wake

    Ayatollah Khamenei Israel wao katika shughuli zao uwa wanadili na viongozi Hezbollah walipukutika Hamasi wakapukutika Sasa Iran ile crew yote ya juu imesafishwa Target yaweza kuwa khamenei Nina uhakika Hafiki week mbili mbele Japo na Iran nao hawako kinyonge, isingekuwa Jordan na...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Shabiby Line yaanza 'utawala' wa Barabara ya Dar-Tanga kila siku!

    Hatimaye, mabasi ya kisasa ya Shabiby Line yameanza safari zake za kutoka Dar kwenda Tanga na kutoka Tanga kwenda Dar kila siku iitwayo leo. Safari hizo zimeanza Wiki iliyopita na tayari abiria wa Tanga-Dar na Dar -Tanga wameanza kuchangamkia usafiri huo kutokana na ubora wa mabasi hayo toleo...
  19. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Trump umewawekea vikwazo majaji wanne kutoka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu mjini The Hague

    Utawala wa Trump umewawekea vikwazo majaji wanne kutoka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu mjini The Hague. Katika kutangaza hatua hiyo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio alisema: "Kama majaji wa ICC, watu hawa wanne wameshiriki kikamilifu katika hatua zisizo halali na zisizo na...
  20. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Maandishi ukutani:-Enyi muombolezao, jiandaeni kububujikwa na machozi ya furaha. Haki huinua taifa

    Mungu amesikia kilio chenu enyi muombolezao. Tazama zaja siku SI nyingi mtalia kilio Cha furaha kabla mwaka haujatimiza miezi kumi.
Back
Top Bottom