Demokrasia na haki ni kinyume na mafundisho ya dini ya Uislamu?
Kwa nini masheikh wa BAKWATA na taasisi zao marafiki kama umoja wa wahadhiri hawajihusishi kudai uwepo wa Demokrasia, utawala bora kudumishwa kwa haki sambamba na kupinga matendo maovu ya utekaji, ukandamizaji na uporaji wa haki...
Huyu hapa Bibi yetu wa Kizazi kipya ambaye amekataa kukaa kimya dhidi ya uovu kwenye nchi yetu, akianzia kwa kunukuu maandiko ya Biblia na kueleza uzoefu wa wananchi chini ya tawala tofauti. Alisema kuwa katika vipindi ambavyo watawala walikuwa wenye haki na waliwapenda watu wao, wananchi...
Mungu haonekani lakini watu huwa wanamuona kwa matendo yake.
Mobutu Seseko, Idd Amini, Blaise Kompaore, na wengine wengi ni mfano ulio wazi.
Wote hawa walimaliza kwa mwisho mbaya .
Sio utani wala kupindisha Moderator kuna mda unataka kupindisha ila mtakumbuka haya maneno.
Mtawala ndio analeta chuki ambayo sasa kaingiza kwenye udini kabisa akijua kitamuokoa.
Mimi sipendi kuweka wazi ila wanayofanya kwenye ku promote huko kuna kitu sio kizuri.
Sisi wa tanganyika wanataka...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA), John Heche akizungumza leo na vyombo vya habari Desemba 11, 2025 amesema chama hicho kinaomba Jumuiya za kimataifa kuiweea Tanzania vikwazo vya kuuziwa silaha kwa sababu silaha hizo zinatumika kuuwa wananchi wasio na silaha...
Binafsi ninakerwa na serikali hii inavyofanya mambo yake. Kuna mambo yanahitaji diplomacy kidogo tu ila cha kushangaza serikali inatumia nguvu kupitiliza hadi inaamsha hasira za wananchi. Kuna ishu zinahitaji tu maneno sio lazima kutumia bunduki. Msemaji wa serikali na katibu mwenezi wa CCM ni...
Ni kujitoa ufahamu na kukosa akili viongozi wa CCM, watawala, BAKWATA na machawa wao wengine wengi kupayukapayuka kwamba vijana wanaharibu wanaharibu nchi na kufuata mkumbo tu kwa kurubuniwa katika harakati zao za kudai haki, kupinga dhuluma na kutaka uwajibikaji.
Wanaoharibu nchi hii ni CCM na...
ID nyingi kwa sasa zipo makusudi na tena walivyo jisahau zina majina ya kwao sana kutetea mtawala ,ukitaka kugundua we replay comment uwezi jibiwa ila kuna ID fake ambazo ujifanya ndio wapo wanapinga utawala mpaka zitangazwe na hizo wanapoona comment wanaingia DM wakiomba ujifanye kuwa pamoja...
Hivi ndiyo muhubiri anasema
"Kila kitu kina majira yake, kila jambo duniani lina wakati wake: Wakati wa kuzaliwa na wakati wa kufa; wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna kilichopandwa; wakati wa kuua na wakati wa kuponya; wakati wa kubomoa na wakati wa kujenga; wakati wa kulia na wakati wa...
Hamjambo!
1. Mwezi huu uwe mwezi wenye Baraka na Neema ya Mungu naam yule MUNGU Mwenye Nguvu nyingi aliyetuumba wote.
2. Mwezi huu Mungu atuepushe na Mabaya na kushindwa na adui zetu.
3. Wokovu wa Mungu uwe upande wetu. Naye atatupa Wokovu mkuu na ushindi kwa namna isiyoelezeka.
4. Adui zetu...
Watanzania nini kimewakumba? Kwa nini mnaukataa huu utawala?
Kila kona mnaponda hata kama ameshaapishwa lakini mnaponda tu na mnaona kama vile sio rais wenu.
Tatizo nini?
https://www.instagram.com/reel/DRRCZIBgsNx/?igsh=MXZvNWQwdHFlbGRyZg==
https://www.instagram.com/reel/DRRQh0SDDUj/?igsh=MTdvanF1dTN1YWQ1aQ==
ALLY KIBAO alikuwa Muislamu, lakini leo hawa waandamanaji ndio wanaotaka huu utekaji uishe, polisi wawajibishwe au watekaji wapatikane. Lakini hata...
🔻Utangulizi :Haya ndiyo matarajio magumu zaidi yanayosubiriwa... 🔥 Iwapo Watanzania hawatasimama kupigania uhuru wao, Hili litaamua Mustakabali 🇹🇿
[image designed by AI] @Mg2+
REJEA : Uchambuzi wa kina kwa kuzingatia uzoefu wa maisha halisi wanaokumbana nao #Waganda kwa sasa unaodhihirishwa...
Kuna clip mama anashangaa kumuona Makamu ukumbini wakati wa kutangaza cabinet nadhan mmeiona
Samia na genge lake walimtuma Congo, huku wakapanga cabinet, wakati wanaenda kutangaza akashangaa jamaa yupo. Ikabidi kiti chake kiongezwe.
The guy was so smart, japo walifanya wrong move, yeye...
Kipindi cha utawala wa Hayati Rais John Pombe Magufuli (Novemba 2015 – Machi 2021), Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) lilitoa matamko na waraka kulaani mauaji, utekaji nyara, kutoweka kwa watu, na kutoa maonyo makali kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu, hofu nchini, na hatari ya...
Inawezekana kwa 2001 kule visiwani hili wazo lilifanya kazi kwa sababu mbalimbali na sababu kuu ni kutokuwa na maendeleo makubwa ya teknolojia kwa wakati huo. Inasemwa kwamba visiwani kulikuwa na mauaji ya kutisha na kikatili mno. Wasimuliaji wanadai hata waliokuwa wakikimbilia nchi jirani wengi...
Utawala wa samia umeuwa watu wengi sana katika historia ya nchi yetu nzuri.!
Umewaacha watanzania wengi katika maumivu sasa inatosha ameuwa watu wengi sana na sisi kwa pamoja tupo tayari kufa.
Tukutane #D9
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.