Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,418
JKT imetengezwa kama livyo tengezwa uganda.
Vita vya Kagera kuna vitabu vingi na mambo mengi ambayo yalifichwa sana.
Ila Uganda kulibeba ukabira mpaka ukafikia sasa kudai udini.
Mimi sio mzuri sana wa kuweka mambo mengi ila kisa cha Museveni na Sudani wa Al Bashuri ilikuwa ukabila na udini ila walikuja kufanya kugeukana kwa Sudani ilikuwa na Libya na Libya iluwa inaunga wadini wao nchi hizo.