Nasemaje...?
Ole wake hili liwe kweli, utawala huu uliopo utajutia, utajiongezea upinzani zaidi kwa wanachi hasa mashabiki wa Yanga watauchukia na kuwa sehemu ya upinzani
Naiomba serikali isiruhusu hizi akili za kijinga TFF kuishusha daraja Yanga!
Na ikiruhusu hili litokee, basi kile...
Salaam zenu wanaJF,
Historia inatufundisha hakuna utawala hatr na wa kutisha kama wa firaun lakini bado watu wake hawakuandamana walisubir mpaka pale muumba wao alipowanusuru
Unajua kwasabb gani?
1. Waliamini yupo aliowaumba ipo siku atawanusuru
2. Nguvu yao ndogo hawawezi kupigana na mtawala...
Kwa jinsi siasa za sasa zilivyo kuna uwezakano mkubwa kuwa mtoto wa raisi anaweza kusimama kama raisi na kufanya maamuzi na ku-control kila kitu kama yeye ndie raisi na msijue na hata asichukuliwe hatua za kisheria.
Hii inaweza kutokana na sababu nyingi sana kama vile uwepo wa rushwa, mahakama...
bunge
jeshi
jeshi la wananchi
jinsi
kuchukua
kufanya
kufanya maamuzi
maamuzi
mfumo
mfumo wa utawala
mtoto
mtoto wa
muda
nafasi
raisi
tunahitaji
udhaifu
utawala
wananchi
wazi
Kiongozi mkuu wa kiinjilisti: Iran imecheza na viongozi wa Marekani kama kitendawili
"Ama Jamhuri ya Kiislamu itasambaratisha mpango wake wa nyuklia kwa hiari, au ulimwengu huru utawasaidia kufanya hivyo," alisema Mchungaji John Hagee.
Aprili 28, 2025 akiwa ziarani huko Israel.
Serikali ya...
Haijawahi tokea, polisi wanakamata raia wasio na kosa kwa sababu za kutoelewana kwa chama tawala na upinzani, na kwa amri kutoka juu, kukamata badala ya kupeleka watu kituoni wakafunguliwe mashitaka unapeleka kuwa jeruhi kisha kuwatupa maporini.
Ukatili wa aina hiyo tunausoma kwenye utawala wa...
Utawala huu ndani ya chama demokrasia ipo juu
Mfano Mrema na kundi lake la G55 linatoa kauli hasi dhidi ya viongozi.
Mfano wanawaita viongozi viburi, jeuri, Waliohamia juzi kukiua chama na kila jina baya tofauti na utawala wa Mbowe.
Wakati wa Mbowe mtu pekee ambae akikosoa utawala wa Mbowe ni...
Zamani kwa ruti ya Dar Arusha ilitawaliwa na Kampuni ya Mabasi ya Kilimanjaro chini ya Mkurugenzi Sawaya.
Siku hizi naona makampuni ni mengi na Kilimanjaro Bus ni kama utawala wake umefika mwisho.
Kampuni kama BM anatoa mabasi mengi kwa siku, naona utawala wa Mzee Sawaya unaenda mwisho huko...
Mods naomba muache huu uzi kama ulivyo kwasababu inabidi hawa watu tuwakabili kwa uzito unaostahili.
Huyu Sheikh mnafiki na muongo anahoji maaskofu wa katoliki wanamkosoa Samia kwasababu ni muislamu na anahoji mbona wakati wa Magufuli wapinzani walifungwa mpaka jela na.maaskofu hawa hawakusema...
Udini ndio unabeba viongozi ambao mpaka sasa unaona wengine wanakaa kimya na wengine upaza sauti.
Kwa mtindo huu kunasiku wananchi watachagua mtu ambaye ni buza maana kila wanaoletwa watawala wamekuwa washenzi.
Sina mengi ya kusema ila kiukweli Utawala huu watu hawana furaha hawana amani, maisha magumu pesa na maisha mazuri viko kwa wachache na hakuna anaejali.
Mfumuko wa bei uko juu, usafi kwenye mitaa na barabarani, kwenye mitaro , harufu hovyo hovyo kwenye miji mingi nchi haina Serikali za mitaa...
Hapa nchini petu, kupitia taarifa mbalimbali, zikiwemo za wapiga kura, na hata taarifa za watazamaji wa kimataifa wakati wa uchaguzi, CCM ndiyo imekuwa ikivuruga uchaguzi ili kupora mamlaka ya wananchi.
Kule Zanzibar, watazamaji wote walithibitisha kuwa maalim Seif alikuwa ameshinda uchaguzi...
Muda mfupi baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamika kuwa kuna changamoto ya umeme kupitia andiko lake ~ Kwa zaidi ya 10 hrs sasa tangu jana mitandao na benki zote zinagoma ku-access malipo ya LUKU, hii shida ni kwangu tu? Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa ufafanuzi na kukiri kweli...
Siku hizi, kila jaji, mbunge, mtawala, viongozi wa dini, na matajiri wanaimba wimbo mmoja wa mama anaupiga mwingi. Sijui mwingi upi na vipi na kwa vipi.
Je muungano huu utaiokoa au kuizamisha Tanzania? Hapa bado hatujagusia kuisha kwa ulalamishi wa Visiwani juu ya muungano.
Je nini kifanyike...
Baada ya kuona CAG alichosema, Tanzania tunapaswa kubadili kabisa mfumo wa utawala wa taifa letu ili kuharakisha maendeleo ya kiuchumi na kuboresha uwezo wetu wa kufikiri 🧠, kuuliza na kutenda. Mfumo huu mpya unapaswa kupunguza gharama za uendeshaji wa serikali, kuhakikisha usimamizi bora wa...
Haya mambo yaliyosahaulika kwa muda mrefu ya kutanua himaya za nchi kwa kuchukua maeneo ya nchi nyingine sasa yanashika kasi na yanazidi kuwa ya kawaida, inabidi na sisi tuangalie mmojawapo kati ya Rwanda, Malawi, Burundi tumchukue kabisa au mkoa au tuimege hata Congo kubwa jinga.
Huko Marekani kama wewe ni mgeni ukiunga mkono Hamas au Wapalestina hadharani dola inakutia nyavuni na kukurudisha kwenu.
Kuna video mojawapo ya ikimuoneysha mwanafunzi aliyejulikana kwa jina la Rumeysa Ozturk kutoka Uturuki anayesoma chuo kikuu cha Tufts ikionyesha maafisa uhamiaji(ICE)...
Sekta ya uzalishaji inatarajiwa kuingia katika hatua mpya ya maendeleo ambapo viwanda vitaendeshwa kikamilifu kwa teknolojia bila kuhitaji wafanyakazi wala mwanga. Viwanda hivi vitajulikana kama viwanda giza, kutokana na uwezo wake wa kufanya kazi bila mwanga wa taa, kwa kuwa havihitaji uwepo wa...
Mwaka 2020 katika Uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge, nikiwa nimevutiwa na Sera ya CHADEMA kuhusu kuanzisha utawala wa majimbo nchini Tanzania niliandika uzi kuonesha namna gani utawala huu utafanikiwa katika kuharakisha maendeleo ya Tanzania
Uzi wenyewe huu hapa👇...
Timu Maalumu inayo ongozwa na Prosper Alexander Kisinini mwanasheria wa Serikali imetinga wilayani Mbarali kwa Mafunzo yaliyoandaliwa na wizara ya katiba na Sheria kwa lengo la kuwajengea uwezo watendaji wa serikali za mitaa pamoja na viongozi mbalimbali wilayani hapo ikiwa ni mwendelezo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.