Je Tanzania inaenda kwenye utawala wa kifamilia? Kama hata CCM ni ndiyo Mama ndiyo Baba tutafika sehemu familia chache tu na ndugu zao ndiyo watakuwa watawala wa nchi hii kama Uganda au Rwanda. Kibaya huu sio utamaduni wetu na watu wanapenda demokrasia. Watanzania tuna utamaduni karibu na wa...
Kwa hichi serikali yako inachokifanya cha kupambana na kanisa na watumishi wa Mungu kamwe hutoshinda.
Nawaambieni ukweli, hakuna aliyewahi kushindana na kanisa akashinda.
Rais Samia hatua uloingia ni mbaya sana hakika huwezi kulishinda kanisa wala kulitikisa
Watanzania wenzangu huu ni wakati...
Watu sisi ni mashahidi. Tunajua kinachoendelea.
Askofu amegoma kuwa mnyonge. Ameamua kuendelea kuwa upande wa wananchi.
Kwa vyovyote vile Utawala haujafurahishwa na hotuba ya leo pale kanisani.
Nini hatma ya mzozo huu? Utawala utakubali kukaa kimya?
Kuanzia leo Mei 29 hadi 31, 2025, JamiiAfrica inashiriki katika Mkutano wa 14 wa Afrika wa Utawala wa Mtandao (AfIGF2025) unaofanyika Dar es Salaam katika Ukumbi wa JNICC.
Mkutano huu unawakutanisha wadau mbalimbali kutoka Serikalini, Sekta binafsi, Asasi za Kiraia na Vijana ili kujadili kwa...
Tukimsema vibaya mama wa kizimkazi mnatuona wabaya kafanya nini cha maana hii miaka 4 ya utawala wake
Magufuli
1 .GEP Ali centralised Malipo yote ya serikali na kuokoa upotevu.mkubwa wa pesa
2. Bwana la Nyerere. Limemaliza kabisa mgao wa umeme na kuchochea uchumi mara dufu.
3.Toto Afya kadi...
Kabla ya kuanguka kwa utawala wa Iddi Amin Dada nchini Uganda (aliyetawala kutoka 1971 hadi 1979), kulikuwepo na kipindi cha mauaji ya kikatili yaliyofanywa dhidi ya watu aliowahisi au kuwashuku kuwa ni wapinzani wake.
Iddi Amin alitawala kwa mkono wa chuma na alihofia sana mapinduzi dhidi...
Tanapambana kuinua Taifa Kwa njia NYINGI sana lakini haki ndo winchi au nguzo Namba moja ya kuinua Taifa
Kwa maana NYINGINE Taifa lolote ili liinuke lazima haki itendeke.
Kwa hiyo dalili inaonyesha Taifa linatenda haki angalia Kasi yakuinuka kwake.
Kama Taifa haliinuki maana yake Kuna mahali...
JKT imetengezwa kama livyo tengezwa uganda.
Vita vya Kagera kuna vitabu vingi na mambo mengi ambayo yalifichwa sana.
Ila Uganda kulibeba ukabira mpaka ukafikia sasa kudai udini.
Mimi sio mzuri sana wa kuweka mambo mengi ila kisa cha Museveni na Sudani wa Al Bashuri ilikuwa ukabila na udini...
Kwa nini Tanzania tuliisaidia ANC kwa hali na mali kupambana na serikali ya makaburu Africa Kusini?
Je Tanzania tulipoisaidia ANC dhidi ya utawala Makaburu tulikuwa sahihi kama nchi kuingilia mambo ya ndani ya nchi yao?
Tulipata faida gani kama nchi kuisadia ANC kuwandoa makaburu walioleta...
waTanzania mbalimbali kuaminika na kukubalika kuongoza taasisi, mashirika na jumuiya mbalimbali za kimataifa, ni kielelezo tosha cha kukua kwa nguvu ya ushawishi wa Tanazania duniani.
Licha ya ubobevu wa kiujuzi na kitaaluma, uaminifu, weledi, maarifa, bidii na uchapakazi wa waTanzania moja...
Inaelezwa kuwa, moja ya sifa kubwa na Papa mpya, Leo wa Kumi na Nne ni namna ambavyo anasimamia ukweli kupinga udhalimu na uonevu wa binadamu bila kujali mazingira yapoje.
Katika historia yake, inasemwa kuwa miaka ya 1990 akiwa Padre nchini Peru, utawala wa kidikteta chini ya Kiongozi Fujimori...
Watanzania wengi pale walipomuuona anapambana na utendaji mbovu wa sekta zote...walimuona kama malaika...
Hawakutaka kusikia tena vyama vya upinzani....Sijui ni nani alimuingiza kwenye Huu ujinga wa kuacha kile alichoanza nacho..Maana vyama pinzani vilikuwa vinaenda kujifia vyenyew bila nguvu...
Yani ukitaka kujua mwanzo wa historia ya kweli ya jungle, siyo ile ya kwenye vitabu vya shule wala documentary za wazungu zenye voice ya baridi, tunaanza hapa – kwenye ardhi ya moto, nyasi ndefu na upepo mkali unaopiga hifadhi ya Serengeti, Tanzania. Hii ni block ya nguvu, na kuna OG mmoja tu...
Msameheni msajiri wa vyama ya siasa hajafanya kwa kumaanisha kwa sasa hakuna usalama tena nchini.
Kama kungekuwa na utawala wa sheria na haki msajiri angekuwa huru kufanya maamuzi lakini kwa kuunganisha matukio ni wazi kuenguliwa kwa viongozi wa chama kama ilivyo kwenye kuwapa kesi za uhalifu...
Mi kwa sasa siwezi lalamika mzungu,mwarabu na wachina wakituita nyani.Kama tunashindwa hata kuishi kama wao kwa nini tukatae.
Mfano leo kuna viongozi wanaweza kuja kubisha kauli zao za nyuma kuwa hawa kusema ila wakionesha wakaulizwa wanakana.
Kuna watu hapa JF damu za watu zina...
Wakati raisi Donald Trump akijitayarisha kuanza ziara ya mashariki ya kati hivi punde,utawala huo umeonekana kubadili nia ghafla kuhusiana na vita vya Gaza.
Katika ziara hiyo raisi Trump atazitembelea Qattar,Saudi Arabia na umoja wa falme za kiarabu bila kuingiza ratiba ya kuizuru Israel.Balozi...
Ni kama serikali imeshastuka kwamba wakienda kikawaida kwa kufungua kesi mahakamani, huenda wasipate kabisa mwenye hatiainayostahili adhabu ambayo wangeitamani kuona watu wenye mawazo kinzani.
Kwa kujua hilo ndio maana sasa kuna kitisho kikubwa sana kwa yeyote anayeonekana kwenda kinyume na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.