Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) Mkoa wa Katavi, imebaini mabati yenye thamani ya fedha Sh Milioni 220 yaliyonunuliwa kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Sekondari ya wavulana Katavi na Sekondari Rungwa kuwa yako chini ya kiwango.
Kaimu Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Katavi...
Huu utaratibu wa kumkamata mtu bila kosa lolote kumpiga na kumtupa maporini Jeshi la polisi ndio sheria zetu zinasama hivi ?. Hii ni kwa mara ya kwanza nchi kushuhudia unyanyasaji mkubwa wa binadamu kwenye utawala wa samia.
Huu ni uthibitisho tosha kuwa nchi haina utawala wa sheria, jeshi la...
Mtu anaweza kufunga kula chakula kwa mwaka mmoja na akabaki hai na salama. Mr Angus Barbiel, mwanaume wa Scotland, alifunga kula chakula (akiwa nyumbani kwake) kwa siku 382 kuanzia tarehe 14 June 1965 hadi tarehe 30 June 1966. Katika muda huo alikuwa anatumia tu maji, chai, kahawa na vitamins...
Je, ni utaratibu upi unaotumika kuivisha ndizi za biashara?
Kuna jambo la kutatiza kiasi kuhusiana na ndizi za biashara, kawaida ndizi huchukuwa muda wa angalao siku nne kuiva, laiki uivaji wake ni ule wa maganda kubadilika kutoka kijani na kuelekea kijani kilichofifia lakini baada ya hapo...
Habari wana JAMII FORUM naomba kuuliza ni taratibu zipi kwa mwanandoa kuhama kikazi serikalini na kumfata mwenza wake ambae kapangwa mbali yaani halmashauri tofauti
Pia mume anaruhisiwa kumfata mke au ni mke ndio Sheria inamtaka tu ?
Je inachukua mda gani kwa mwanandoa wa ajira mpya kuhama...
Habari wana JAMII FORUM naomba kuuliza ni taratibu zipi kwa mwanandoa kuhama kikazi serikalini na kumfata mwenza wake ambae kapangwa mbali yaani halmashauri tofauti
Pia mume anaruhisiwa kumfata mke au ni mke ndio Sheria inamtaka tu ?
Je inachukua mda gani kwa mwanandoa wa ajira mpya kuhama...
Wizara ya Madini imetangaza kuwa Sekta ya Madini nchini Tanzania imepiga hatua kubwa ya kihistoria kwa kufikia mchango wa asilimia 10.1 katika Pato la Taifa mwaka 2024, ikiwa ni mwaka mmoja kabla ya lengo lililowekwa kwenye Sera ya Madini ya mwaka 2009 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka...
Napendekeza utaratibu/mpangilio ufuatao.
1. Watatangulia Maaskofu, Masheikh, Maimamu, Wachungaji, Mapadre, Manabii, Mitume na viongozi wengine wa Dini.
2. Watafuata Mabalozi wa Nchi mbalimbali, Wakuu wa Taasisi/Mashirika ya kimataifa na kikanda.
3. Waumini wa Dini zote na Watanzania wote kwa...
Juzi nilijiunga na bando la elfu 2 Mia 5 internet mida ya saa moja jioni. Sikwenda You Tube wala Instagram, wala Tiktok wala Fb. Nilikuwa nachati tu WhatsApp na kuperuzi Jf.
Nafika home saa 3 usiku naletewa meseji ya umetumia asilimia 75 ya bando lako. I was shocked. Nilikuwa nna usingizi siku...
Kama hakuna muda wa kuifanyia Tue ya uchaguzi marekebisho, UN yaweza kusaidia: Utaratibu wa kufuata ili UN kuunda tume huru ya kusimamia uchaguzi katika nchi yenye kufanya uchaguzi kama sio huru na wa haki?
Utangulizi:
Umoja wa Mataifa (UN) hauna mamlaka ya moja kwa moja kuingilia uchaguzi wa...
Kwa wale ambao mara kadhaa tumesafiri ama kuomba visa ya kwenda China, kuna mabadiliko ya kuomba na kupata visa ya China kuanzia tarehe 31 March 2021.
Hapo awali ilikuwa tunajaza taarifa zetu online na kisha ku-print ile fomu na kuiwasilisha pale ubalozini pamoja na viambatanishi vingine...
Swali la Kwanza
Kuna wabunge wa viti maalum waliokuwa madarakani kuanzia mwaka 2020 hadi 2025, na sasa wanatarajia kugombea tena. Ikiwa watashinda, watakuwa madarakani hadi mwaka 2030.
Swali langu ni: Je, hawa wabunge wakichukua fomu kuomba kugombea mwaka 2030, watakuwa wanakubali sheria mpya...
Tukiwa tunahitimisha kipindi cha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan ningependa tukumbushane kuwa kuishi kwa kutenda mema na kumuomba Mungu yapaswa kuwa utaratibu wa kila siku na sio utaratibu wa mwezi fulani tu na ukipita basi watu tunarudia maovu yetu. Hii ni fursa ya mabadiliko ndani ya...
by Prof Shivji
Do we have any guideline of this kind in Tanzania? With or without guidelines, what is stated in this press release is well known and respected in most international institutions of higher education.
HUU HAPA NDIO UTARATIBU WA DUNIA NZIMA .
1. Awadees msitumie hizo titles before...
Habari za jioni, natumaini mko salama.
Kama kichwa kinavyojieleza. Ninataka kuanza kazi kama consultant wa miradi na tafiti (ni professional yangu), kwa muda sasa nimekua napata wateja wengi na wananilipa vema.
Lakini malipo hayo hayajawahi kukatwa kodi maana nilikua nafanya kama hobby tu, ila...
Nimefika kituo cha kujiandikishia wapiga kura cha Tegeta 'A' inasikitisha sana kwani mashine iliyopo ni moja tu na watu waliopo na wanaoendelea kuja ni wengi sana kiasi cha kushindwa kukidhi uhitaji.
Utaratibu wa kuingia kuhudumiwa kuna namba zinatolewa, wanaopewa kipaumbele ni wanawake...
Anayefanya vizuri lazima apongezwe na atambuliwe, haiwezekani mtoto amefanya vizuri mpaka kufikia kuwa Tanzania One lakini hatambuliwi na kupewa heshima yake, vilevile kwa shule zinazofanya vizuri zaidi.
Kama kuna kasoro na mapungufu, mamlaka husika ziyafanyie kazi na sio kuondoa utaratibu wa...
Kama ilivyo kawaida yangu,
Niliuliza kwanini kwenye uandikishaji wa wapiga kura watu wanarahisishiwa kwa kufuatwa kwenye vitongoji vyao na mambo yanaenda vizuri tu lakini kwenye swala la namba ya NIDA hawataki kuwasogezea wananchi huduma kwenye vitongoji vyao
Nikajibiwa NIDA ni swala nyeti...
Kwenye ufunguzi wa mkutano wa bunge la umma uliofanyika hapa Beijing, Waziri Mkuu wa China Bw. Li Qiang amewasilisha ripoti ya serikali inayokadiria ongezeko la uchumi wa China kwa mwaka huu kuwa asilimia 5. Makadirio hayo yamefikiwa kwa kuzingatia utulivu wa ndani, na maendeleo ya hali ya...
Kutokana na changamoto ambazo zimekuwa zinawakumba Watu wenye ulemavu pamoja na wale wenye mahitaji maalumu pindi wanapotumia usafiri wa umma, Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar (DART) ilijipambanua kwa kuzingatia kipaumbele cha huduma rafiki kwa makundi hayo suala ambalo lilipigiwa chapuo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.