utaratibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania Wajuzi saidia hapa Increment inaongezwa kwa utaratibu upi siku hizi!?

    Asiyejua asichafue tfdhl,,Wajuzi tusaidie.
  2. fundi msati

    JamiiForums Tanzania Je utaratibu upoje ili upate passport ikiwa imekupoyea?

    Habari zenu wana jamvi, Kuna mtu wangu wa karibu amepotelewa na passport yake je utaratibu upi afuate ili kupata nyingine Msaada jamani kwa anae fahamu na gharama zake kama zipo. Natanguliza shukrani
  3. D

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa mabadiliko ya matumizi ya ardhi (Variation)

    Mabadiliko ya matumizi yanatokea pale ambapo mmiliki anapobadilisha masharti ya umiliki tofauti na yale aliyopangiwa awali. Mabadiliko haya ni kwa mujibu wa kifungu cha 35 cha Sheria ya Ardhi Na. 4 ya mwaka 1999. Kwa upande mwingine, mabadiliko ya matumizi yanaweza kutokea pale ambapo kuna...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Polepole: Utaratibu wa CCM ni kuwa, Samia alitakiwa kuishia 2025 na kukabidhi kwa mwingine

    Salaam! Kuna kitu Polepole anekiongea kizito ambacho tumekuwa tukikisema humu mara nyingi. Ameenda mbali na kudai, ikiwa tuna mashaka na akisemacho, tukamuulize Mzee Mangula! 1. Ni hivi, amesema Spika wa bunge, VP,Waziri Mkuu ni marufuku kupitishwa kuwa wagombea urais ,huo ni utaratibu ,miiko...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania WanaCCM watakaoenguliwa kwa mizengwe ya huu utaratibu mpya walitarajia kujiunga CHADEMA Bahati mbaya CHADEMA haishiriki uchaguzi na CHAUMMA hawaitaki

    Wengi walitarajia kurudi upande wa pili ili waingie bungeni bahati mbaya mambo sio. Kilichobakia ni wao kuendeleza upinzani ndani ya chama chao Bhagosha!!!
  6. S

    JamiiForums Tanzania Polepole: Msaliti ni yule anayevunja utaratibu na kujipatia yeye uhalali ubinafsi

    Humphrey Polepole amewajibu wanaomuita kuwa yeye ni msaliti kwa kuhoji kati ya yeye na yule anayevunja desturi na utaratibu ili kujipatia uhalali binafsi.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kutenda haki kwa Mahakama: Ni kuifumua Mahakama Kuu na mahakaka za chini na kuweka utaratibu usio mhusisha Rais kabisa katika kuwasaili/kuwaajili.

    Kwa kufanya hivyo watakuwa independent kutenda haki! AS long as wanateuliwa na Rais, basi lazima wampendelee incumbent president katika kila kitu. Tunaona wa sasa wanavyofanya katika kesi za Lisu! shida ni hawa majaji wa HIGH COURT.....Universal High Court Judges (UHICOJU).........TAKE NOTE...
  8. Mkyamise

    JamiiForums Tanzania Hivi kumbr ule utaratibu wa kanisa katoliki ulikuwa serious!

    Jana nimeshirki misa katika mojawapo ya kanisa katoliki. Nilikaa benchi la nyuma. Mbele yangu alikuwepo mbunge wa zamani wa jimbo ninalolifahamu. Mpaka misa inamalizika hakupewa air time kusalimia kama ilivyokuwa siku za nyuma. Aliondoka kama mimi nilivyoondoka baada ya misa kumalizika! 💪💪
  9. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Aliyepinga utaratibu wa Samia kupitishwa kuwa mgombea u-Rais wa CCM mwaka 2025 atangaza kwenda Dodoma 1/7/2025 kuchukua fomu ya kugombea u - Rais

    https://youtu.be/6IzjauB7SKs?si=Wf1SZWRYBy-7f1eJ Ilikuwa awe ameenda siku ya J'nne tarehe 1/7/2025 sijui ni kitu gani kilimsibu hakufanya hivyo... Tunajaribu kufuatilia kujua kitu gani kilimkwamisha japo tetesi zinasema wazee "wasiojulikana" walitanda na kuziba kila njia za kutoka ktk mji wa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wafanyabiashara tu tunaotoaga 10% ili tupate kazi/Tender. Tuijadili hii 10% tuiwekee utaratibu

    Katika upambanaji wa kutafuta kazi tender kutoka makampuni makubwa binafsi au taasisi za Serikali ni kawaida jamaa wanaotoa kazi kuomba 10% ya thamani ya kazi. Mfano kazi ya 10M wataomba 1M na kazi ya 100M wataomba 10M lasivyo hupati kazi. Sasa tatizo linakuja wakati unapofanya kazi!! Kazi ya...
  11. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Leo naona wafuasi wa Gwajima walijitahidi kuwabishia polisi wakidhani huo ndio utaratibu wa kubishana na mamlaka na kupata haki yao

  12. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua utaratibu wa safari ya treni ya umeme kutoka Dar kwenda Dodoma?

    Wakuu, nataka kwenda Dodoma kwa treni ya umeme. Aliewahi kutumia usafiri huu atujulishe utaratibu tafadhali. Dodoma nitakaa siku moja then nitapita " Singida" Kisha Igunga, ikifuatiwa na Tabora mjini " Chuo cha Uhazili" Then Mwanza jiji Rock City ambako nitakaa kama wiki moja hivi Insha'Allah...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Spika huu utaratibu wa leo mbona wa hovyo? Masaa 2 wabunge wanamsubiri Rais? Hiyo ni aibu!

    Wabunge wa bunge la jamhuri ya muungano aa Tanzania wameingia ukumbini tangia saa 02.30pm mpk sahizi hakuna kinachoendelea, hii ni aibu. Yaani ikulu imekuwa ya hovyo hivi?
  14. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Natamani mh. Rais ayatamke haya wakati anavunja bunge, na ipitishwe kama utaratibu halali.

    Mbunge wa Jimbo fulani lenye wapiga kura 350,ambayo ndiyo jumla ya wapiga kura wake, wenye vitambulisho vya kupigia kura halali, endapo hawataridhishwa na utendaji wa Mbunge wao basi Watakuwa na nguvu ya petition kwa kutumia vitambulisho vyao vya kura kumngoa Mbunge huyo, endapo wananchi hao...
  15. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Kwenye Dabi tano za Kariakoo kuanzia 2025 hadi 2030 Utaratibu uwe huu

    Mwaka huu Simba walipoanza kama wenyeji kwenye raundi ya kwanza ambapo watani zao Yanga waliwapa sapoti yote ya promosheni, wao waliamua kutukana nafasi hiyo kwa kuhujumu raundi ya pili ambapo Yanga ndiye aliyekuwa mwenyeji. Kwa hali hiyo Derby tano zifutazo Yanga ndiye awe ni mwenyezi kwenye...
  16. MkuuXyz

    JamiiForums Tanzania House Girl, Sheria na Utaratibu

    Wana Jamii, nahitaji msaada/muongozo/kuelimishwa kuhusu utaratibu,sheria (kama ipo) kuhusu kutafuta na kumuajili msichana wa kazi/house Girl as a Single Man. Mimi ni Mwanaume wa miaka takribani 40, nahitaji kutafuta, na kumuajili msichana wa kazi, ili aweze kusaidia na mambo madogo kama kufua...
  17. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Presidential candidates.. CCM ilikua na utaratibu wa kuwaandaa viongozi wa nchi, hivi sasa kuna tatizo? Demokrasia?

    CCM MMEACHA NJIA MMEACHA KUANDAA VIONGOZI SASA UONGOZI NI KUENDANA NA UPEPO. Wasalaam wanajukwaa! Tokea enzi za Mwalimu CCM walikua na utaratibu wa kuandaa viongozi ambao baadaye tunawapata marais, speaker, Makamu wa Rais na mawaziri wakuu. Hivi sasa tuseme uongozi umekua ni kama zali hata...
  18. Foxhunters

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayejua utaratibu wa kujiunga na Vyuo vya Uvuvi kama Mbegani-Bagamoyo na Nyegezi-Mwanza

    Kuna mdogo wangu anataka kujiunga na vyuo vya uvuvi kwa ngazi ya diploma . Matokeo yake yanaruhusu nimejalibu kufuatiria website ya feta hakuna taarifa wizara ya mifugo na uvuvi pia sijaona chochote naomba kwa mwenye ufahamu anaipe ualewa zaidi.
  19. funaku

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuanzisha makanisa ,misikiti na NGOs utazamwe upya

    Kwa sasa imekuwa jambo rahisi sana katika kuanzisha hizi taasisi kupitia mifumo ya kieletroniki . Ni vyema Regulatory authorities kujitathmini na kufanya mapitio ya kina namna mtu au taasisi anavyoweza kuanzisha taasisi yake. Uwepo wa mifumo ya kieletroniki usitafsiriwe kuwa ni rahisi tu...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nani walileta utaratibu wa kutahiri wanaume na kuketa wanawake Africa?

    Hili jambo la kutahiri wanaume na kuketa wanawake lilikuwepo Africa au lilitewa Africa na jamii za nje hususani Waarabu ? Ukiangalia nchi ambazo ukeketaji ulikuwa umekithiri na bado umekithiri ni nchi za Mashariki ya kati za kiarabu na zilizopata ushawishi mkubwa wa utamaduni wa kiarabu kama...
Back
Top Bottom