Bodi ya ligi wamepitisha kanuni za kuendesha ligi msimu huu
Moja ya kanuni za ovyo ni kumpata bingwa Kwa kuangalia H2H badala ya goals different, au kuzingatia ushindi wa michezo ya ugenini
Binafsi naona ni utaratibu wa ovyo maana kwenye ligi hazishindani timu 2, wangechukua kigezo cha Goals...
Leo , nipo kawe katika Siasa .
Ila nimefika mtaa fulani nimekuta kuna kiwanda kipo na kina zaidi ya mwaka mmoja kinaleta environmental pollution.
Je ni sahihi naomba watu wa mazingira tuwasiliane haraka.
Mmemuelewa huyu Sheikh lakini wakuu?
Huyu mnadhani atakuwa ame-target chama gani hapa ambacho hakifuati utaratibu?
==========================================
Akiwa anazungumza leo katika Mdahalo wa Wadau wa Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 amesema kwamba...
Wadogo zangu wawili wamemaliza form four na wanatarajia kujiunga na diploma mwaka huu, sasa wote wamepata vyuo ambavyo sio machaguo yao, ila mmoja ameridhika kwa kuwa chuo kilichomchagua amepata kozi yenye mkopo HESLB.
Mwingine amechaguliwa chuo (st. John) ambacho kozi aliyopata haina mkopo na...
Watanzania walitegemea kuona Hawa Wahuni wakijitutumua kujibu Hoja za Dkt Malissa .
Hoja ni Nzito na zamoto , Katika Utawala wa Sheria ulio huru , TUKIO LA SAMIA kujipitisha lingefutiliwa mbali na kuamuriwa Mchakato kuanza Upya.
SAmia na CCM yake WAMEONA waje na Mbinu ya Pingamizi dhidi ya...
Mfano siku 3 kabla ya uchaguzi, mgombea wa UDP au TLP wa nafasi ya uRais akang’ata shuka.., utaratibu ni kuahirisha uchaguzi au inakuwaje..
Utaratibu wa kikatiba unasemaje?
Wakuu,
Nimekutana na video hii ya harusi ya watu wa kabila moja huko Nigeria, nimewaza sana kwa vyuma vilivyokaza sidhani kama wanaume wa Kitanzania hasa wa Daslam wangeweza.
Huu utaratibu uko huko kwenye kabila moja la Nigeria linaitwa Ijaw ambapo mwanamke akiwa Bi Harusi kwenye harusi yake...
Mimi ni mmoja wa wale watanzania ambao natumia sana leseni ya kimataifa ( international driving licence) pamoja na leseni ya nchi ninayoishi ambavyo huwa navyo mara zote. lakini nikiwa Tanzania huwa natumia leseni ya udereva ya Tanzania ambayo muda wake wa matumizi huwa ni miaka mitatu.
Wakati...
Mchungaji mstaafu wa KKKT Dkt. Steven Kimondo amesema kuwa chama cha mapinduzi hakitaki kufanya mabadiliko/reforms zinazoombwa ni kwa sababu wanajua uchaguzi ukiwa huru na haki hawawezi kushinda.
Mchungaji Kimondo amerejelea maneno aliyowahi kuyasema Balozi Humphrey Polepole kuwa CCM ikifanya...
Kuzuia uchaguzi ni pamoja na kuiba kura, kutoa rushwa na kuvunja mchakato wa kupatikana wagombea ndani ya chama na kuvunja katiba ya chama.
Kuzuia uchaguzi sio kusema unataka mabadiliko au maboresho ya kiuchaguzi bali ni kile kitendo cha wizi, rushwa na uvunjifu wa katiba ya nchi na chama...
Wakuu!
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amenyimwa maji ya kunywa mahakamani aliyokuwa akipewa na kaka yake wakati wa usikilizaji wa kesi yake ya uhaini katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Nimeona ni vema kulizungumza hili kukiwa na historia inayomtaja Marekani kuwa ni Nchi kinara wa uhuru wa kujieleza na kulinda utu wa watu, lakini hali ipo tofauti katika Ubalozi wao hapa Dar es Salaam katika kitengo cha kushughulikia maombi ya vibali vya kusafiri (visa).
Utaratibu uliopo...
Anonymous
Thread
katika
kusafiri
mahojiano
maombi
marekani
tanzania
ubalozi
ubalozi wa marekani
upande
utaratibu
vibali
https://www.youtube.com/live/SLd-cTx-idU?si=mNjNJacGsstDpqwD
Leo ndo nimemwelewa pole pole anachokimaanisha!!
Yani katibu ya JMT iliposema kuwa ikiwa makamu wa rais atachukuwa madaraka baada ya rais kufariki ,kwa utaratibu wa chama imara kama CCM ,ilitakiwa kuwepo utaratibu wa kutia Nia Yani...
Ikiwa anaweza kuvunja utaratibu wa chama chake mchana kweupe na wanachama wake wengi wakakaa kimya, Je, ataweza kuheshimu na kufuata utaratibu wa Nchi?
Nimetafakari kuhusu kauli za Polepole akihojiana na Generali Ulimwengu, na kuona Polepole yuko right kabisa. Kimsingi, Samia hakupaswa kabisa kuwa sehemu ya uchaguzi huu unaokuja kama mgombea uraisi.
Raisi Samia (nasikia kwa ushauri wa JMK) alilazimisha awamu hii iitwe awamu ya sita ili...
Huu ni Ujumbe wa Msanii wa Bongo Fleva, Afande Sele kuhusu huduma ya Kituo cha Treni ya Mwendokasi (SGR) Mkoani Morogoro.
Afande ameandika "Time is Money. 🔨Muda ni Pesa.. Muda ni Mali.. Muda ni uchumi✊🏽Jamii ambayo haiwezi kuheshimu muda,isahau kupata maendeleo yoyote ya kijamii ukitoa...
Sisi watanzania huwa tuna utaratibu wetu wa miaka mingi unaitwa "bora tukose wote"
Kwahiyo msishangae Sana hii hali kutokea.
Faida zake ni chanya na hasi .
Ikumbukwe kuwa raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania mwaka 2021 alipatikana kwa mjibu wa katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania baada ya john pombe magufuli kufariki kwa maana hiyo umma wa watanzania unajuwa wazi katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu ilipaswa ashindanishwe na wenzake...
Wazalendo wa kweli wa taifa hili hawawezikukaa kimya kuona misingi inavunjwa. Ni lazima kazi ifanyike taifa lirudi kwenye misingi. Siasa isivuke mipaka ya uzalendo na walinda iyo mipaka wapo na tunaamini kazi yenu. Taratibu zifuatwe akipita aongoze asipopita apumzike maana taifa ni kubwa kuliko...
Utaratibu ulowekwa sasa wa ndugu kuona wagonjwa Hospitali ya Morogoro sio mzuri kiasi kwanza huleta ugomvi wa mara kwa mara kati ya walinzi na ndugu wa wagonjwa.
Pia kutoa mwaya wa upendeleo kwa wale wenye kujuana na walinzi Hao kuweza kuona wagonjwa wao kwa uhuru kuliko wale wasiojuana nao...
Anonymous
Thread
hospitali
hospitali ya rufaa
kati
katika
kuona
mara
mara kwa mara
mkoa
mkoa wa morogoro
morogoro
ndugu
rufaa
ugomvi
utaratibu
wagonjwa
wao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.