Nijuzeni utaratibu wa kusitisha bima ya afya kwa wanandoa

Kama mada inavyojieleza
Kuna rafiki yangu alikatiwa bima ya afya na mke wake sasa wana ugomvi mke anatishia kwenda kuifunga
Jamaa anaulizia utaratibu ukoje ili apambanie haki yake kama mume halali mwenye haki ya kutumia hiyo bima.
Mchango wenu tafadhali
Suluhisho akate yeye mwenye bila kutegemea makato kutoka mishara ya mwanamke
 
1737262900475.jpg
 
Kama mada inavyojieleza

Kuna rafiki yangu alikatiwa bima ya afya na mke wake sasa wana ugomvi mke anatishia kwenda kuifunga

Jamaa anaulizia utaratibu ukoje ili apambanie haki yake kama mume halali mwenye haki ya kutumia hiyo bima.

Mchango wenu tafadhali
Hapo mwamba hana ujanja, hawezi kuzuia huo mchakato.
Anayeamua nani na nani awepo kwenye bima ya afya ni yule mchangiaji. Kama vile huyo mwanamke alimuungiza huyo mwanaume kwenye bima ya afya ndivyo vile vile anaweza kumfuta.
 
Kama mada inavyojieleza

Kuna rafiki yangu alikatiwa bima ya afya na mke wake sasa wana ugomvi mke anatishia kwenda kuifunga

Jamaa anaulizia utaratibu ukoje ili apambanie haki yake kama mume halali mwenye haki ya kutumia hiyo bima.

Mchango wenu tafadhali
Bima ni ipo kisheria, as long as ana cheti cha ndoa , huyo mama hawezi kuzuia jamaa asitumie bima labda ampe talaka
 
Wanaume mlio oa kipumbavu kishamba kamwe usimuandike mkeo ktk mali zako au documents zako zozote zile hata kwa bahati mbaya...
Kataa ndoa... Ndoa ni upuuzi ushamba uoga utoto usengerema ushenzi ushetani...

Mwanaume kama unataka kuoa basi oa mwanamke mwenye pesa ili ukmalimpue mbele ya safari upate pesa ufanye maisha na wanawake wenye akili...
 
Akitoa kitu kidogo inafungwa hata kwa kughushi cheti cha kifo!
Sio tu kughushi ukipeleka tu barua inafungwa kwan Bima wanalazimisha mtu awepo asipokuwepo huyo mume makato ni Yale Yale kama mshahara wako unakatwa 10% basi haijalisshi mnatibiwa wangap ila msizid 6...
 
Bima ni ipo kisheria, as long as ana cheti cha ndoa , huyo mama hawezi kuzuia jamaa asitumie bima labda ampe talaka
Hamna kitu anatoka vizuri kabisa Ata kwa kusingizia amekatq Bima ya kampuni nyinginezo mana yeye ndo aliandika na yeye anamtoa Bima haipungukiwi na kitu mkuu
 
Sio tu kughushi ukipeleka tu barua inafungwa kwan Bima wanalazimisha mtu awepo asipokuwepo huyo mume makato ni Yale Yale kama mshahara wako unakatwa 10% basi haijalisshi mnatibiwa wangap ila msizid 6...
Wewe hujui chochote. Bima ya NHIF wanakata 3% ya mshahara na mwajiri anakulipia 3% jumla 6% na sio 10% uliyosema na sijui umeitoa wapi.

Bima huondoi mtu kwa kujisikia, unapeleka vielelezo, kama ni mume lazima upeleke cheti cha talaka ama kifo.
 
Back
Top Bottom