House Girl, Sheria na Utaratibu

House Girl, Sheria na Utaratibu

MkuuXyz

Senior Member
Joined
Jun 18, 2025
Posts
161
Reaction score
277
Wana Jamii, nahitaji msaada/muongozo/kuelimishwa kuhusu utaratibu,sheria (kama ipo) kuhusu kutafuta na kumuajili msichana wa kazi/house Girl as a Single Man.

Mimi ni Mwanaume wa miaka takribani 40, nahitaji kutafuta, na kumuajili msichana wa kazi, ili aweze kusaidia na mambo madogo kama kufua, kusafisha nyumba, kwenda sokoni, kupika etc.

Nataka kujua utaratibu ukoje, sheria zinasema/umri, na wapi nitapampata msichana huyo ( vidokezo vinahitajoka)

Mimi nina biashara zangu, shughuli za biashara ni nyingi sana, siko tayari kuoa au kuishi na girlfriend/mke na sitafuti mke hapa.

Wadau nisaidieni kunifafanulia taratibu gani nifuate, nataka kuelewa kwa undani.
 
Back
Top Bottom