utaratibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Kwanini TRA sasa hawatangazi mapato ya kikodi ya kila mwezi kama ulivyokuwa utaratibu?

    Mazoea yana tabu na ukikosa kitu ama jambo ulilolizoea pia huja maswali. Mimi jitombashisho nataka kujuzwa na TRA ni kwanini takribani miezi miwili sasa hamtoi taarifa juu ya mapato ya kila mwezi?!
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Serikali yaombwa kuweka utaratibu wa kuwatambua watu wanaookota makopo

    SERIKALI imeaswa kuweka utaratibu wa kuwatambua watu wanaookota makopo nchini na kuwaingiza kwenye ajira rasmi ili kuwapa motisha watu wengi zaidi kufanya hiyo kazi ili kuboresha kazi zao katika kuendelea kuimarisha sekta ya mazingira. Mkurugenzi mtendaji wa shirika la Nipe Fagio Ana Rocha...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ni utaratibu wa pande nyingi tu unaoweza kuijengea Afrika amani na maendeleo

    Tarehe 19, Mei, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilifanya mkutano wa ngazi ya juu kuhusu “kuhimiza ujenzi mpya wa Afrika baada ya janga la COVID-19 na kuondoa mzizi wa mgogoro”. Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi aliendesha mkutano huo. Ikiwa nchi mwenyekiti wa zamu wa Baraza la...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Mke wa Mugabe aitwa Mahakamani kwa tuhuma za kumzika Mumewe kinyume na utaratibu wa Kimila

    Mahakama ya Kitamaduni nchini Zimbabwe yamtaka Mke wa rais wa zamani wa Zimbabwe, Grace Mugabe kufika mahakamani hapo kwa tuhuma za kufanya mazishi “yasiyofaa” ya hayati Rais Robert Mugabe. Grace Mugabe anatuhumiwa kwa kuenda kinyume na utamaduni wa jamii yao kwa kumzika mume wake katika boma...
  5. kigwenje

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upi utaratibu wa kupeleka Barua ya Posa?

    Najua wengi wetu tupo humu tumepitia changamoto za mahusiano. Nisiwachoshe ipo ivi, kuna Dada nimeanza nae mausiano sasa katika mausiano yetu, nataka kuishi nae mke na mume na huyu Dada ni mzaliwa wa Mwanza yani msukuma, wazazi Wake wapo Mwanza. Na, mimi ninachokitaka nijue utaratibu wa kupeleka...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa malipo ya N-CARD Umeonesha kufeli vibaya katika Vivuko, Waziri Chunguza TEMESA kuna kero za makusudi

    Wakati UDART wameonesha waziwazi kufeli juu ya matumizi ya CARD kwa maksudi! TEMESA nao pasipo kujua ama kwa maslahi yao binafsi, Wameingia kichwa kichwa katika matumizi ya malipo ya N-CARD bila weledi! Abiria wote wameelekezwa kuhakikisha wanatumia N-CARD ili kuweza kulipia kivuko, Hivyo...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua utaratibu ninaoweza pitia ili kurasmisha usindikaji wa gongo kuwa pombe rasmi kwenye soko

    Habari wana JF, Nyumbani kwetu kijijini kuna shughuli ya usindikaji pombe aina ya gongo ambayo wanakijiji uifanya ili kuwaingizia kipato. Shughuli hii ni ya muda mrefu sana imefanywa toka enzi za mababu zetu na ni kati ya shughuli kubwa inazoziingizia kipato familia nyingi. Familia nyingi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ongezeko la Mshahara inatumika formula gani, au wote tunaongezewa laki laki

    Samahanini jamvini, Nani anaujuzi na haya Mambo ya ongezeko la Mshahara , ni kwamba kila mmoja wa civil servant ataongezewa fixed amount katika Mshahara gafi yaani elfu 40,000 kila mmoja ama iko vipi, tupate SoMo. Na vipi kupanda daraja, he na Mshahara utapanda Mara mbili yani ya kupandia...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kupata passport kabla ya safari

    Wakuu habari, Hivi unapohitaji Passport kumbe ni Mpaka Uwe na safari, bila kuwa na safari hupati Passport, niliwahi pita pale Airport wakaniambia hivyo maafisa wa Uhamiaji, sasa hawaoni kama ni kuwaonea watu? Hivi mfano inatokea mara paap umepata safari ghafla unatakiwa uondoke baada ya wiki...
  10. Mchaga

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Wana JF naomba mwenye taarifa za taratibu za kusajili kampuni ya madini pale nyumbani Tanzania anisaidie. Natanguliza shukrani zangu. BAADHI YA MAJIBU YALIYOTOLEWA NA WADAU: === === === ===
Back
Top Bottom