utambulisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tomaa Mireni

    SoC03 Umuhimu wa serikali kuwa utambulisho wa fingerprint ulio bora zaidi

    Fingerprint ni nini? Kwa kiswahili (alama za vidole) ni alama au michoro inayopatikana kwenye vidole vya binadamu na zina maelezo ya kina ambazo hudumu katika maisha ya mtu na hivyo kuzifanya zifae kama viashirio vya muda mrefu vya utambulisho wake. Zinaweza kutumiwa na polisi au mamlaka...
  2. BabuFey

    Utambulisho

    Naitwa Mbwana a.ka Babufey naomba mnipokee ni mwanachama mpya ila msomaji wa JF kwa miaka kumi na tano,naona sasa nami niwe nachangia
  3. G

    Wanaokataa uchawi haupo na bado wanaenda makanisani na misikitini wana dini za utambulisho na kuzugia tu

    Kuna watu ni wabishi sana kwamba haya mambo hayapo lakini utawakuta kanisani ama msikitini wakijinadi wao ni wakristo/waislam. Niseme tu kwamba hapa ni ishara ya moja kwa moja wapo kwenye dini kama kushabikia timu za mpira na wala hawajui elimu ya dini yao. Mbaya zaidi hawanaga imani, maji...
  4. M

    Pamoja na Kipigo Kitakatifu cha Tunisia nauliza Utambulisho wa Jezi za Yanga SC haukuhusisha na Bukta zao?

    Rejea kuangalia Jezi za Yanga SC za Leo ilizotumia Kucheza na US Monastir ya nchini Tunisia utagundua kuwa Kilichotambulishwa ni Jezi za Juu ( Shati ) tu za Mdhamini Haier ila Bukta zilizotumika ni zile zile za Siku zote zilizotambulishwa mwanzo wa Msimu. Huu ni Uhuni ambao kamwe haupaswi...
  5. Fundi kipara

    Hodi Bandugu!

    Hodi Bandugu! Mimi ni mgeni katika jukwaa hili, hivyo basi naomba ushirikiano wenu humu. Wadau wa mitandao ya kijamii msogee PM tupeane ushirikiano 🙏.
  6. Khroosb Musombwa

    Utambulisho

    Hi Mimi naitwa Khroosb Musombwa
  7. sepema

    Mliokutana mjini nendeni ukweni mkatambulishane

    Nawasalimu nyote Rafiki yangu yupo kikazi Dodoma tangu mwaka2013. Mwaka huo aliripoti kazi na dada mmoja mwenyeji wa Babati.Jamaa kwao ni Tanga. Hapa na pale baada ya miezi kadhaa wawili hawa wakajikuta niwapenzi. Mapenzi yalivyokolea wakaamua waoane kimjini mjini.Yaani waliishi pamoja bila...
  8. N

    Video: Kuna utambulisho wa Mchezaji Simba leo saa 9:00 alasiri

    Please please naomba iwe ni Manzoki kwa kweli naomba iwe hivyo ,huyo mzungu hata kama ni mkali itamchukua muda sana kuendana na ujinga wetu wa ki afrika please naomba iwe manzokiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ila kila...
  9. Quince de Junio

    Utambulisho wa mimi member mpya

    Habarini za humu jukwaani ndugu zangu. Mimi ni member mpya humu ila nimekuwa msomaji wa muda mrefu kidogo humu jukwaani. Hope mtanikaribisha kwa bashasha tele ndugu zangu wenyeji wa humu. Pamoja na hayo naomba niwajuze kuwa mimi ni msanii wa kizazi kipya ninayechipukia hivyo siku chache...
  10. Lady Whistledown

    Wachezaji 44 nchini Cameroon kuchunguzwa kwa kughushi umri au utambulisho

    Shirikisho la Soka nchini humo Fecafoot limesema wachezaji 44 kutoka katika vilabu 8 nchini humo wanachunguzwa kwa tuhuma za kughushi umri wao au utambulisho wao. Iwapo watapatikana na hatia katika uchunguzi wa ana kwa ana unaofanyika Julai 4-8 ambapo wametakiwa kuambatana na marais wa vilabu...
  11. Nangose 1

    Barua za Serikali za Mitaa zinazokubalika Sekretarieti ya Ajira kama utambulisho

    Wadau, Kutokana na huyu rafiki angu kutokuwa na Kitambulish cha aina yoyote nimeamua kumshauri aangalie na option ya kuomba barua kutoka Serikali yake ya mtaa anayoishi. Sasa wakuu naomba mwongozo kwa mtu aliyewahi kutumia hii option inakuwaje hyo barua na ni kweli utumishi wanakubali bila...
  12. Kasomi

    Je, Tanzania tunatambulishwa kwa kipi? Nchi yangu inapoteza utambulisho

    Tanzania Yangu ya sasa imekosa alama yaani haina Identify kabisa. Je, ni nini alama ya Taifa letu kwa mgeni? Kwa mfano mgeni akitoka Marekani, China, Hispania au Ufaransa je, atatambua vipi hapa amefika Tanzania? Ukiingia China utakuta Maandishi ya kichina Kwenye Mabango, hivyo hivyo ukienda...
  13. nyboma

    Kwanini watumishi wengi wa 'idara nyeti' ni matapeli na hupenda kujifunua utambulisho wao kwa wauza bia bar

    Nimekaa nikajiuliza sana kwanini watumishi wengi wa idara nyeti (wengi mtakuwa mmenisoma na maanisha nini), watu hawa ukiangalia kazi wanayofanya na maisha yao mtaani ni vitu viwili tofouti kabisa maana vijana hawa wamejawa na tamaa hadi kufikia kutapeli watu hovyo mtaani kwa kigezo cha kufanya...
  14. Yohana Isack

    Utambulisho

    Nawasalimu kwa Jina la Muumba mbingu na Nchi na atupae uzima ulimwenguni. Kwa Majina naitwa YOHANA MATIKO ISACK, Niko Chuo kikuu Ardhi, Dar Es Salaam, nafuraha sana kujumuika nanyi ndani ya JF,, MUNGU AWABARIKI NYOTEE 🙏🙏
  15. K

    Matapeli kutumia utambulisho wa vyombo vya dola kunathibitisha udhaifu wa vyombo au mazoea yamezidi?

    Sabaya aliwahi kutumia kitambulisho Cha TISS akabainika ila kesi yake ikafutwa akateuliwa kuwa DC Shinyanga amekamatwa Mwalimu mwenye kitambulisho Cha JWTZ pamoja na official documents za chombo hiki nyeti akituhumiwa kufanya utapeli. Uhamiaji tumeona hivi karibuni wakitoa adhabu huku...
  16. Ngamanya Kitangalala

    Kwenye utambulisho wa Viongozi katika uapisho wa Rais Museveni, Wakuu wa Nchi Wanawake wametambulishwa wa mwisho kabisa

    Binafsi leo nimepata fursa ya kufuatilia kwa njia ya television sherehe za uapisho wa Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda huko jijiji Kampala. Kuna jambo binafsi limeniacha na maswali kadhaa nikijiuliza. Wakati Rais Museveni anatoa utambulisho kwa wakuu wa nchi (Head of state) walioudhuria...
  17. M

    Utambulisho kwa wadau

    Habari zenu wananzengo, mimini mgeni hapa kijijini JF. Naomba kupokelewa nanyi wakuu. Napenda mijadala ya Siasa, mambo ya kidini pamoja na michezo. Mimi ni shabiki wa Chelsea fc. Naomba kuwasilisha.
  18. Makungu jr

    Utambulisho

    Habari zenu wapendwa, mi ni mtu mwanaume, ni raia mwema wa Tanzania ni mgeni katika mtandao huu naomba nitambulishe uwepo wangu hapa, Ahsanteni sana!
  19. Cetrizine

    Utambulisho

    Ndugu zangu Mimi ni mgeni ,naomba mnipokee . Ahsante
  20. Da Vinci XV

    Ukumbi wa Papa: Ndiyo Utambulisho wa yule Nyoka wa Eden?

    Wasalaam wakuu Pope Audiance Hall Paolo VI pia inajulikana kama Jumba la mkutano la Kipapa ni jengo moja kubwa huko Rome kwa Papa, lenye uwezo wa kuchukua watu 6,300, lilitengenezwa kwa saruji iliyoimarishwa vyema na mbunifu wa Italia Pier Luigi Nervi na kukamilika mnamo 1971 Lakini katika...
Back
Top Bottom