utambulisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Rais wa TLS Adv Mwambukusi tunaomba uwe na utambulisho ( Identified user) hapa JF

    Kwanini: Hii itasaidia kukupa mawazo, taarifa, fikra njema za wapenda haki ambao si rahisi kukufikia by whatever simple means. Na kwa njia hiyo utazifanyia kazi kama zitakuwa within your REACH!. Pia utaweza kupata the way out on a number of issues that need your attention as President of...
  2. Chase your dreams

    Nimejiunga rasmi JF

    Heloooo.... Nina Furaha kuuuubwa sana nimejiunga Leo jf "Home of greater thinker" Nitegemeee mazuri yapi kutoka jf najua hamna mabaya
  3. Allan Pontian

    Wiki mpya na utambulisho mpya

    Hodii hapa. Kalbu ninaipenda, zaidi kutoka kwenu Kwa kupenda, yetu yawe yenu Hodi hodi hapa, mlango nifunguliwe. Be blessed
  4. B

    SoC04 Utambulisho wa sekta za kiuchumi ndio utakaoing’arisha Tanzania yetu

    Tangu tupate uhuru yapo mambo mengi ambayo yamefanywa na viongozi wa taifa letu, mambo hayo yalifanywa ili kuliwezesha taifa letu kuimarika kiuchumi na hatimaye kuweza kuendesha shughuli mbalimbali ndani ya taifa letu bila kuteteleka. Kwa kuwa na malengo kama hayo viongozi wa taifa letu...
  5. GoldDhahabu

    Watanzania wanawezaje kuwa na utambulisho huu miaka ishirini ijayo?

    Viongozi wa Mataifa makubwa kama USA ni generational thinkers! Siyo ajabu, akina Biden na Trump wanaiplan Marekani ya miaka mia moja mbele, miaka mingi baada ya wao kuondoka madarakani na hata duniani! Sisi kama Taifa, viongozi na wananchi kwa ujumla, tuna yapi tunayoyaandaa kwa sasa kwa ajili...
  6. Ojuolegbha

    Utambulisho wa Viongozi wa Wizara ya Ulinzi na JKT Bungeni wakati wa Uwasilishwaji wa Bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025 ya Wizara ya Ulinzi na JKT

    Utambulisho wa Viongozi wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Bungeni wakati wa Uwasilishwaji wa Bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025 ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, tarehe 20 Mei 2024.
  7. Kyambamasimbi

    DOKEZO Sukari inauzwa madukani Tukuyu ikiwa haina maandiko yoyote, haija ‘expire date’ wala utambulisho kuwa inatoka wapi

    Kwenu TBS naomba kujua ni halali kuuza sukari iliyowekwa kwenye mifuko Tena ya kilo Moja haioneshi imetoka wapi Wala Haina expire date. Hii ipo Tukuyu maeneo ya Kiwira, KKK, Tukuyu mjini, sasa je usalama wa bidhaa hiyo kwa mlaji ukoje? Jamani fuatilieni watu wajue wanatumi bidhaa ya namba Gani.
  8. R

    Una chapa/Alama/ utambulisho gani katika paji lako la uso?

    Salaam, Shalom!! ALAMA /MUHURI/NEMBO Ina KAZI maalum ya kutambulisha bidhaa au Mali Ili kuonyesha mmiliki halali wa kitu au Mali hiyo, NEMBO, ALAMA au CHAPA, Kwa mifugo Kwa Mfano, zipo kutofautisha mifugo kati ya mmiliki huyu na yule. Waliosafiri Kwa treni enzi zile, wezi walikuwa wanawawekea...
  9. kavulata

    Utambulisho wa vile ndio uliomuumiza okrah?

    Kwetu sisi jeneza, machela Na kubebwa mzegamzega kama alivyotambulishwa Okrah yanga in mkosi, uchuro, Na ishara mbaya kwa mbebwaji. Mechi ya kwanza tu dk ya 15 tayari Okrah anataka kuuawa kiwanjani tena kwa makusudi kabisa katikati ya kiwanja ambako hakuna hatari yoyote kwa KVZ kufungwa bao na...
  10. Ghost MVP

    Tovuti za ponografia(Ngono) zinaweza kutumia utambulisho kwa njia ya picha na 'Credits cards' ili kulinda watoto

    Ofcom imesema kujitambulisha kwa umri, mbinu za kulipa mtandaoni ambazo hazihitaji mtu kuwa na umri wa miaka 18, kama vile kadi ya benki, au masharti ya jumla. Tovuti zinazoonyesha maudhui ya ponografia(Video za ngono) zinaweza kulazimika kutumia ukaguzi wa kadi ya Benki na kulinganisha...
  11. magnifico

    Anaandika Edo Kumwembe Kuhusu Utambulisho Wa D Voice

    KITU AMBACHO HAKITAHOJIWA KWA SASA.... Mamilioni Yanayotumika Kumpaisha Leo Ukianzia Shughuli Yenyewe Ukumbini Pesa Imezama mule, Halafu Kwenda Studio Na Pia Video Kali, Mavazi Ya Kufa Mtu, Location Za South Africa etc... Promotion ya kufa mtu Anaelekea kuwa staa mkubwa. Baadae Akiamua Kujitoa...
  12. Roving Journalist

    Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) awasilisha Hati za Utambulisho

    Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Mhe. Lt. Jen. (Mst) Yacoub Hassan Mohamed amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu, Mhe. Sheikh Mohammed Bin Zayed Al Nahyan katika Ikulu ya nchi hiyo iliyopo Mjini Abu Dhabi...
  13. JanguKamaJangu

    Waziri Tax apokea Hati za Utambulisho za Mwakilishi Mkazi wa UNICEF, amuaga mwakilishi mkazi UNDP

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amepokea Hati za Utambulisho za Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto (UNICEF) nchini Tanzania, Bi. Elke Wisch katika ofisi ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam. Waziri Tax...
  14. R

    Unajua nini kinaweza kutokea ikiwa mtu ana alama yako ya dole gumba au utambulisho wa mboni ya jicho lako?

    Alama ya dole gumba au utambulisho wa mboni yako ni utambuzi wa kibaiolojia ambao hutumika kama njia ya kumtambua mtu na kuruhusu kufikia au kufungua vitu fulani. Ikiwa mtu au kampuni yenye nia mbaya inapata nafasi ya kufikia alama zako za utambulisho, taarifa zako binafasi kama miamala ya...
  15. R

    Je, unaweza kumpa mtu nafasi ya kumiliki utambulisho wako milele kwa gharama ya Ksh. 7,000 (sawa na Tsh. 120,000/-)?

    Watu wengi wajitokeza katika maeneo mbalimbali jijini Nairobi, Kenya kuandikisha utambulisho wao wa kipekee kupitia mboni ya jicho kwenye Kampuni inayoitwa Worldcoins, ambapo kama malipo wanapewa sarafu za kidigitali zenye thamani ya 7,000 za Kenya na mpaka sasa zaidi wa watu 50,000...
  16. benzemah

    Rais Samia apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mabalozi 2 wanaoziwakilisha Nchi zao Tanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amepokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Kiislamu ya Pakistan nchini Tanzania Mhe. Siraji Ahamad Khan, na kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Sierra Leone nchini Tanzania aliye na Makazi nchini Kenya...
  17. S

    Utambulisho

    Habarini waungwana me mgen humu tupeane ushikiano
  18. JanguKamaJangu

    Balozi Kayola awasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Malawi

    Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Malawi, Agnes Kayola amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Malawi, Lazarus Chakwera, tarehe 04 Julai 2023 Ikulu Jijini Lilongwe Malawi. Julai 1, 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu alimteua Balozi...
  19. JanguKamaJangu

    Balozi Kayola awasilisha nakala ya Hati za Utambulisho kwa Waziri wa Mambo ya Nje Malawi

    Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Malawi, Agnes Kayola amewasilisha Nakala ya Hati za Utambulisho kwa Waziri wa Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Malawi, Nancy Tembo Jijini Lilongwe Malawi. Tarehe 01 Julai, 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu alimteua Balozi...
  20. Mwl.RCT

    SoC03 Utamaduni wetu, Utambulisho wetu: Kuchochea Mageuzi katika Sekta za Utamaduni, Maliasili na Utalii

    UTAMADUNI WETU, UTAMBULISHO WETU: KUCHOCHEA MAGEUZI KATIKA SEKTA ZA UTAMADUNI, MALIASILI NA UTALII Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Tanzania ni nchi yenye utajiri mkubwa wa utamaduni, maliasili na vivutio vya utalii. Sekta hizi zina umuhimu mkubwa katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii...
Back
Top Bottom