Utambulisho wa vile ndio uliomuumiza okrah?

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,319
12,622
Kwetu sisi jeneza, machela Na kubebwa mzegamzega kama alivyotambulishwa Okrah yanga in mkosi, uchuro, Na ishara mbaya kwa mbebwaji. Mechi ya kwanza tu dk ya 15 tayari Okrah anataka kuuawa kiwanjani tena kwa makusudi kabisa katikati ya kiwanja ambako hakuna hatari yoyote kwa KVZ kufungwa bao na okrah.

Tusizidishe mbwembwe jamani. Ona Skudu nae mbwembwe zilizidi mno kwenye utambulisho wake nae akaumia dk 10 tu za mwanzo. Tujifunze kumpa sifa zote mwenyezimungu badala ya mtu. Ni heri tuwatambulishe wachezaji wetu kwa kuwwkabidhi kwa mungu (kaswida, mapambio, maulid, na dua) awalimde kuliko kufuru za vile kwa mwenyezimungu
 
Mawazo ya kipumbavu.
 
Yuke alishakunywa konyagi zake lqzima angeumia tu
Screenshot_20240101-190030.jpg
 
Vipi Skudu vs Azam ilikuwa dk ya ngapi? Nae alitambulishwa kwenye jeneza?, Kramo pale Simba alitambulishwa kwenye jeneza?.
Kramo kaja mgonjwa. Skudu na okrah utambulisho wao haukumtanguliza mungu. Walionekana kama watakiwasha tu iwe isiwe
 
Vipi Skudu vs Azam ilikuwa dk ya ngapi? Nae alitambulishwa kwenye jeneza?, Kramo pale Simba alitambulishwa kwenye jeneza?.
Mwenyezimungu anahimiza kuwa na kiasi kwenye kila jambo hata yale tunayoyapenda sana. Matangazo ya Namba 6 yalipitiliza kiasi na utambulisho wa okrah, doumbia nao ulipitiliza kiasi. Mungu una wivu hataki hataki sifa nyingi ziende kwa waja wake badala yake. Tabia hii anayo pia ahmed ally lakini mungu anamuumbua kila kukicha.
 
Na simba waliingia uwanjani na jeneza mpaka leo wanajitafuta
 
Kwetu sisi jeneza, machela Na kubebwa mzegamzega kama alivyotambulishwa Okrah yanga in mkosi, uchuro, Na ishara mbaya kwa mbebwaji. Mechi ya kwanza tu dk ya 15 tayari Okrah anataka kuuawa kiwanjani tena kwa makusudi kabisa katikati ya kiwanja ambako hakuna hatari yoyote kwa KVZ kufungwa bao na okrah.

Tusizidishe mbwembwe jamani. Ona Skudu nae mbwembwe zilizidi mno kwenye utambulisho wake nae akaumia dk 10 tu za mwanzo. Tujifunze kumpa sifa zote mwenyezimungu badala ya mtu. Ni heri tuwatambulishe wachezaji wetu kwa kuwwkabidhi kwa mungu (kaswida, mapambio, maulid, na dua) awalimde kuliko kufuru za vile kwa mwenyezimungu
Mawazo ktk maono ya Ndg, Rageeee...
 
Mwenyezimungu anahimiza kuwa na kiasi kwenye kila jambo hata yale tunayoyapenda sana. Matangazo ya Namba 6 yalipitiliza kiasi na utambulisho wa okrah, doumbia nao ulipitiliza kiasi. Mungu una wivu hataki hataki sifa nyingi ziende kwa waja wake badala yake. Tabia hii anayo pia ahmed ally lakini mungu anamuumbua kila kukicha.
Hoja unaikimbia, skudu, Kramo au Kambole walitambulishwa kwenye jeneza? Mbona waliumia wengine hata mechi moja hawakucheza?.
 
Poor scouting. Lakini kila aliyetambulishwa kwa mbwembwe zilizopita kiasi anaanguka vibaya. Sifa zote apewe Mungu sio binadamu. Mungu atamshusha aliyejikweza au aliyekwezwa na wanadamu.
 
Yuke alishakunywa konyagi zake lqzima angeumia tuView attachment 2863459
Kila mchezaji atakaepewa sifa nyingi kuliko alizopewa na Mungu atapata misukosuko mingi. Kwa Mungu fisi ni fisi na mbweha ni mbweha tu, na Mungu hatakubali sifa za fisi apewe mbweha na za mbweha apewe fisi. Yanga imeishia robo mapinduzi cup maana Mungu hakubali kudhalilishwa na wakora, Simba pia iko njiani kuyaaga mapinduzi tena kwa aibu maana simba imepeleka kikosi chake tegemeo
 
Back
Top Bottom