Nani hasa ana utajiri mkubwa kati ya Joseph Kusaga DSM na Vicent Laswai Moshi? Nani Fogo

ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
1,964
3,895
Imenibidi nilete ubishani huu huku jukwaani kwani hii inaweza kuwafanya vijana wafanye kazi na kujituma na kuweza kujipatia Fedha nyingi nao wakatambulika na kuheshimika kama watu Hawa.

Tulikuwa tumekaa kijiwe kimoja na moja ya wadau wa tasnia mbalimbali za entertainment na ukazuka ubishi juu ya uwezo wa Fedha (utajiri) kati ya watu wawili ambao sote tunajua Wana uwezo wa kifedha japokuwa mmoja yupo na biashara zake dar es salaam mwingine yupo na biashara zake Arusha na Kilimanjaro.

Kulikuwa na mjadala wa muda mrefu kuwa kati ya tajiri Joseph Kusaga na Tajiri Vicent Laswai nani ana mkwanja mrefu kuliko mwenzake.

Joseph Kusaga ni Bilionea anaemiliki biashara hizi
1. Clouds media Group, Wasafi Tv , wasafi radio, diamond karanga, diamond pafyumu, etc
Na Vicent Laswai ni yeye ni mwenyekiti wa Kibo group limited, ambaye anaemiliki kibo palce hotels in Arusha na Kilimanjaro, lakini pia anaemiliki maduka ya Kuibadilisha Fedha, na pia ni mfanyabiashara kama agent Kwa Kanda ya kaskazini.

Sisi machalii wa A town mtu mwenye mawe mengi tunamuita Fogo, Sasa kati ya Joseph Kusaga na Vicent Laswai nani Fogo zaidi.

Nani hapa ana mapene mengi.


Screenshot_20230616-011822.jpg
Screenshot_20230618-165417.jpg
Screenshot_20230618-165340.jpg
Screenshot_20230618-164309.jpg
 
Imenibidi nilete ubishani huu huku jukwaani kwani hii inaweza kuwafanya vijana wafanye kazi na kujituma na kuweza kujipatia Fedha nyingi nao wakatambulika na kuheshimika kama watu Hawa.
Kusaga ni bilionea? Kwa biashara zipi? Clouds ni biashara ya familia, sio yake personally. Diamond karanga na perfume zilishakufa siku nyingi. Hiyo Wasafi Media nayo ni joint venture.
 
Kifupi huu mjadala kusaga hawezi shinda hata iweje
Unamshindaje Laswai mbele ya wachaga na Arusha gang walioko mtandaoni yani unabishana nao vipi hadi ushinde!?
Anyway mi nasema Hawa wote ni matajiri wakubwa na mshindi kati Yao hayupo.
 
Back
Top Bottom