Utajiri na ustaarabu

Patriot3

JF-Expert Member
Aug 5, 2022
312
521
Je utajiri unaweza kuchangia ustaarabu wako?

Nimekuwa nikitazama kwenye zebra kwa utafiti wangu. Ni rahisi V8 awape chance ya kuvuka watembea kwa miguu kuliko ist na bodaboda.

NB. Assumption ya utafiti ni kuwa mwenye v8 ana kipato kuliko bodaboda.

Update.
Angalia daladala zinazokwenda sehemu za watu wa chini sana. Wana tabia za kurukia madirishani, uchomoaji ni wao
Nenda maeneo ya kujihifadhi sehemu za watu maskini, mf shule, hosp, etc utakuta mtu anaacha shimo anajisaidia pembeni.

Nenda stend ya Magufuli. Ukipanda kuelekea juu unakutana na mikojo ilihali kuna vyoo.

Poverty is an evil. Let's fight it. It has a very negative impact on our behavior and attitude.
 
Je utajiri unaweza kuchangia ustaarabu wako?

Nimekuwa nikitazama kwenye zebra kwa utafiti wangu. Ni rahisi V8 awape chance ya kuvuka watembea kwa miguu kuliko ist na bodaboda.

NB. Assumption ya utafiti ni kuwa mwenye v8 ana kipato kuliko bodaboda.

No noo ni tabia tu, some are crooks by nature hawana ustaarabu barabarani haitegemei anaendesha gari gani.
 
Mmh....We sio Unawachokonoa wenye IST kweli.?

Sie Wenye Vibebi walker mbona tuna tabu..?
 
Watu hohehahe siku zote tukinyanyuka kidogo kuwazidi tuliokuwa nao level moja hujikuta tunavimba na kujimwambafy ndo maana huwa hatuchelewi kuporomoka na kurudi ktk hali zetu za awali.
Kwamfano, mpita njia yupo kwenye zebra hutaki kuheshimu haki yake ya kuvuka ukimgonga na kumuumiza ujue imekula kwako utaishia kumlipa na kugharamia matibabu.

Mwenye v8 siku zote lazima awe cautious na hela zake hakubali kupoteza kizembe coz aim yake ni kuendelea kuwa juu kwa kuheshimu hela zake.
 
No noo ni tabia tu, some are crooks by nature hawana ustaarabu barabarani haitegemei

No noo ni tabia tu, some are crooks by nature hawana ustaarabu barabarani haitegemei anaendesha gari gani.
Post is about how environment can influence your behavior regardless of your personality, since personality isn't static.
 
Je utajiri unaweza kuchangia ustaarabu wako?

Nimekuwa nikitazama kwenye zebra kwa utafiti wangu. Ni rahisi V8 awape chance ya kuvuka watembea kwa miguu kuliko ist na bodaboda.

NB. Assumption ya utafiti ni kuwa mwenye v8 ana kipato kuliko bodaboda.
Naunga mkono hoja
 
we ni fala kweli tena hapo ulikua ukitazama ukiwa kwenye bodaboda, alokuambia mwenye v8 ni tajiri na mwenye ist ni masikini nani!? kuna watu wana hela mpaka basi ila wanatembelea vitz, na kuna watu wanapanga ila wanavimba mjini na v8....acha ushamba we kenge....utajiri haupimwi kwa magari
 
Je utajiri unaweza kuchangia ustaarabu wako?

Nimekuwa nikitazama kwenye zebra kwa utafiti wangu. Ni rahisi V8 awape chance ya kuvuka watembea kwa miguu kuliko ist na bodaboda.

NB. Assumption ya utafiti ni kuwa mwenye v8 ana kipato kuliko bodaboda.
utajiri upi, halali wa bidii, ukabaji, uporaji, rushwa, wizi, ushirikina au utajiri wa kichawi? ustaarabu wao unatofautiana sana hususani kwenye zebra...
 
Back
Top Bottom