Kenya 2022 Utabiri: Martha Karua atakuwa Rais wa 6 Kenya kabla ya Raila kumaliza muhula wake wa kwanza kama Rais

Kenya 2022 General Election

The Stress Challengerr

JF-Expert Member
Jan 18, 2020
2,478
6,764
Inakuwaje wanajamvi!

Ruto atashinda kwa kura nyingi Sana tena kwa kishindo lakini hatatangazwa kuwa Rais. Kwasabab Uhuru hatakubali atachakachuwa tu matokeo ya uchaguzi.

Ruto ndie mtu sahihi kuwa Rais wa Kenya. He is simply a presidential material. Natamani na napenda Sana Ruto kuwa rais. He is charismatic and intelligent. Lakini wivu, hila na fitna tu za waovu zitamzuia kuwa rais kama tu Fitna alizofanyiwa Rais wetu Lowasa.

Raila atakuwa Rais wa Kenya (5th president) baada ya uhuru kwa kubebwa tu kwenye uchaguzi. Atamchagua Martha Karua kuwa mgombea mwenza na hatimae Martha Karua atakuwa makamu wa Rais deputy president.

Huu ni utabiri wangu Martha Karua ndie Rais wa Kenya baada ya Raila. Raila hatamaliza muhula wake wa kwanza wa urais na Martha Karua kuwa Rais kwa mujibu wa katiba ya Kenya.

show-photo.jpg

Martha Karua the 6th President of Kenya.

Cc zitto junior
 
Mna mpango wa kumuua Raila kama mlivyofanya kwa magufuli si ndio?
Hapana ni utabiri tu. Mwenye uwezo wa kumpa uzima mtu na kuutoa ni Mungu tu.

Raila umri umeenda Sana. Hataweza mikimiki ya urais Kenya. Kenya watu vichwa vigumu Sana na wanajielewa watampa wakati mgumu na presha.

Jiwe yeyote angeweza tu kutabir mwishowake kwasabab hakuzingatia kujikinga na Covid. Licha ya urais Tanzania siyo mgumu kama kubeba zege.
 
Inakuwaje wanajamvi!

Ruto atashinda kwa kura nyingi Sana tena kwa kishindo lakini hatatangazwa kuwa Rais. Kwasabab Uhuru hatakubali atachakachuwa tu matokeo ya uchaguzi.

Ruto ndie mtu sahihi kuwa Rais wa Kenya. He is simply a presidential material. Natamani na napenda Sana Ruto kuwa rais. He is charismatic and intelligent. Lakini wivu, hila na fitna tu za waovu zitamzuia kuwa rais kama tu Fitna alizofanyiwa Rais wetu Lowasa.

Raila atakuwa Rais wa Kenya (5th president) baada ya uhuru kwa kubebwa tu kwenye uchaguzi. Atamchagua Martha Karua kuwa mgombea mwenza na hatimae Martha Karua atakuwa makamu wa Rais deputy president.

Huu ni utabiri wangu Martha Karua ndie Rais wa Kenya baada ya Raila. Raila hatamaliza muhula wake wa kwanza wa urais na Martha Karua kuwa Rais kwa mujibu wa katiba ya Kenya.View attachment 2194622
Martha Karua the 6th President of Kenya.

Cc zitto junior
Utabiri mzuri!! Lakini Ruto kushinda hawezi unless apate 100% ya kura za Wakikuyu.

Odinga ana kura za West, Nyanza, Ukambani, Mombasa, plus Nairobi Ina maana mpaka hapo ana 45% kabla hata kura hazijapigwa

2007, 2013 na 2017 zote alipata above 44% so tukienda kwa logic hiyo bila kura za Wakikuyu tena atakua na 45%.

This time kwa mara ya kwanza Odinga amepata support ya Wakikuyu kadhaa akiwemo Rais Kenyatta na magavana wa kutosha na ikiwemo Mount Kenya forum plus Deepstate iliyojaa Wakikuyu!!

Hivi kweli uhuru Kenyatta atashindwa kupata hata kura million 1 kati ya kura zaidi ya million 5 za Wakikuyu/Meru?? Akileta hiyo 10% pekee then Raila atapata 55% hivyo Ruto kutupwa nje ya ulingo.

So kwa hesabu hizi Ruto hata bila kura kuibwa hawezi mshinda Odinga ni mchanga sana kisiasa. Ni sawa na Kusema January amshinde Kikwete kwenye uchaguzi!!
 
Ruto(Kalenjin) ni Rais wa Tano ya Kenya,Deputy wake Mount Kenya-Justin Muturi👌
Mudavadi(Luhya) ni Rais wa Sita wa Kenya,Deputy wake wa Mount Kenya-Waiguru👌
 
..Ruto sitaki kabisa kusikia habari zake baada ya kuwatukana watu wa Congo.

..Raila Odinga ni vigumu kumsamehe kutokana na urafiki wake na dikteta Magufuli.
 
Inakuwaje wanajamvi!

Ruto atashinda kwa kura nyingi Sana tena kwa kishindo lakini hatatangazwa kuwa Rais. Kwasabab Uhuru hatakubali atachakachuwa tu matokeo ya uchaguzi.

Ruto ndie mtu sahihi kuwa Rais wa Kenya. He is simply a presidential material. Natamani na napenda Sana Ruto kuwa rais. He is charismatic and intelligent. Lakini wivu, hila na fitna tu za waovu zitamzuia kuwa rais kama tu Fitna alizofanyiwa Rais wetu Lowasa.

Raila atakuwa Rais wa Kenya (5th president) baada ya uhuru kwa kubebwa tu kwenye uchaguzi. Atamchagua Martha Karua kuwa mgombea mwenza na hatimae Martha Karua atakuwa makamu wa Rais deputy president.

Huu ni utabiri wangu Martha Karua ndie Rais wa Kenya baada ya Raila. Raila hatamaliza muhula wake wa kwanza wa urais na Martha Karua kuwa Rais kwa mujibu wa katiba ya Kenya.View attachment 2194622
Martha Karua the 6th President of Kenya.

Cc zitto junior

Mnaleta wizi wa CCM Kenya?. Kenya haiko hivyo.
 
Raila ni presidential material na atashinda Ruto ni mchafu kama EL hafai.
 
Utabiri wa ujinga wa hali ya juu sana, we unashirikiana na mungu kumpigia mtu aishi muda gan sio?
 
Inakuwaje wanajamvi!

Ruto atashinda kwa kura nyingi Sana tena kwa kishindo lakini hatatangazwa kuwa Rais. Kwasabab Uhuru hatakubali atachakachuwa tu matokeo ya uchaguzi.

Ruto ndie mtu sahihi kuwa Rais wa Kenya. He is simply a presidential material. Natamani na napenda Sana Ruto kuwa rais. He is charismatic and intelligent. Lakini wivu, hila na fitna tu za waovu zitamzuia kuwa rais kama tu Fitna alizofanyiwa Rais wetu Lowasa.

Raila atakuwa Rais wa Kenya (5th president) baada ya uhuru kwa kubebwa tu kwenye uchaguzi. Atamchagua Martha Karua kuwa mgombea mwenza na hatimae Martha Karua atakuwa makamu wa Rais deputy president.

Huu ni utabiri wangu Martha Karua ndie Rais wa Kenya baada ya Raila. Raila hatamaliza muhula wake wa kwanza wa urais na Martha Karua kuwa Rais kwa mujibu wa katiba ya Kenya.View attachment 2194622
Martha Karua the 6th President of Kenya.

Cc zitto junior
Ww jamaa ulitabiri magu kufariki baada ya miezi 6 akafariki....una maruani wabaya ww
 
Back
Top Bottom