Utabiri: Ni suala la muda tu kabla Mwigulu hajaondolewa katika nafasi yake kwa kubadilishwa wizara au kuondolewa kabisa katika Baraza la Mawaziri

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
Hata kama Mama anampenda au bado ana imani na Mwigulu, ni vigumu sana kuendelea kumbakiza katika nafasi yake kutokana na reaction ya umma kwani anaonekana kuwa ni waziri anaengoza kwa kulaumiwa na kutuhumia na hivyo anakosa sifa ya kisiasa ya kuendelea kuwa waziri.

Kwa maneno mengine, yeye kuendelea kuwa waziri,. sasa kunamgharimu kisiasa Bosi wake jambo ambalo sidhani kama Mama ataendelea kulivumilia. Hivyo, ni swala la muda tu kabla hajaondolewa na mtihani pekee kwa Mama anamuondoaje au anamuondoa katika mazingira gani.

Katika siasa, hata kama hujatenda kosa lolote, ila ikatokea umma unakuunyoshea kidole au kutajwatajwa mara nyingi kwa mambo yasiyopendeza, basi uwajibikaji wa kisiasa huwa haukwepiki ama kwa kuwajibika mwenyewe kwa kujiuzulu nafasi yako, au kusubiri kuonddolewa na Mamlaka yako ya kinidhamu.

Japo hapa Bongo na Afrika kwa ujumla utamaduni huu haijazoeleka sana, ila tartatibu tunaanza kuzoea na mifano teyari iko mingi na hapa kwetu yameshatokea hivyo Mwigulu is the next whether ana hatia au laa.

Bashite is a good example japo ilichukukuwa muda.

Time will tell.
 
Tuna Imperial president, she is above the law. na kwa Tanzania, wameshatusoma, sisis ni MATUTUSA, like sacks of potatoes you can treat them as you like! Hivyo Mwigulu is here to stay, unless amemuudhi personally aliyemchagua eg kuonyesha kuutaka urais and the like!
 
Nani mwenye sifa kumzidi mule Bungeni hadi aondolewe?
Ndio maana tunaangamia kama nchi kwa kuwa na wstu wenye fikra kama hizi.

Tangu awe Waziri amewahi kufanya lipi la maana?

Hivi ninani anatuhumiwa kuvalisha mbwa scurf ya CHADEMA enzi za JK?

Mtu kama huyu ndio msomi wa kuamini akipewa nafasi ata-deliver?
 
Hana tofauti na yule walomokota kle jalalan. Hadharani kujisifia kw sana ila kumbe wameokotwa. Wanashndwa tofautisha usomi wa vyeti na kuwa na akili kwamba kuwa na PhD ni kuwa na cheti wala sio busara, hekma au akili. Matokeo ya kuwa na hawa watu serikalini ni mateso kwa wananchi, wanafanya maamuzi yasiyo na viwango kama vile wameyafanya wakiwa bar, wamelewa, watu wanateseka.
 
dah umeongea neno kubwa sana aisee.

Wasomi wengi Tanzania na Africa wakishasoma wanaamini wao ndio wanaakili kuliko wote huku wanasahau tunawapima kwa matokeo.
 
Back
Top Bottom