China kwa sasa inageuza soko lake kuwa chachu ya ushirikiano, hali ambayo inaonekana ni tofauti kabisa na nchi za magharibi ambazo zinatoa mapendekezo yanayoambatana na masharti kemkem.
Nchi za Afrika zimekuwa zikijiuliza kwa muda mrefu, ya kwamba ni nani hasa anayefungua soko lao, kwa masharti...
Hivi karibuni, "Ushuru Sifuri wa China" imekuwa mada muhimu kwenye vyombo vya habari nchini Kenya. Watu mbalimbali, kuanzia Makamu wa Rais hadi wafanyabiashara, wanaipokea sera hiyo (itakayotekelezwa kuanzia Mei mosi, 2026) sio kwa kuikaribisha tu, bali kujipangia mikakati mipya.
Sababu si tu...
Mimi ni dereva wa bus, ya kwanza ni kituo cha mabasi chemchem Bagamoyo, ndiyo kituo cha kwanza kupandisha ushuru kuwa mkubwa Tanzania, awali ilikuwa shilingi 2,000 kwa siku then sasa hivi wanachajisha shilingi 4,000.
Wanapandisha bei wakati mazingira ya Stendi bado ni mabovu sijapata kuona...
Chini ya mwanga hafifu wa mwanzoni mwa majira ya mpukutiko katika Kizio cha Kusini, mistari ya chupa inasikika kwa utulivu katika Kiwanda cha Mvinyo cha Diemersdal huko Cape Town Afrika Kusini. Msimu wa mavuno ndio kwanza umemalizika, na kuacha safu za mizabibu zikiwa zimechumwa zabibu zake...
Leo nilikua nasafiri Kutoka Mwanza, kufika getini, nikaonesha tiketi ya kidijitali (kielektroniki) kwenye simu.
Katika hali ya kushangaza mhudumu akagoma ety napaswa kuonesha hardcopy au kulipia Ushuru sh 300. Kuhoji naambiwa ety Kodi hiyo ni ya halmashauri ya Jiji la Mwanza.
Jambo kama hili...
Anonymous
Thread
mabasi
mara
mbili
nyegezi
stendi
stendi ya mabasi
ushuruushuru wa stendi
Iran imeweka njia ingine ya kupita meli ziendazo nchi za mbali na kuwapa uwezo IRGC kuziona meli hizo na kutoza ushuru kwa kila meli.
Hadi meli kadhaa tiyari zimelipia tozo hiyo ya kupita kwenye mfereji wa Hormuz na kila meli italipa dola milioni 2.4
Picha na AP
Ukiangalia katika picha hapo...
Hali imeshakuwa mbaya kwa sababu ya vita inayoendelea. Haina ubishi kuwa bei zimepanda huko duniani. Ila mimi nimeona serikali ichukue hatua ya dharura kwa kuondoa VAT na Excise duty kwenye mafuta yanayoingia nchini hata kwa miezi miwili ili kuingiza mafuta ya kutosha kwa wakati huu ambao...
Halmashauri ya Kilosa kuchukua Sh 2,000 kwa kila gunia la mpunga kwa Wakulima wa mpunga katika Kata ya KIMAMBA A na KIMAMBA B Wilayani KILOSA mkoani MOROGORO, ni maumivu makali kwetu kwa kuwa ni kama hawatusaidii chochote kisha
Wakulima wanaolima Bonde la Kimamba kwa sasa wanahangaika na...
Anonymous
Thread
halmashauri
kilosa
mashamba
mavuno
mpunga
ushuru
wakati
wakulima
wanakuja
Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi Nchini, Balozi Ombeni Sefue ametoa pendekezo hilo la tume hiyo leo Tarehe 18 Machi, 2026 Ikulu Dar es Salaam wakati wa kukabidhi ripoti hiyo
Sisi ni Wamiliki wa Tipa za kusomba madini ujenzi Manispaa ya Iringa tuna kero yetu, kwa kawaida Ofisi ya Madini Mkoa huchukua shilingi 8,000 kwa kila ‘trip’ moja.
Wakati huohuo Ofisi ya Mkurugenzi huchukua shilingi 300,000 kwa mwaka wakisema ni ushuru pia.
Aidha, Ofisi ya Mkurugenzi huchukua...
Katika mahojiano maalum na Fox Business, Trump alieleza namna nchi nyingi kama Uswisi zinavyonufaika kwa mrefu huku kujaza bidhaa zao marekani bila ushuru huku wao wakiendelea kutoza ushuru bidhaa za Marekani,
"Nilikuwa na tukio na nchi moja nzuri sana, Uswisi. Walikuwa hawalipi ushuru wowote...
Habari
Asipo kupoteza muda, Leo nimekuja na habari njema Kwa wote wenye uhitaji wa pesa ya kulipia ushuru bandarini Kwa mizigo auagar waliyoagiza Toka NJE ya nchi.
Mkopo unaaanzia milioni moja hadi billion Moja ya kitanzanià
Riba ya mkopo ni 3.5% kila mwezi
Mdhamana wake ni Kiwanja àu...
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametoa onyo kali kwa mataifa yote duniani yanayofanya biashara na Iran, akitangaza kuwa nchi yoyote inayoendelea na itakayofanya hivyo itakabiliwa na ushuru mpya wa asilimia 25 kwa bidhaa zake zote zinazouzwa nchini Marekani.
Hatua hiyo imekuja wakati utawala wa...
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka, amewashangaa Halmashauri wanaotoza kodi na ushuru mkoani humo kwa kuendeleza taratibu zisizo na uhalisia, hususan kwa wafanyabiashara na wakulima wadogo.
Akizungumza na Madiwani pamoja na Halmashauri, Mtaka alisema: “Mtu analima mpunga, anapiga maombi mvua...
Na Dkt. Kirimi Wanjagi
Mivutano ya hivi karibuni mpakani mwa Kenya na Tanzania, ambapo malori yalilazimika kusimama kwa saa nyingi kufuatia vurugu za Oktoba 29 nchini Tanzania zimefufua tena wasiwasi wa muda mrefu katika jumuiya ya wafanyabiashara eneo Afrika Mashariki kuwa hali mbaya kuliko...
Ila waKenya mnabalaa sana :D :D :D ila kwa upande mwingine ni kweli maana ni pesa za wananchi kwahiyo wanahaki ya kutembea nalo kidogo
================
Mwanaume mmoja nchini Kenya amekamatwa kwa kuiba gari ya Polisi jambo ambalo limezua taharuki na mshangao miongoni mwa watazamaji.
Mwanamume...
Habari
Pasipo kupoteza muda naomba niende kwenye ya kiwango Cha ushuru unaodaiwa bandarini wakati mada
Naomba kutangaza Kwa wote wale ambao wameagiza magari Toka nje ya nchi kama Japan lakini wakawa hawana pesa ya kutosha kulipia ushuru basi sisu tunatoa mikopo kiwango Cha kukopa ni asilimia...
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza agizo rasmi la kuongeza ushuru wa ziada wa asilimia 25 kwa bidhaa zinazoingia Marekani kutoka India, kutokana na India kuendelea kununua mafuta kutoka Urusi.
Hatua hiyo itafanya jumla ya ushuru kwa bidhaa za India kufikia asilimia 50 – moja ya viwango...
Marekani imefikia makubaliano ya awali ya kibiashara na Umoja wa Ulaya siku ya July 27,2025, ambapo imeweka ushuru wa kuagiza bidhaa kutoka EU kwa kiwango cha asilimia 15 ikiwa ni nusu ya kiwango kilichokuwa kimetishiwa awali. Hatua iliyosaidia kuepusha vita vikubwa vya kibiashara kati ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.