ushuru

  1. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Wapiga debe na madalali wa watoza ushuru waliojificha

    Habari Tanzania ! Nauliza swali. Hivi hawa Raia wanaojihusisha na hizi kazi mbona wanatoza ushuru binafsi pasipo mamlaka husika kujua, je hii ni sawa kwa maendeleo ya nchi? Karibu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kero za ushuru wa biashara ndogo ndogo temeke

    Habari wanajikwaa Nimekua mfanya biashara mdogo katika halmashauri ya manispaa ya TEMEKE na changamoto ni kua wanakuja kuchukua ushuru kila siku sokoni lakini swali la kujiuliza mbona ushuru huu wa Tsh 500 kila siku umekuwa ukitolewa lakini wahusika hawatuboreshei mazingira ya kazi mfano...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Nchi hii ya Afrika yaingia katika hali ya maafa baada ya kukandamizwa na sera ya ushuru ya Marekani

    Katika mitaa ya Maseru, mji mkuu wa Lesotho, viwanda vya nguo vilivyokuwa na oda nyingi vimefungwa. Wafanyakazi waliokosa kazi wanasimama kwa foleni chini ya jua kali, wakiinua mabango yanayosema: "Tunahitaji kazi, tunahitaji chakula." Nchi hii ya milimani ya Afrika ambayo rais wa Marekani...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa EU na Mexco dhidi ya Ushuru 30% wa Trump

    Rais wa Tume ya Ulaya, Ursula von der Leyen, amesema Umoja wa Ulaya umejikita katika mazungumzo, utulivu na ushirikiano mzuri wa pande mbili na Marekani. Ametoa kauli hiyo baada ya Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump, kuandika barua akionya kuhusu kuongeza ushuru zaidi kwa bidhaa kutoka EU...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Nimefarijika sana kusikia kwa Mchungaji kuwa kumbe makahaba na watoza ushuru wataurithi Ufalme wa Mungu

    Ni kwenye mahubiri ya wiki iloisha nimefarijika sana
  6. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Ushuru wa forodha: Trump aweka shinikizo kwa Korea Kusini na Japani

    Rais wa Marekani Donald Trump siku ya Jumatatu, Julai 7, ameahidi kutoza ushuru wa forodha wa angalau asilimia 25 kwa nchi kadhaa, zikiwemo Japani na Korea Kusini, washirika wawili wakuu wa Asia. Kwa Washington, hii inakusudiwa kuhimiza washirika wake wengine kutia saini mikataba ya biashara...
  7. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania China yamuonya Trump juu ya ushuru, yatishia kulipiza kisasi

    China umeuonya utawala wa Trump siku ya Jumanne dhidi ya kuzidisha mvutano wa kibiashara ikiwa itarejesha ushuru kwa bidhaa zake mwezi ujao, na kutishia kulipiza kisasi dhidi ya mataifa ambayo yanaingia mikataba na Marekani ili kuiondoa China katika minyororo ya usambazaji. Washington na...
  8. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amelaani tishio la Donald Trump la kuongeza ushuru kwa mataifa ya BRICS

    Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa leo Jumatatu amelaani tishio la Rais wa Marekani Donald Trump la kuongeza ushuru kwa mataifa ya BRICS, akisema juhudi za Trump za "kuuadhibu" umoja huo zinawasikitisha. Trump amekuwa akilishutumu kundi hilo la mataifa 11 -- ambalo pia linajumuisha Brazil...
  9. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Mataifa ya BRICS kukemea ushuru wa Trump

    Viongozi wa kundi la madola yanayoinukia kiuchumi ulimwenguni – BRICS wanakutana mjini Rio de Janeiro kuanzia Jumapili. Wanatarajiwa kukashifu sera kali za kibiashara za Donald Trump. Mataifa hayo yanaoinukia kiuchumi ambayo yanawakilisha takriban nusu ya idadi ya watu duniani na asilimia 40 ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania MKOPO KWA WAFANYABIASHARA WANAAGIZA MIZIGO NJE YA NCHI NA ULIPAJI WA USHURU BANDARINI 0(KOPA MPAKA SHILINGI MILION 500)

    Habari Pasipo kupoteza muda naomba niende Moja Kwa moja kwenye mada, Ukiwa wewe mfanyabiashara na unahitaji kununua mzigo Toka nje ya nchi lakini kiasi Cha pesa hakitosh au mzigo wako umekwama bandarini sababu umeshindwa kulipia ushuru basi karibu ofisin kwetu tukusaidi,e MIKOPO yetu huanzia...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Changamoto za biashara nchini upande wa kodi / ushuru

    Vijana tukiwa takribani 40% ya idadi ya watu hapa nchini hivi sasa ... Tumeambiwa tupo wengi tuliyohitimu level mbali mbali za elimu diploma, degree na Masters....(still jobless & moodless) Tumeambiwa tujiajiri na tuwe wabunifu , tumejitajidi na tunaendelea kujitahidi ktk hilo ili kukimbizana...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mnyukano mkali kati ya Zitto, Mwigulu na Profesa Tibaijuka kuhusu pendekezo la kutoza ushuru wa 10% kwenye mapato yaliyobaki (retained earnings)

    Wakuu Hapa nimewasogezea Mnyukano mkali niliokutana nao mtandao wa X kati ya Zitto Kabwe, Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba na Profesa Anna Tibaijuka kuhusu pendekezo la kutoza ushuru wa 10% kwenye mapato yaliyobaki (retained earnings) Zitto Kabwe (12 Juni 2025): Alikosoa pendekezo la ushuru wa...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wazimbabwe lazima kulipa ushuru wa kusikiliza Redio kwenye magari yao, Sheria yatiwa saini na Rais Mnangagwa

    Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa ametia saini mswada wa sheria unaowataka madereva wote wa magari nchini humo kulipia ushuru wa kusikiliza redio kabla magari yao hayajapewa bima ya magari. Kulingana na sheria hiyo mpya ya ushuru, madereva watatakiwa kulipia kiasi cha Dola 92 za Kimarekani...
  14. JMF

    JamiiForums Tanzania Msamaha wa ushuru wa gari kwa mtumishi wa umma ni lazima uagize au hata gari za yard?

    Wakuu habari za weekend? Naomba uzoefu wa mada tajwa hapo juu kutoka kwa mtumishi aliyewahi kupata msamaha wa import duty au kutoka kwa wakala wa forodha mwenye uzoefu au aliyewahi ku deal na kesi kama hizo au ushuhuda wa aliyewahi kushuhudia msamaha. Je? Kwa mtumishi akitaka kununua gari toka...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa China na Afrika kuimarika kutokana na athari ya ushuru uliowekwa na Marekani

    Ushuru uliowekwa na Marekani unaweza kuwa na athari mbaya kwa nchi zinazoibuka kiuchumi kama China nan chi za Afrika, lakini wakati huohuo, hatua hiyo ya Marekani itawezesha ushirikiano wa nguvu zaidi kati ya China na Afrika katika biashara na uwekezaji kwenye seta muhimu za uzalishaji, nishati...
  16. X

    JamiiForums Tanzania Hatimaye China imeshinda vita vya ushuru dhidi ya Marekani. Mkutano uliofanyika Geneva kati ya mataifa hayo mawili lilikuwa ni ombi la Marekani

    “All imperialists are nothing but paper tigers.” - Mao Zedong Dunia itakumbuka jinsi siku ya Ijumaa 4, April, 2025 Trump alivyopandwa na wazimu. Na kuongeza ushuru kwa kila taifa duniani hadi visiwa vya Herd na McDonalds vya bara la Antarctica wanapoishi Penguins tu. Siku hiyo kwa tambo na...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Vita ya ushuru ya Trump ni sawa na mwizi kupiga mayowe ya mwizi

    Wakati dunia inaendelea kutafakari mantiki ya hatua zinazochukuliwa na serikali ya Marekani kuongeza ushuru wa bidhaa kutoka nje, kauli zinazotolewa na Rais Trump kuwa Marekani “imeibiwa, imeporwa na kudhulumiwa” na maadui na marafiki, inakumbusha historia iliyopitia Afrika ya kuibiwa, kuporwa...
  18. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Marekani kutoza ushuru kwa filamu za nje zinazooneshwa nchini humo

    Rais Donald Trump wa Marekani hivi karibuni ametangaza mpango wa kutoza ushuru wa asilimia 100 kwa filamu zinazotengenezwa katika nchi za kigeni na kuoneshwa nchini Marekani. Hatua hii ni sehemu ya juhudi zake kuimarisha biashara ya ndani na kukabiliana na kile alichokiita “kufa kwa kasi” kwa...
  19. 2

    JamiiForums Tanzania Inyonga(Mlele DC) na ushuru dhulumati

    Habari, Naandika uzi huu nikiwa inyonga hapa , jambo la ajabu wapendwa huku hata uwe na debe la mahindi moja kwenye kibaskeli utastajabu afisa ushuru mwenye pikipiki akikufukuzia ili akukatie risiti la ushuru. Ajabu hawataki kujua km unatoka shamba au la. Nimeshudia mama mmoja anakitenga nusu...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Kampuni hizi zinasema kuwa zinawekeza zaidi katika uzalishaji bidhaa nchini Marekani huku ushuru (Tariffs) unapoanza kutumika

    Kampuni hizi zinasema kuwa zinawekeza zaidi katika uzalishaji bidhaa nchini Marekani huku ushuru (Tariffs) unapoanza kutumika. Tangu kuanza kwa muhula wa pili wa rais Trump, mashirika kadhaa yametangaza mipango ya kupanua uwezo wao wa uzalishaji nchini Marekani. Matangazo hayo yanakuja wakati...
Back
Top Bottom