ushiriki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkenye Mkuu

    Msaada: Ushiriki wa mikutano ya vijana mitandaoni.

    Msaada kwa wana JF kw anayeweza kuwa anajua site ambazo naweza ku'join na nikashiriki mikutano ya moja kwa moja ya vijana mtandaoni ili niweze kupata ujuzi na maarifa kidogo naomba anisaidie, nitashukuru sana. Naomba kuwasilisha.
  2. shonkoso

    Nimeandika kitabu kuhusu upinzani Tanzania,naomba ushiriki kupendekeza angalau jina la kitabu

    Mchango wangu pekee ninaoweza kuutoa kwa nchi yangu Tanzania ni kuwaletea matukio kina juu siasa za Upinzani toka 1992.Nimeandika na bado naendelea ila nawaza jina la kitabu napata kigugumizi,japo nimewaza haya kwa kuanzia 1“Machozi na Damu za Ukombozi” 2. “Kilio cha Mashujaa: Historia...
  3. Prof_Adventure_guide

    Haki kwa wapanda Mlima Kilimanjaro, kama wewe ni mdau soma na ushiriki

    We are going to lose the rights of mountaineers and the entire tourism industry in general. We are the Mountain Workers Advocacy Union (MWAU) — a powerful collective voice for porters, guides, and cooks on Mt. Kilimanjaro. We stand for dignity, justice, fair contracts, and safe working...
  4. melick odas

    Ushiriki wa Mbowe katika Mkutano wa Dira ya Maendeleo: Je, Inatoa Picha Gani ya Kisiasa?

    Ushiriki wa Freeman Mbowe katika Mkutano wa Dira ya Maendeleo ya Kisiasa unaashiria juhudi za kimkakati za kujihusisha na wadau wa kitaifa, lakini kutokuwepo kwake kwenye kesi za Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema tangu Januari 2025, kunazua maswali kuhusu umoja wa chama. Tangu kushindwa...
  5. upupu255

    PreGE2025 Viongozi wa dini watoa elimu ya Uraia kuhamasisha ushiriki wa Uchaguzi 2025

    Viongozi wa dini Tanzania wamefanya semina elekezi kwa viongozi wa dini mbalimbali pamoja na wananchi kuhusu Elimu ya Uraia nchini Tanzania. Akizungumza na vyombo vya habari Padri Charles Kitima ambaye ni Katibu Mkuu TEC amesema lengo kuu la semina hiyo ni kuwapa elimu wananchi hasa kipindi...
  6. Valencia_UPV

    Ushiriki wa Maprofesa wetu katika Africa Energy Summit

    1. Maprofesa wetu wapo wapi waelezee tafiti zao za Nishati kupitia energy summit? UDSM, MUST, Mzumbe, UDOM? 2. PhD holder level zenu si kujadili uchaguzi Serikali za mitaa, Hizi ndio level zenu. Sisi Ngumbaru tunawategemea sana. 3. Tafiti za Factors affecting.. zimepitwa na wakati
  7. S

    USA yalalamika kuwa ushiriki wa majeshi ya Kim vitani Ukraine unayafanya majeshi hayo kuwa hatari zaidi kwa Japan, South Korea na Marekani

    Kwa kawaida adui yako ukiwa wamfyeka vitani ni furaha kwako. Cha kushangaza South Korea na Ukraine wamekuwa wakilalamika kuwa wanaajeshi wa North Korea (adui yao) wanaopigana vita upande wa Urusi dhidi ya Ukraine wamekuwa wakifyekwa kwa makumi elfu! Wakati propaganda hizo zikiendelea, North...
  8. MSONGA The Consultant

    Ushiriki wa Bodi ya Wakurugenzi kwenye Usimamizi wa Mpango Mkakati kwa Kampuni au Shirika

    Bodi ya Wakurugenzi ni chombo nadi ya kampuni au shirika chenye lengo la kusimamia maslahi ya wanahisa/wanachama kwa kuhakikisha kwamba kampuni au shirika linaendeshwa kwa kufuata misingi na taratibu zilizowekwa, ambapo Bodi ya Wakurugenzi ndio yenye jukumu la kuandaa misingi na taratibu hizo...
  9. Lady Whistledown

    COP29: Wadau wahimiza hatua za kuongeza Ushiriki wa Wanawake katika Uongozi wa Mipango ya kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi

    Katika Mkutano wa COP29, unaofanyika huko Baku-Azerbaijan, suala la athari za mabadiliko ya tabianchi kwa wanawake limepewa umuhimu mkubwa, hasa kuhusu jinsi wanavyoathiriwa zaidi na majanga ya mazingira kama ukame na mafuriko. Wanawake, hasa kutoka jamii zenye kipato cha chini na zile zilizo...
  10. K

    Ni upi ushiriki wa waislamu kuchinja katika machinjio za kisasa?

    Wakuu Inaaminika na kuheshimika katika jamii yetu hii kwamba walio na mamlaka ya kuchinja ngombe na mbuzi ni waislamu pekee ambapo hali imekuwa hivyo na tunaishi kwa amani Lakini pia waislamu hawaruhusiwi kula kitoweo kilichochinjwa na mtu ambaye si muislamu, wakristo wanaheshimu na imekuwa...
  11. avogadro

    Ushiriki wa tanzania 🇹🇿 katika olympic 2024

    Naomba update ya anayefuatilia mchezo wowote wa Olympic kama ataona sura au jezi ya Tanzania 🇹🇿 ajulishe ili tufyatilie kwa pamoja
  12. Janeth Thomson Mwambije

    Ushiriki kwenye uzinduzi wa kiwanda cha kuunganisha malori na tipa

    09/Mei/2024 Nilifanikiwa Kushiriki Katika Uzinduzi wa Kiwanda cha Malori Na Tipa, Kinachoitwa, "Saturn Corporation Limited", Kilichopo Wilaya Ya Kigamboni. Mgeni Rasmi Katika Uzinduzi Huo wa Kiwanda, Alikuwa, Mheshimiwa Rais. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ambaye Aliwaelekeza Wenye Kiwanda...
  13. Thureya khamis

    SoC04 Ushiriki wa wanawake katika siasa na uongozi

    Utangulizi Siasa ni mchakato wa kufanya maamuzi na kuunda sera ambazo zinahusisha utawala na usimamizi wa jamii. Hujumuisha shughuli kama vile uchaguzi, utoaji wa sera, na ushiriki wa wananchi katika mchakato wa maamuzi. Uongozi ni uwezo wa kuongoza na kusimamia watu au jamii kuelekea kufikia...
  14. J

    UWT yatoa rai kwa wanawake kujitokeza kwa wingi katika ushiriki wa maadhimisho ya siku ya wanawake duniani

    "Historia ya sifa ya wanawake na siku ya wanawake Duniani inajulikana ambayo ni kesho tarehe 8 Machi na hii ni njia ya kuendelea kuhamasishana katika kufanya kazi na kupeana nguvu ya kuinuana kiuchumi." "Tunaomba rai kwa wanawake wote mjitokeze kwa wingi kwenye maadhimisho haya katika Mikoa...
  15. THE BIG SHOW

    Tunahitaji wawakilishi waadilifu ambao watasimama katika kulikomboa taifa hili

    Friends and Enemies, Baada ya mkutano wa berlin mwaka 1884/85,and after scramble and partition of Africa uzalendo wetu ulichukuliwa kutoka kwa mababu zetu kwa lazima na hatimae uhuru na nguvu zao zikageuka rasimali kwa wazungu (MISSIONARIES) ambao walipewa hati miliki ya kumiliki ardhi yetu na...
  16. Blasio Kachuchu

    Jaji Mwambegele: Ushiriki wa wadau muhimu kufanikisha uboreshaji wa daftari la Wapiga Kura

    Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele wakati akifungua mkutano wa wadau wa uchaguzi kuhusu majaribio ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura leo tarehe 17 Novemba, 2023 jijini Dar es Salaam. Sehemu ya viongozi wa Dini walioshiriki mkutano huo...
  17. W

    Ushiriki mdogo wa vijana katika nafasi za uongozi Tanzania unatia wasiwasi

    Nchini Tanzania, ushiriki wa vijana katika nafasi muhimu za uongozi bado ni mdogo sana, hali ambayo haionyeshi ukweli wa idadi ya watu wa nchi. Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 ilifunua kuwa takribani asilimia 50 ya Watanzania wana umri wa miaka 18 na chini, na thuluthi mbili ya idadi ya...
  18. Wang Shu

    Ushiriki wa timu za Tanzania CAF Confederation & CAF Champions League 2023/2024

    Ni sehemu maalum kwa wadau wa mpira wa miguu kutoa maoni, ushauri na uchambuzi. Msimu mpya umeanza kwa timu zetu 4 kuiwakilisha Tanzania kwa ushiriki wa michuano ya kimataifa barani Afrika.Tanzania imepata nafasi ya kupeleka timu 4 ukiwa ni msimu wake 4, Ligi ya Tanzania inashika nafasi ya 5...
  19. Stephano Mgendanyi

    Kilele cha Sikukuu ya nane nane, ushiriki wa Wilaya ya Ludewa

    Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Mhe. Victoria Mwanziva, ametembelea kwenye mabanda mbalimbali kwenye maonesho ya Nane Nane 2023, Mkoani Mbeya Lengo ni kuzidi kubadilishana mawazo, uzoefu na ujuzi haswa kwenye sekta ya kilimo. Wilaya ya Ludewa- imeshiriki kikamilifu kwenye maonesho ya Kilimo ya...
  20. D

    SoC03 Utawala Bora na kukuza ushiriki wa wananchi katika maamuzi ya kijamii na uchumi

    Utangulizi Utawala bora na ushiriki wa wananchi ni mambo muhimu katika kuleta mabadiliko chanya katika jamii na kushughulikia changamoto zinazowakabili wananchi. Utawala bora unaohusisha uwazi, uwajibikaji, haki, na kuheshimu haki za binadamu unaimarisha demokrasia na kuleta ustawi katika taifa...
Back
Top Bottom