Ushiriki wa Maprofesa wetu katika Africa Energy Summit

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
7,682
Reaction score
9,564
1. Maprofesa wetu wapo wapi waelezee tafiti zao za Nishati kupitia energy summit? UDSM, MUST, Mzumbe, UDOM?

2. PhD holder level zenu si kujadili uchaguzi Serikali za mitaa, Hizi ndio level zenu. Sisi Ngumbaru tunawategemea sana.

3. Tafiti za Factors affecting.. zimepitwa na wakati
 
Maprofesa wetu wapo wapi waelezee dunia tafiti zao za Nishati dunia? UDSM, MUST, Mzumbe, UDOM?

NB: PhD holder level zenu si kujadili uchaguzi Serikali za mitaa, Hizi ndio level zenu. Sisi Ngumbaru tunawategemea sana
Naona unachokonoa wasomi.
Kuna siku nilikuwa nasoma prospectus ya Chuo cha Mipango. Daadeki PhD zimenyooka sijui Nuclear physics, Genetics blah blah, Sustainable Energy niliishia kujiuliza maswali meengi bila majibu.
Mbona mtaani hatuoni bidhaa made in Tanzania zinazotokana na PhDs hizi?
 
Maprofesa wetu wapo wapi waelezee dunia tafiti zao za Nishati dunia? UDSM, MUST, Mzumbe, UDOM?

NB: PhD holder level zenu si kujadili uchaguzi Serikali za mitaa, Hizi ndio level zenu. Sisi Ngumbaru tunawategemea sana
😅😅😅😅😅😅
 
Hivi Samia si PHD holder pia? 🤔
 
Back
Top Bottom