Ushiriki wa wananchi katika mambo mbalimbali ya kijamii ni muhimu sana katika kuleta maendeleo kwenye jamii husika. Serikali ikiachiwa ifanye kila kitu wenyewe bila kushirikisha wananchi kwa umoja wao ama kwa makundi ni vigumu kufikia malengo yaliyowekwa, na kwa kufanya hivyo itakuwa ni sawa na...
DRC inaishutumu Rwanda kwa kuwaunga mkono waasi wa #M23, tuhuma ambazo Rwanda imezikanusha na imekataa ushiriki wa Jeshi la Rwanda katika kupambana na waasi hao, ambapo Rais wa Rwanda Paul Kagame alisema hajali nchi yake kutengwa katika kikosi hicho
Nchi saba za Jumuiya ya Afrika Mashariki...
Salaam Wakuu,
Natumai nyote mpo salama.
Mitandao ya kijamii kwa zama zetu hizi imekuwa mtindo wa maisha na nguzo muhimu ambayo inawasaidia watu kupata taarifa, burudani, elimu, furaha, ajira, marafiki, wapenzi n.k. Mitandao hii imekuwa na nguvu kiasi ambacho imeanza kuzingatiwa kama miongoni...
Maonyesho tajwa yameisha (yalianza Oktoba 2021 mpaka Machi 2022) je Kama nchi tumevutia wawekezaji kiasi gani? Tulipata audience na wawekezaji serious? Mikataba gani tulisaini? Kuna ambalo tumejifunza huko? Tunaweza kuanza kufikiria Dar Expo 2090?
Ushiriki wa umma katika masuala ya kisiasa na kidemokrasia hauishii kwenye kufahamu tu yanayoendelea, bali wanaoathiriwa na maamuzi wana haki ya kushirikishwa kisawasawa katika mchakato wa kufanya maamuzi hayo. Ushiriki huu ni sehemu muhimu ya utawala wa kidemokrasia.
Lengo kuu la...
Wakati viongozi wakitazamia kusimika mabavu yao, kwa kawaida huwa wanashambulia haki zetu za uhuru wa kujieleza kwanza. Tumeona mchezo huu mara nyingi. Kwanza wanashambulia vyombo vya habari, kisha taasisi za kidemokrasia, na kisha, taratibu, wanachukua uhuru wetu.
Namna ambayo serikali...
(Tunafanya Siasa tusiyoijua)
Nimeona na kusoma sehemu kadhaa makada na mashabiki wa chama cha Chadema wakilaani taarifa inayokinasibu chama cha ACT wazalendo kuunga mkono juhudi za serikali katika miradi mbalimbali ya kimaendeleo.
Na niliiona nongwa hii tangu siku ya sherehe za mapinduzi...
Katika makala zilizotangulia niliweka bayana kuwa ili tuweze kupata elimu bora tunahitaji mambo gani; kwa ufupi tu nilianisisha suala la mazingira bora ya kujifunza na kufundishia, vifaa vya kujifunza na kufundishia waalimu bora, ushiriki wazazi na walezi pamoja na suala zima la stahiki na...
Na Salma Said, Zanzibar
Ushiriki wa wanawake katika masuala uongozi ni jambo ambalo limekuwa likipigiwa kelele sana na watetezi wa haki za wanawake wakitaka kushirikishwa kikamilifu kama azimio namba tano la umoja wa kimataifa linalotaka asibakishwe mtu nyuma.
Wadau wanatambua kuwa kuna...
Serikali ya Tanzania inadaiwa kujitoa kwa muda kwenye Mkakati wa Uwazi, Ushiriki na Uwajibikaji yaani Open Goverment Partnership(OGP). Inadaiwa Serikali imeamua kujikita kwenye "kutumbua majipu" kwanza kabla ya kujikita kwenye uwazi.
OGP ilianzishwa mwaka 2011 na ilianza na Serikali 8 hadi 70...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.