Kuna msemo unasema
"Cheka nao kula nao cheza nao"kama huwezi kupigana nao ungana nao
Vyama vya upinzani na watanzania wenye kiu kali ya kutaka kuona hatima ya chama tawala hapa nchini kuna ushauri huu hapa
Chini ya makada na wale wanaojiita viongozi wa vyama vya siasa nchini hawana budi kukaa...
Nawasalimu wakuu kwa jina la nguvu na uchakalikaji wetu.
Baada ya kupitia threads nyingi hapa na kujifunza mengi kuhusu magari nami natupia uzi hapa ili kupata ushauri.
Kiukweli mi mgeni sana wa magari hata kuendesha si mtaalam sana ila naweza sema sijakaa na gari tu nimesota kwa miaka 8...
Raisi Samia anafanya makosa ambayo Hayati Magufuli na wapambe wake walifanya. Magufuli alifanya vitu vingine ambavyo havikuwa na tija kwa taifa.
1. Kubishana na Lissu kuhusu yeye kupigwa risasi ilikuwa haina tija. Haya ni malumbano ya kijinga kwasababu huwezi kujadili swala lililo wazi kama...
Wanajamii habarini
Naombeni ushauri Kuna Dada huku JF kaniomba nimtumie nauli anadai ametokea kunipenda sana na huwa haishi kuniota ndotoni ila anasema nimtumie nauli 1 million hajawai panda ndege
Naombeni ushauri Wanajamii maana nimeshaanza kulegea nahisi nina asilimia 90% kumtumia nishaurini...
Kwanza ikifika asubuhi anatoa nguo zake nimnyooshe ili avae kwenda kazini na kinacho niuma zaidi wamekua na desturi ya kwenda kuoga bafuni (public bathroom) na mkewe (dada yangu), na wanapokua bafuni wanachelewa sana kutoka.
Na wiki hii nimemuona ameanza tabia mpya ya kuwa ananiamrisha nioshe...
Tuko tunapambana kuona ni jinsi gani janga la Corona linaisha kabisa tuendelee na mambo mengine, tumechoka kuzika viongozi kila mwezi.
Haya mambi ya kubembeleza watu ambao wameshaungua akili yamepitwa na wakati.
Haiwezekani wengine wachanjwe wengine wakatae waendelee kusambaza maambukizi huu...
Habarini wadau, Nina rafiki yangu ambae bahati ipo upande wake maana kiukweli linapokuja kwenye swala la uchumi wapo vizuri sana.
Familia yao kiufupi wapo vizuri, kaka na dada zake wanajitegemea na wapo vizuri kiuchumi ila sasa huyu rafiki yangu kwa bahati mbaya shule ilimshinda na biashara...
Kwa matokeo haya Phy C, Chem D, Bios E naombeni ushauri nisome kozi gan nzurii tofauti na education
Nilikua napenda medicine lakini vigezo sina, na diploma simudu ada.
Wadau ebu naomba ushauri wenu nitarajia kuchukua jiko sasa michango imefika 42 millin na point kadhaa na watu bado wanatoa
Imenijia wazo hizi hela nifanye jambo lingine nina kiwanja Bunju nikajenge nyumba fasta ya japo 35m nipate kustirika kikao cha mwisho sitokei natuma mjumbe mjomba...
Hello members,
Nimeanza kusoma CPA NBAA Tanzania. Nipo foundation Level. Bado sijatembelea vituo vingi vya tuition. Najisomea taratibu kila nipatapo chance.
Karibuni tujadili mawili matatu.
Ukiamka Asubuhi mshukuru Mwenyezi Mungu wahi ama Kazini Kwako au Ofisini Kwako kapige Kazi ili ujipatie Pesa za Kuiendeleza Familia yako.
Siasa za Barani ( sina uhakika na za Tanzania kwakuwa siishi huko ) nyingi zimejaa tu Chuki, Unafiki, Fitina na ukicheza vibaya tegemea Kutekwa au...
Spika Ndugai amesema wabunge wameshapitisha tozo ya kizalendo kwenye miamala ya simu na sasa ni sheria hivyo asiyeitaka atupe njia mbadala ya kutufikisha 2025
Roho wa Bwana akamshukia mtumishi wake Jerry Slaa mbunge wa Ukonga naye akajibu; Wabunge tuanze kulipa kodi.
Labda kama Spika ana swali...
Ninaandika haya nikiwa binafsi naugulia moyoni kutokana na tukio lisilo la kiungwana la vyombo vya serikali Mwanza na yatokanayo.
Kutokana na hilo hapo juu inamfanya mtu awaye yote kughairi mambo mengi. Hata hivyo kutokana na thamani ya maisha ya binadamu, nisiache kuandika haya ambayo aghalabu...
Asalaam aleykum...
Tumsifu yesu kristo...
Mwana kondoo ameshinda...
Ama baada ya salamu
Mimi ni kijana wa kitanzania umri miaka 24 ni Mwajiriwa wa Selikari (Mtumishi wa Umma).
Nimekuja kwenu kuomba ushari kwa umri wangu huu wa miaka 24 ni umri sahihi wa kuingia kwenye ndoa
Yaani naweza kuoa...
Haji Manara si msemaji mwenye akili. Ni kama Yanga nasi tuna watu wetu wachumia tumbo. Ndivyo alivyo Manara.
Ni kilaza sana na ameota mapembe akidhani yeye ni mkubwa au yupo sawa na Simba. Mi naifahamu Simba kabla ya Manara. Sikuwahi mfahamu Manara mpaka alipokuja Simba.
Lakini miaka yote...
Ijumaa hii mishahara mipya itatoka. Lile punguzo la kodi ya PAYE ambalo Dr. Mwigulu alimshauri mama kwa watumishi wenye mishahara midogo kwa hesabu za haraka ni punguzo la Shilingi 2,750/- (Shlingi elfu mbili, mia saba na hamsini tu). Kwa maana hiyo kila mtumishi wa Serikali na Sekta binafsi ata...
Habari Wana jamvi,
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu.
Nina rafiki yangu ambaye ni Kama ndugu yangu kwa jinsi tunavyoishi na kusaidiana once changamoto za kimaisha zinapo arise.
Nimeishi vizuri Sana na huyu rafiki yangu tena kwa ukaribu Sana tukiwa mtaa mmoja. lakini kwa Sasa tupo mbali kwa...