ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ushauri kwa Sekretarieti ya Ajira Serikalini (PSRS)

    Habari za muda huu wana jukwaa, leo ningependa kutoa ya moyoni kuhusu majanga yaliyonikuta katika mchakato wa kuomba kazi Serikalini. Huenda sio mimi tu bali wengi wetu yametutokea au yanatukwaza kwa namna moja au nyingine. Nitazungumzia mambo matatu ambayo kwa maoni yangu yanapaswa kuangaliwa...
  2. B

    Kesi ya Mbowe: Ushauri wa Bure kwa Mawakili Wasomi - Utetezi

    Awali ya yote pokeeni pongezi za dhati kwa kazi takatifu mnayoifanya ya kuisaka haki katika mazingira magumu. Kazi yenu ni ngumu zaidi hasa ikizingatiwa kuwa mafanikio yoyote yanayopatikana yanahatarisha matumbo ya watu yenye uchu uliopitiliza. Jambo moja la hakika lenye kutia moyo ni kuwa...
  3. Ushauri serious unatakiwa toka kwa madaktari

    Nina ndugu yangu amekuwa diagnosed na High Blood Pressure na Diabetic. Anakunywa red wine karibia kila siku chupa moja. 1. Je hii ni sawa 2. Au anatakiwa kuacha kabisa?
  4. K

    Ushauri wa Wizara kuhusu Deni la Taifa

    Napenda nitoe mawazo yangu kwenye mikopo ya serikali. Nitaelezea kwa mtiririko wa utekelezaji ili niwasaidie Serikali badala ya kulalamika na kupigiana madongo Mikopo yote ya serikali bila kujali awamu iangaliwe kwa kujua muda wa kulipa mikopo na riba za mikopo Group 1: Mikopo yote yenye riba...
  5. Naomba ushauri, wazazi wangu hawataki nisome ujuzi mwingine zaidi ya taaluma niliyosoma

    Wakuu habari, Kama kichwa cha uzi kinavyosema hapo. Mtanisamehe mimi sio mwandishi mzuri ila nitajitahidi nieleweke. Mimi nimebahatika kusoma systematically kama ilivyo mfumo wa elimu wa Tanzania, yani kuanzia std7, f4, f6 mwisho chuo kikuu. Sasa kipindi nimemaliza f4 wakati nasubiri matokeo...
  6. L

    Ushauri kwa Serikali: Riba na bima ya mkopo

    Serikali tangu awamu ya tano haipajandisha mshahara wala kulipa malimbikizo kwa watumishi hata hii ya sita japo inasema wamepandisha lakini ni ongezeko kidogo sana kiasi ambacho hakileti mabadiliko yoyote kwa maisha ya mtumishi japo gharama zinabadilika kila uchao. Pamoja na hayo watumishi...
  7. Wajibu washauri CAG achunguze COVID-19 ilivyoathiri Uwajibikaji wa Serikali

    Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imeonesha kushindwa kukagua ofisi 43 za balozi za Tanzania kwa mwaka wa fedha 2019/20 kutokana na janga la #COVID19 Kutokukaguliwa kwa balozi hizo kunafanya wananchi washindwe kujua uwajibikaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na...
  8. Ushauri: Rais Samia akae na Jenerali Mabeyo wanywe chai na kupiga picha

    Kwanza nianze kwa kumpa mama pole ya uchovu wa safari. Ninamwomba apigane na upandaji wa gharama za maisha hasa bei za vitu mbalimbali. Unfortunately, this's placing a notable stain on her beautiful leadership gown. Hata hivyo, namshauri mama ampigie simu Venance wanywe nae chai halafu wapige...
  9. S

    Kesi ya Mbowe: Mbowe na viongozi wa CHADEMA msiposikiliza ushauri wa Godbless Lema anaeshauri muondoe mawakili mahakamani, mtakuja kujiulaumu sana

    Siku chache zilizopita, nilileta mada hapa niki-suggest Mbowe aacha kujitetea mbele ya hizi mahakama zetu kutokana na mwenendo mzima wa hii kesi. Leo hii kupitia You tube, nimemsikia Godbless Lema akimshauri Mbowe aondoe mawakili na akae kimya mahakamani ili wafanye kile wanachokita. Lema pia...
  10. Ushauri: Nataka kuanza kula nyama ya kenge

    Nyama ya mamba inaliwa na inauzwa ghali Sana kg 1 ni 30,000/= pale kibaha kwa mzungu Sasa mamba na kenge ni ndugu je Kuna tatizo naomba ushauri. Naishi pembeni ya mto Kuna kenge wengi Sana.
  11. Natafuta marafiki wenye ushauri positive nawahitaji

    Mimi humu sitafuti mpenzi. Hiyo sekta imepitwa na wakati the thing is natafuta marafiki wenye kutoa ushauri positive na connection mbali mbali umtanisuta ila nao umri umefikia kuwa na marafiki wa kujenga nasio wakubomoa. Kwa yeyote aliyetayari mnakaribishwa ila sio nijaze pm hapana only 2 ni...
  12. Mawakili wa Serikali kuweni makini sana kwenye kesi ya Mbowe na wenzake

    Kama wakili Msomi ninaomba kuwashauri mawakili wa Serikali wakiongozwa na ndugu yangu Robert Kidando ambaye namheshimu sana, msifanye kazi kwa mazoea mtalitia taifa aibu. Kuweni makini katika kufanya kila jambo mMhakamani kila hatua achaneni na mazoea, Ugaidi si kitu cha mchezo hamjui tu...
  13. Ushauri kwa Serikali kuhusu mradi wa Bandari ya Bagamoyo

    Mradi wa Bagamoyo ni moja ya miradi iliyoko mioyoni mwa watanzania nikiwemo Mimi japo wengi hawasemi Kwa sasa. Ni Kati ya vitumbua vya Taifa vyenye mchanga. Huu mradi ni kipimo Kwa Serikali ya Mama Samia maana ni kati ya miradi tukiingia kichwa kichwa mchina atakuwa kapata upenyo wa kutukaba...
  14. Nitajuaje kama ni Afisa wa TAKUKURU au anataka kuniibia?

    Ndg, mimi ni mtumishi wa Umma kwenye taasisi nyeti hapa Dar, hata hivyo juzi nilipigiwa simu na mtu aliejitambulisha yupo Dodoma. Akinitaka nifike ofisini kwao kesho kutwa yake kwa ajili ya mahojiano, nikakubali ila baadae nikamwambia naomba anitumie barua ya wito kupitia kwa mwajiri wangu...
  15. M

    Ushauri kwa wadau na wasimamizi wa procurement & logistics

    Nimefanya utafiti nikagundua njia moja nzuri sana ya kupatia "value for money". Hatua zifuatazo zifuatwe: 1. Ichaguliwe taasisisi inayoaminika, mfano TAKUKURU 2. Izungukie taasisi zote na kupatia mahitaji Yao yote yanayohusika na manunuzi kwa mwaka mzima. 2. Itangaze Zabuni, na kufanya...
  16. M

    Ushauri: Safari za Rais Samia nje ya nchi ziwe za kimkakati zaidi kuhusu masuala ya Utalii

    Awali ya yote Mimi ni mojawapo ya Kijana ambaye nafarijika kuona Mhe.Rais wetu akisafiri nje za Nchi na kufungua Fursa za mambo mengi ikiwemo kuitangaza, Nchi yetu kimataifa pamoja na kuvutia wawekezaji wengi kuja Tanzania pia. Lakini Kuna kitu nakiona kama hakipo sawa,kwenye suala la Utalii...
  17. Rais mtaafu Kikwete akitoa ushauri wa jinsi ya kuongoza nchi atatoa ushauri huu?

    Wakati wa uongozi wake aliwahi sema kuwa watu wasimuandame kuwa anasafiri sana. Alisema kuwa huko watu wanapesa sana hivyo ni muhimu atoke akahemee. So kama JK akiombwa ushauri wa kuongoza nchi bila shaka ushauri wa kutoka na kuomba kwa kila anayeonekana ana pesa utakuwa ni wa kwanza kabisa...
  18. Takriban wiki ya pili sasa hatuoni dalili ya yeye kutafuta hata shughuli, yaani yupo tu

    Nikiwa kama kichwa cha familia, nyumbani kwangu ni sheria zangu, na linapokuja swala la sheria kwa wageni huwa zimekazwa mno kwa wageni wa kiume ambao ni miaka 28+ maaana hawa tayari ni wanauume na asili yetu ni kupambana ili kujitegemea......changamoto za kimaisha na harakati za kiupambanaji...
  19. K

    Ushauri kwa vijana kuhusu kazi

    Tanzania ni nchi yenye vijana wengi na wengi wa hawa madogo wanakaa na kusubiri serikali kuwaletea ajira. Mimi kama diaspora nawashauri mchangamke hasa kwa wale vijana wenye elimu kama wenzetu wa Kenya kwa mifano hii hapa 1. Kwanza kwa sasa unaweza kufanya kazi nchi nyingine ukiwa Tanzania...
  20. M

    Ushauri ujenzi wa dali ya moto na zege

    Habari za weekend wadau. Nimetokea kupenda design hii ya dali ambayo miti na zege vimetumika kuremba muonekano. Je kwa wataalam ni miti gani inafaa?. Nini hasara na faida ya ujenzi huu (gharama vs steel reinforcement, mazingira, uwezo wa kudumu n.k) ?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…