ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naomba ushauri "huyu" mtoto aende wapi na akasome nini?

    Habari waungwana. Nina mtoto hapa ambaye matokeo yake ya Kidato cha nne ni Kama ifuatavyo. Amepata "C" katika Civics, Kiswahili, Chemistry na Biology. Amepata " D" katika History, Geography, Literature, English, physics na Hisabati. Hivyo ana "C" nne na " D" sita. Division three point 24.
  2. M

    Kutokana na mwenendo mbaya wa Simba SC ufuatao ni ushauri wa bure kwao

    1. Mtimueni upesi Kocha Mkuu Franco, Msaidizi wake Matola na Meneja Rweymamu. 2. Mpeni Kazi kwa Kipindi hiki Kocha Ndayiragije kisha asaidiwe na ama Pawasa au Mgosi kisha Meneja awe ni Nico Nyagawa. 3. Wachezaji watafutiwe haraka Mwanasaikolojia na nampendekeza awe ni mwana Simba SC Chris...
  3. A

    Naomba ushauri wa Kitaalamu kuhusu solar

    Habarini, Nimenunua solar watt 40 sasa nataka kununua betri na chager controller. Naomba ushauri wa kitaalamu kwa anaefahamu hapo natakiwa kununua betri yenye ukubwa gani na hiyo chager controller yenye ukubwa gani ambavyo vitaendana na ukubwa wa hyo solar watt40?
  4. Mawazo yenu tafadhali, nakaribia kuacha kazi

    Kwenu wakuu I hope mko salama.. Nianze kwa kusema mi ni mtumishi idara ya elimu halmashauri flani SINGIDA. SHIDA YANGU KUU NI UHAMISHO kutoka SINGIDA KURUDI DAR WILAYA YOYOTE ILE HATA PEMBEZONI MWA MJI TU!! Nimejaribu Mara kadhaa kufanya process za uhamisho lakini zinadunda kila nikiandika...
  5. B

    Ushauri wenu unahitajika

    Jamaa yangu ana kiasi Cha Tzs 18m. Anataka kufanya biashara ya online tv, nimemwambia aachane nayo, afanye biashara ya saloon ya like na kiume. He ungekuwa wewe ungemshauri kitu gani
  6. TPDC yaingia mkataba na Kampuni ya Uingereza ya Baker Botts kwa ajili ya ushauri wa Kisheria

    Zile zama za makampuni ya nje kupiga hela kwa mgongo wa ushauri zimerudi. TPDC imeingia mkataba ya kampuni ya Uingereza za Baker Botts kwa ajili ya ushauriwa kisheria kwenye mikataba ya gesi. Hivi Tanzania bado hatuna kampuni zenye uwezo wa kutoa ushauri wa kisheria hadi tutoe Ulaya...
  7. Ushauri kuhusu NMB

    Habari. Siku ya Leo tar 24/01/2022 nimefika katika Tawi la NMB Kwa lengo la kutoa pesa kwenye ATM machine ya pale. Nimeingiza Kadi na kufuata process zote lakin machine haikutoa pesa ilihali SMS ya muamala nilipata. Nilivyomuuliza mlinzi akanambia niingie ndan ya Tawi ambako nilipewa form...
  8. Barua ya ushauri: Freeman Mbowe omba msamaha ukajipange na maisha mengine

    KWAKO F.A MBOWE S.L.P GEREZANI Nianze kukupa pole na hongera gerezani siyo mahali salama na pazuri kwako. Nianzi kwa kusema .. Leo kuna kitu nimejifunza juu ya utatuzi wa migogoro hasa katika kipengele cha CONFLICT MANAGEMENT Ili uweze kuendelea na maisha ya furaha pasipo karaha muda...
  9. Ushauri: Mke wangu si muelewa, ni mbishi kupindukia

    Mfano anakitabia cha kupika na kula kivyake, nikirudi toka mihangaikoni yeye anapakua na kubwaga mezani na kudai hali ameshiba yani nile mwenyewe. Ukimwambia sogea japo unisindikize kidogo msimamo wake unakuwa ule ule 'sili sijisikii' Wakuu nifanyeje? Nimeshasema sana kuhusu tabia hii lakini...
  10. Uhauri: Nalipwa 170k kwa mwezi, how can I survive?

    Habari za muda huu Wana JF Kama nilivyotanguliza hapo juu, maisha mtaani ni magumu sana, kama una roho nyepesi unaweza kata tamaa. Baada ya kumaliza chuo (bachelor of education) ndio nilithibitisha yaliyosemwa na wengi kuwa maisha ya kitaa ni magumu sana, kwakweli sikua na mishe ya kuniingizia...
  11. Ushauri: Nini kifanyike Shule za Serikali zifanye vizuri

    Hello JF, Leo nimejikuta nawaza sijui kama hii serikali haioni kuwa ni haki ya kila mtoto wa ki Tanzania kupata na Elimu nzuri/bora? kwa nini baadhi ya watoto wachache wawe na a better start na wengine system iwa fail miserably? Anyway, hata nchi za nje kuna shule za private za grammar lakini...
  12. Ushauri wa haraka unahitajika

    Unamshauri nini jamaa yetu
  13. Ushauri kwa wadogo zangu, kaka na dada zangu wanaotaka kukata tamaa kisa wamefeli Kidato cha Nne

    Habari wakuu wangu wadogo marahaba wakubwa shikamooni. Kwanza natanguliza shukurani zangu dhati kwa wote mliopitia hapa na kusoma uzi huu. Leo napenda nitoe ushauri kwa wadogo zangu kaka zangu dada zangu mliomaliza Form four na matokeo kuja tofauti yaaani kufeli kupata four au zero kabisa...
  14. Naomba ushauri kuhusu matokeo haya

    Kijana wangu amepata four ya 29 Na matokeo ndio kama nilivyoyahainisha Anaweza kusomea ishu gani? plz naomba muongozo wenu wakuu CIV - 'D' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'F' BIO - 'D' B/MATH - 'F'
  15. C

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi waliopokea matokeo ya kidato cha nne 2022

    Habari wakuu, Kuna wadogo zetu wamepata matokeo yao ya kidato cha nne. Ni ngwe muhimu sana kwenye maisha yao, kwa sababu ndio inayotoa upepo awe nani baadae kitaaluma kwa uchaguzi anaofanya sasa japo kwa baadhi wanaweza kuwa na wigo mpana wa kuchagua tena baadae. Hapa jukwaani kuna wengi ambao...
  16. Kuna 'Kiongozi' Mmoja 'anahangaika' sana 'Kujiokoa' na hana 'Amani' hivyo nampa tu huu 'Ushauri' na akitaka asalimike kwa 'Maovu' yake atii niyasemayo

    1. Akiri mbele ya Watanzania kuwa Yeye ni Mpumbavu ( Popoma ) na hana Mpinzani Tanzania, Afrika na Duniani. 2. Akiri kuwa kwa muda wake mfupi tu Madarakani ameua Watu wasio na Hatia kama alivyowahi Kuua aliyekuwa Rais wa Liberia Charles Taylor. 3. Akiri kuwa Yeye ni Mnafiki na siyo Mcha Mungu...
  17. Ushauri wa kisera kuhusu watu wenye ulemavu

    Huwa najiuliza kama watu ambao ni wazima kabisa wa afya tena vijana; kuna muda maisha yanawapiga hadi wanashinda na njaa, hivi tunawafikiriaje ndugu zetu walemavu ambao hawana mikono, miguu, hawaoni n.k? Katika misingi ya distribitive justice serikali kote duniani hukusanya kodi na kuzitawanya...
  18. Manunuzi Aliexpress, Nipe ushauri

    Mwaka jana mwezi 3,2020, nilimnunilia jamaa yangu mmoja simu kwa akaunti yangu ya Aliexpress ila nilitumia Bank Details kufanya malipo. Toka siku hiyo sijafanya manunuzi tena Aliexpress mpaka Last week ambapo Dada aliniwekea hela kwenye account yangu ya bank ninayoitumia kufanya manunuzi ili...
  19. S

    Je, ni mtego au sumu gani ya kuwaua au kuwafukuza wadudu wasisogelee shamba la tikiti?

    Habarini, Nimelima tikiti zinatambaa sasa, nilishawahi kuli a mara kadhaa na nikavuna. Changamoto iliyopo inayonifanya niombe ushauri kwenu ni kwamba tikiti zinapoanza kukomaa Kuna viumbe aina mbalimbali wanaofanana na mbea hung'ata tikiti, hungofoa tikiti na kulitoa penbeni na shamba na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…