kina mama, kina dada ushauri wenu wa muhimu hapa!

kindikinyer leborosier

JF-Expert Member
Jan 6, 2018
430
780
Asalam wana jamii! poleni na majukumu ya hapa na pale!
.
Niende moja kwa moja kwenye hoja!
.
.
Ukisoma nyuzi nyingi za hapa jamii forum zinawaongelea vibaya sana wanawake ambao wameajiriwa na kuwa wake za watu!
.
Ushauri wangu ni kutaka kupata kutoka kwenu mnaongeleaje hili swala, je ni sahihi, je kati ya mke wa kukaa nyumbani na mwajiriwa yupi ambae anafaa kuwa mke wa mtu ukiachana na vigezo vingine,
.
.
Changamoto zao ni zipi na kwa namna gani sisi wanaume tuweze kuishi nao, maana kwa sasa idadi ya wanawake ambao pia wamesoma ni kubwa, tushaurini nyinyi yasije kutukumba!
.
.
Natanguliza shukran
 
Nasubiri kuja kutoa ushauri mwingine siku za usoni,,,baada ya kufanikisha kufanya utayoshauriwa hapa....
 
Hakuna binadamu ambaye anaweza kufanya mema akamridhisha mwanadamu ,binadamu muda mwingi wanapenda kuongelea mabaya ya watu kuliko mema hata Kama na yeye Ana kasoro kamwe mapungufu yake hawezi kuyaweka hadharani.mshirikishe Mungu akupe mke mwema mtakayeendana naye wanaolalamika hawakupata wenza wakuendana nao wasikutishe mzee
 
Back
Top Bottom