ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa Uongozi wa Yanga

    Habari wakuuu. Uzi wangu utakuwa mfupi sana lakini wenye fikra na mawazo mapya kwa watu. Msimu wa 2021-2022 Yanga imechukua; Ubingwa wa Ngao ya Jamii Kombe la Azam Sport Ligi Kuu ya NBC Imekuwa bingwa bila kupoteza mchezo wowote, hongera sana kwao. Japo Simba ndiyo ilikuwa ya kwanza kufanya...
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri wenu wana ndugu ntachomokaje hapa?

  3. JamiiForums Tanzania Ushauri: Wanachama wa NSSF wasajiriwe NHIF

    Naipongeza Serikali kwa kuja na mpango wa Bima ya afya kwa wote. Pamoja na kuwa na wazo zuri lakini utekelezaji kama jambo lolote kubwa utakuwa na changamoto. Na moja ya changamoto yake ni kiwango cha fedha kwa kwa mchangiaji mwenye familia kwa kuzingatia hali halisi ya kipato. Kutokana na...
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri Mdogo wangu Amepata Disco chuo mwaka huu namsaidiaje?

    Kama picha inavyojieleza nipo katika mtanziko mkubwa baada ya huyu Mdogo angu Kupata Disco mwaka huu je namsaidiaje wakuu ?!! Je utaratibu wa kufata baada ya hii Disco!? Ni upi?
  5. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu michirizi "Stretch marks"

    Guys I hope you good, let's skip formalities and jump right into the topic. Ninaomba msaada kwa anayefahamu dawa nzuri (ninapo sema dawa nzuri namaanisha dawa yenye matokeo hasi kidogo sana "having least side effects") ya kupunguza au kuondoa kabisa michirizi. Itakua vyema sana kama Ushauri...
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri wa kibaharia

    Dear Anko, Naomba msaada wako nifanye nini? Mimi ni mke wa mtu, na mume wangu tunapendana sana. Juzi niliondoka kwenda kazini nikamuacha mume wangu anaangalia TV. Sikufika mbali gari ghafla likazima, nikalazimika kutembea kwa miguu kurudi nyumbani nikamwambie mume wangu anisaidie. Nilipofika...
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali: Kuliko kutozana pesa ya Bima ya Afya in lump sum, tozo zirudishwe kwa ajili ya Bima ya Afya kwa wote

    Serikali imekusudia kuanzisha Bima ya Afya kwa wote Kwa kuitungia Sheria kuwa lazima. Na kwa Mujibu wa Waziri wa Afya, Bima itaambatanishwa na huduma zingine kama leseni nk. Aidha kutakuwa na vifurushi vya Bima na mtu atalazimika kuchangia pesa kwa lumpsum kiwango atakachochagua. Sasa binafsi...
  8. JamiiForums Tanzania Ushauri na Huduma za Usajili Kimtandao

    Express and Quick Business Solution ni kampuni yenye uzoefu wa utoaji ushauri na huduma za usajili kimtandao kwa ufanisi na haraka. Usajili wa Kampuni Usajili wa log/Nembo ya biashara/Trademark Usajili wa NGO's Maombi yote ya vibali na leseni za biashara, leseni za viwanda, leseni za makazi...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali, TAMISEMI na Wizara ya Elimu

    Kwanza naishukuru sana serikali na wizara ya elimu kwa kujitahidi kuhakikisha kuwa kila mtanzania anapata nafasi ya kufikia walau elimu ya sekondari bila malipo. Nikiwa nimefundisha shule za umma kwa miaka 15+ na kujua na kuona changamoto za mashuleni nimeona niandike kile ambacho katika...
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais Samia kuhusu panya road

    Rais hao panya road wakikamatwa wasiuliwe bali wapelekwe Chunya gereza la Ngwala wakalime na kujifunza mambo mbalimbali yatakaowasaidia katika maisha yao. Gereza la Ngwala halina fence yoyote na wafungwa wanaishi kindugu na kufanya shughuli mbalimbali za uzalishaji. Kwanini gereza halina...
  11. JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu njoeni tujadiliane huu ushauri wa Roma tuende nao au tuachane nao

  12. JamiiForums Tanzania Ushauri tafadhali Kutoka Jf,, mapenzi changamoto

    Habari za kwenu wadau. Kuna jamaa moja hivi rafk yangu ameniomba ushauri juu ya Hilo. Alimtongoza demu moja hivi huyo demu akamwambia "Sina shida na hilo but you know that my mom n mchepuko wa mzee wako? Na wamezaa watoto wa wili?".. but yeye demu sio miongoni mwa hao watoto,na kimila kwa kuwa...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kusaini hati ya kiwanja

    Mimi niko mkoa mwingine nimetumiwa hati ya kiwanja changu ili niisaini, ninaomba ushauri hivi mahakama ya mwanzo au ya mkoa Baada ya Mimi kusaini ile sehemu ya mwanasheria wanaweza wakanisainia huku niliko? Hata Kama kiwanja kiko mkoa jirani?Ushauri wenu wadau maana Mimi ni mjinga kwenye...
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kumfungulia biashara ya Salon

    Habari wana jukwaa wa jamii forums Niende kwenye mada moja kwa moja nina idea ya kumfungulia dogo salon, nina maana salon ya kiume simple tu wala sio ya gharama. Namchukulia vitu vya kawaida tu kama mashine za kunyolea mbili na vitu vidogo vidogo, kiti ataanza nacho kimoja na kochi la wateja...
  15. JamiiForums Tanzania Ushauri: Usithubutu kumpa mwanamke mtaji. Kama mke wako mpe biashara aisimamie na usimpeumiliki kwa 100%.

    Habari! Sasa tumechoka kusikia vilio vyenu enyi wanaume wenzetu. Nature ya mwanamke ni kutawaliwa, ndio maana mtawala akiwa mwanamke kwa level yoyote ile lazima ichukuliwe special issue. Binti ukimpa mtaji na akauukuza na akili yake ataikuza kuona vile ambavyo hajaviona kabla ya mtaji kukua na...
  16. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Wizara ya Kilimo-Fursa zinazotakiwa kufunguliwa ni za mazao ya biashara sio chakula

    Salamu! Mada inajieleza, Fursa zinazotakiwa kufunguliwa na ambazo nitaziona kama kipimo cha wizara ni zile za mazao ya biashara mfano pamba,kahawa,mwani na mazao ya wanyama kama ngozi ,pembe na kwato. Nadhani nimeeleweka!
  17. D

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kuhusu kozi ya kusoma katika vyuo hivi

    Habari za majukumu ktk ujenzi wa Taifa? Kati ya Bachelor of Sociology Udom, Bachelor of Sociology SAUT Mwanza na Bachelor of Public Administration Mzumbe Campus ya Dar, na Community & Development Studies Ardhi bora wapi? Ni mtoto wa kike anaomba ushauri aconfirm wapi. Ahsante
  18. JamiiForums Tanzania Onyo na ushauri wa bure kwa Panya Road, ndugu na wazazi wao

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu zangu nimepata taarifa kutoka kwa baadhi ya ma homeboyz kwamba kuna baadhi ya vijana wa panya road wako katika process za kutaka kuikimbia nchi ili waje Kaburu kwa lengo la kukwepa mkono wa...
  19. T

    JamiiForums Tanzania USHAURI: TFF ni muda sasa umewadia wa kuanzisha Reserve league (Professional development league)

    Ahlan wa Sahlan Katika kuzunguka kwangu katika mataifa ya ulaya nimekutana na mfumo huu wa ligi za reserve wengine hupenda kuuita professional development leagues.Ni mfumo wa ligi unaohusisha wachezaji vijana kutoka academies za timu zinazoshiriki ligi kuu za nchi husika,hujumuisha vijana wa...
  20. JamiiForums Tanzania Nini tiba ya uume unaosinyaa kabla ya tendo?

    Wakuu habari ya wakati huu. Naombeni ushauri au anayejua tiba ya uume kusinyaa kabla ya tendo la ndoa. Limekuwa tatizo ambalo linanipa mawazo sana. Msaada tafadhali
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…