Ushauri tafadhali Kutoka Jf,, mapenzi changamoto

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,276
12,335
Habari za kwenu wadau.
Kuna jamaa moja hivi rafk yangu ameniomba ushauri juu ya Hilo.

Alimtongoza demu moja hivi huyo demu akamwambia "Sina shida na hilo but you know that my mom n mchepuko wa mzee wako? Na wamezaa watoto wa wili?".. but yeye demu sio miongoni mwa hao watoto,na kimila kwa kuwa yule mwanamke bado kaolewa kwake na yupo na mume wake wale watoto hawatahesabika kuwa wa mzee wa huyu mshikaji wangu....

Mimi aliniomba ushauri aendelee au la?
Mm nilimwambia tafuna mbususu hiyo..

Wadau mnaonaje?
 
1. Mmama kaolewa, ana mume.

2. Mmama huyo akachepuka na somebody X hadi kuzaa watoto wawili kimya kimya (yaani mimba awamu mbili nje ya ndoa), hadi binti mkubwa wa mmama huyo 'anafahamu' hiyo scandal ya mama yake kwa somebody X !!!!

3. Binti wa mmama now anataka kumpa mbunye kijana wa somebody X.
______________

Uduwanzi duwanzi tu kila kona... si ndoani, si batani.

-Kaveli-
 
Ulivyofafanua n kweli kabisa,,,ushauri wako atoe au asitoe mbunye
 
Kuona mwanaume anapata kigugumizi kufanya maamuzi kwenye issues ndogo kama hizi huwa napata hasira sanaaa,, HAKUNA UNDUGU HAPO ILAAAAAA,,,,,kama anataka kupita, na apite nae,,kama anataka kuoa aachane nae mambo ya yatakuwa mengi,,

#OneDayYouWillBeGone,,
 
Mimi mwenyewe nilimshauri hivii
 
Nakiona kizazi cha laana kikianza kuadapt laana in advance. Anyways kweli vyakurithi vinazidi.
 
Back
Top Bottom