USHAURI: Nani asimame kati ya Baba mlezi na Baba mzazi kwenye send off na harusi!!

Moronight walker

JF-Expert Member
Aug 3, 2021
3,105
4,635
Habari wana jf kuna ishu inachanganya huku, kuna harusi miezi 3 ijayo sasa huyu binti anayeolewa anababa yake mzazi ambaye Hakushi naye alikuwa anaishi na mama yake wa mzazi wa kumzaaa na baba wa kufikia, Sasa kwenye malezi Baba wa kufikia ndo alikuwa ana muhudumia kila kitu na alikuwa anaishi kwake lakini Baba yake ambaye alikuwa na ndoa nyingine kahusikia kwenye malezi kiasi kidogo sana tena sana, na kwenda kwa Baba mzazi alikuwa ni likizo tuu kama 2 weeks anarudi kwa mama na baba wa kufikia.

Sasa kapata kigugumizi kuhusu wapi apeleke mchumba wake apeleke posa na pia wapi mahari ikatolewe pamoja na wapi afanyie send-off wake kwa Baba yake mzazi au malezi?

Baba mlezi kamwambia kuwa aende kule kwa Baba yake mzazi iringa. Ila binti anaona Baba yake mzazi hakuusika hata kwenye malezi alimuacha kwa mama yake akiwa na umri wa mwaka 1 na yeye kuoa mwanamke mwimgine. Kuna kipindi akimuomba hata pesa kidogo mzee anazungusha maneno tuu.

Sasa send off ifanyike iringa au dsm anapoishi na mzazi mlezi?
Na kama dsm nani aiandae sherehe hio?
Na kuna zawadi anataka kuotoa ya Alphard gari kwa Baba mlezi coz alimlea kama mwanae wa kumzaa bila kubagua na hata baada ya kumaliza chuo alimsaidoa kumtafutia kazi na pesa kidogo alimpa.
Na ikifanyika iringa zaiwadi ya gari ampe mlezi kule iringa.

KAONGEA NA WATU WENGI WAMEMWAMBIA KUWA AMSHILIKISHE TUU BABA MZAZI NA SIO BABA MLEZI. ITAONEKANA NI AIBU.
 
Watu wemgi wanamshauri kuwa Aende kwa Baba mzazi.
Kwa sababu ni mzazi mwenye mtoto.
Wengi watasema ila yeye je?? Na mama yake anamshauri nini?? Mkuu kuwa mzazi wa mtoto its not about kuchangia mbegu za kuzalisha je alimlea mwanae? Hapo kwa mimi naona mzazi wa mtoto ni baba mlezi aliyemlea toka mdogo mpaka kamaliza chuo akamtafutia na kazi. Mwisho wa siku aangalie whats best for her
 
BABA MLEZI
Screenshot_20230427_132039.jpg
 
Back
Top Bottom