Ushauri kwa Serikali kuhusu muandamo wa mwezi

Ushauri kwa Serikali kuhusu muandamo wa mwezi

reg edit

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2012
Posts
403
Reaction score
506
Nadhani umefika wakati sasa Serikali muondoe hii sintofahamu ya sikukuu za kitaifa( public holidays) haswa zinazotegemea muandamo wa mwezi.

Ni vizuri serikali (msemaji wa Serikali) akawa yeye ndio anatangaza kama ni mapumziko ya kitaifa au la. Inakuwa sio vizuri/ haijakaa vizuri kwa wakristo/dini nyingine kusubiria tamko la sheikh mkuu wakati yeye sio kiongozi wao. Kwakuwa ni public holiday basi itangazwe na serikali full stop.

Lakini pia kwakuwa kuna mgawanyiko kwa waislamu, basi ingefaa kati ya zile siku mbili zenye sintofahamu zote zikawa public holidays ili kutowanyima wengine uhuru wao wa kuabudu.

Natumai mawazo yangu haya yatafanyiwa kazi.

Nawasilisha.
 
Serkali iombe ushirikiano na Saudi Arabia kuhusu Hilo swala. Saudi Arabia ndo iwe inatupa taarifa kama mwezi umeandama au vipi?
 
Screenshot_20230421_093834.jpg
 
Hili wazo bora sana, serikali izingatie huu ushauri wako.
 
Nadhani umefika wakati sasa serikali muondoe hii sintofahamu ya sikukuu za kitaifa( public holidays) haswa zinazotegemea muandamo wa mwezi.

Ni vizuri serikali (msemaji wa serikali) akawa yeye ndio anatangaza kama ni mapumziko ya kitaifa au la. Inakuwa sio vizuri/ haijakaa vizuri kwa wakristo/dini nyingine kusubiria tamko la sheikh mkuu wakati yeye sio kiongozi wao. Kwakuwa ni public holiday basi itangazwe na serikali full stop.

Lakini pia kwakuwa kuna mgawanyiko kwa waislamu, basi ingefaa kati ya zile siku mbili zenye sintofahamu zote zikawa public holidays ili kutowanyima wengine uhuru wao wa kuabudu.

Natumai mawazo yangu haya yatafanyiwa kazi.

Nawasilisha.
Hii serikali siyo ya kidini we ngedere. Msichomekechomeke maujinga yenu serikalini. Serikali na mwandamo wa mwezi wapi na wapi. Una elimu kiasi gani. Jiendeleze kielimu hasa elimu ya uraia
 
Back
Top Bottom