[6/17, 17:32] Steven Simon Lyimo: Najiuliza samahani naomba unisaidie:
Kuna mwanamke ambae nilioa nikaachana nae kurokana na tabia yake ya umalaya.
Mimi nimekuwa ktk malezi mazuri ya kidini, niliridhika kwa asilimia zote kwamba nimepata wangu kumbe niliingia ktk mwanamke ambae sijui kilimpata...