ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada wenu tafadhali kama una stress don't comment. Nahitaji ushauri

    Habarini wakubwa ninawasalimia. Mimi Nina mke na watoto 03. Huyu kwa kwanza ni mkubwa ana miaka 23 ameumuka kama kama mamaake anaumbile kubwa na amefanana na mamaake, ni mnene na anakila kitu alichomacho mamamaake. Umetomea ugonvi baina yangu na mamaake. Kwa kimaumbile mamamaake ana maungo...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa Mange Kimambi: Kuwa makini na vyanzo vya habari; CCM wana mbinu nyingi za diversion.

    TL;DR (Kwa ufupi): Wito kwa Mange Kimambi kuwa makini na vyanzo vyake vya habari kwani CCM wanatumia mbinu ya "Diversion" na masalia ya wasaliti wa ndani ya CHADEMA (aina ya kina Yericko) kuvujisha habari za uongo (mafamba) kuhusu migogoro ya kufikirika ili kusambaratisha wanamageuzi, kama...
  3. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu ndoa

    Salaam wakuu, mimi ni mwenzenu ila account yangu sijui imefanyaje na ile email walihack ila nimefungua account mpya. Sasa ndugu zangu mimi nina 38 sasahv na ndio naingia kwenye ndoa, huyu binti nilizaa nae miaka 12 iliyopita, ila nilikuwa sijapata kibali cha kuishi nae pamoja. Sasa naombeni...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa yanayoendelea Nchini Tanzania

    Amani iwe nanyi wakuu: Kama Mtanzania na mwanachama wa CCM, naomba kushauri kwa yanayoendelea nchini kwetu hasa suala la utekaji, ufisadi, na ukandamizaji wa haki za binadamu, Ushauri kwa Vyombo vya ulinzi na usalama: Ninyi mmeapa kuilinda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania dhidi ya maadui wa...
  5. JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa ushauri kwa vijana

    Weka hapa linalokusumbua.. Lakini Kama unahofu ya kutumia jina lako.. Unaweza kuwasililiana na Moderator akakuweka anonymous Vijana wamevurugwa mentally. Vijana wengi hawana sexual awareness Vijana wengi wanateseka na uraibu Vijana wengi wanateswa na mahusiano Vijana wengi wanatepelika kwa...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nina mtaji wa 50,000 (Shilingi elfu hamsini)

    Samahani wakubwa nimeuza vitu vyangu kadhaa nimepata Shilingi elfu hamsini, nahitaji hii Hela isipotee maana sijui nitapata lini Tena. Naombeni wazo la shughuli ya kufanya Kwa kutumia kiasi hiki Cha Pesa na nipate faida. Niweze kuweka akiba ya 2,500 Kila siku Jinsia mwanaume miaka 28 Dar es...
  7. JamiiForums Tanzania Nahiitaji ushauri kuna jambo linanisumbua

    Sasa natimiza mwaka wa pili tangu niajiriwe serikalini. Nataka kuongeza elimu maana niliajiriwa na Form Six. Nafanya kazi Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, nipo Zanzibar. Kwa mujibu wa kazi yangu, siruhusiwi kusoma mpaka nipate kibali kutoka kwa mkuu wangu, na hawakubali kutoa labda kwa watoto...
  8. JamiiForums Tanzania Ushauri foleni barabara ya Goba

    Kumekuwa na kero kwa muda mrefu sasa haswa sisi tunatumia njia ya goba asubuhi ila haswa usiku. Kuwa na foleni kubwa sana isiyotembea hata kwa masaa matatu na zaidi. Ombi langu kwa serikali yetu kupitia tonroad wafanye mpango wa kujenga kuchora njia 3 toka around about ya goba mwembe madole...
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mwigulu: Tofautisha Uwaziri Mkuu na Ukatibu mwenezi wa CCM

    Kwako Mheshimiwa Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba, Nina ushauri Mmoja tu kwako. Naomba nikushauri ya kwamba tofautisha nafasi ya Uwaziri Mkuu na nafasi ya ukatibu mwenezi wa CCM. Ushauri wangu ni kwamba Kuna kauli ambazo hutakiwi kuongea kwa nafasi uliyonayo ya Waziri Mkuu. Wewe ni kiranja wa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bure kuhusu siku ya 7/7

    Kwahali ninavyoiona nahisi tarehe 7/7 siyo siku ya kutoka nyumbani. Ushauri wa Bure nunua mahitaji ya nyumbani Sasa tena ya kutosha ikifika 7/7 Baki ndani usitoke hata kwenda kununua chumvi dukani ili Yale ya Octoba 29 Yasije yakakukuta.
  11. JamiiForums Tanzania Ninaliona tatizo kubwa kwa kamati ya kuu ya ulinzi na usalama wa Taifa letu, HAYA matamko ya wanasiasa ni ushauri wao kweli? 29/10 mlikuwa wapi?

    Sijui ninayo yaona ndiyo mnayoyaona, ILA kiukweli simwamini Katambi, Wala simwamini mwiguru kama kweli Taifa lipo hatarini kuchafuka, km ni kweli kwanini hawakuona hatari ya 29/10/2025?
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri: wafuasi na Viongozi wa CHADEMA heshimuni kauli za viongozi wetu hiyo jeuri yenu kafanyieni kwenye nchi zingine siyo Tanzania

    Nchi Ina viongozi na wote wameapa kuilinda kuiheshimu katiba ya Nchi kwa hali na Mali, wameapa kuilinda amani ya Tanzania kwa hali na Mali, kwahyo nyie viongozi na wafuasi wa chadema jueni kuwa hamna nafasi ya kuvuruga amani ya Tanzania hilo halipo kabisa huu ndo ukweli. Hamna mtu mwenye uwezo...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa TLS na vyama vya siasa na hata CCM wenyewe, ni kwenda mahakamani kupinga katazo la waziri la mikutano ya hadhara, jambo la kikatiba

    Serikali ya Raisi Samia imefika mahali inafikiri kwamba inaweza kuamua jambo lote lile kufanyika hapa nchini, hata kama kufanya hivyo ni kupingana na katiba ya nchi. Serikali hii imefanya maamuzi mengi ya kukiuka katiba, kufikia hata kiwango cha kuua raia wasio na silaha kwa sababu tu...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Video fupi: Yesu atoa ushauri kwa team kataa ndoa

    Katika video hii fupi, Yesu anatoa ushauri kwa team kataa ndoa kwa kuwaambia, "Kataeni dhambi, si lazima mkatae ndoa" Angalizo: Sura zinazoonekana katika video ni matokeo ya Sanaa na siyo uwakilishi halisi wa wahusika. https://m.youtube.com/watch?v=MfpPNr5Vujw&pp=ygUMWWVzdSBBbmFqaWJ1
  15. JamiiForums Tanzania HOJA Ushauri wangu: Mabasi ya abiria ya mikoani yaishie Mbezi Magufuli

    Sioni haja ya kila kampuni ya mabasi iwe na kituo chake cha kushushia abiria, inatosha wakiishia kituo kikubwa cha mabasi Mbezi Magufuli itasaidia kupunguza msongamano ktk mji na pia stendi ya Magufuli haitopoteza mapato na wafanyabishara watanufaika.
  16. JamiiForums Tanzania Ushauri wa Prof Anna Tibaijuka kwenye muswada wa Fedha 69 wa 2026

    Anna Tibaijuka, aliyekuwa Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Makazi, UN-Habitat-Nairobi na Waziri wa Tanzania, anachambua marekebisho ya Sheria ya Fedha 2026 kwenye kifungu cha 69 cha Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania. Marekebisho hayo yanaruhusu serikali kupata mapato ya muda kutoka kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Ukipata mke anayeomba ushauri wako jambo la kushukuru Mungu

    Wanaume huwa tunavimba vichwa sana kuona mke anakuja kuomba ushauri wa mambo yake ni utiifu wa kiwango cha juu , akiwa na jambo utasikia subiri hubby aje niongee naye hafanyi jambo bila kumshirikisha mume . Mke wa aina hii anavutia sana
  18. JamiiForums Tanzania Hivi unaweza kupokea ushauri kama huu na kuamini kabisa

    Leo unakutaka na mtoto wa samia au mwiguru,wasira,kikwete,sirro,mwiguru,mombo na wengine wengi wabagazaji. Ushauri wao kukupa matumaini wakikwambia maneno haya. 1.Achana na wazo la kuajiliwa jiajili. 2.Tunza pesa utafanikiwa. 3.Kuwa mvumilivu ndondo si chururu. 4.jikubari maisha ndiyo haya...
  19. U

    JamiiForums Tanzania USHAURI nisome Foundation Course Program au nimalizie Diploma ya Clinical Medicine?

    Habari za muda huu wakuu, bila kuwapotezea muda niende kwenye maada. Mimi ni nina elimu ngazi ya cheti ya utabibu technician certificate in clinical medicine(NTA L5) niliishia hii level kwa sababu niligundua soko la ajira lipo sana kwa ngazi ya certificate ukilinganisha na diploma ambao kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Unaomba ushauri mtandaoni; upo tayari kukabiliana na usiyoyatarajia?

    Kama wewe ni mwenyeji humu ndani utakuwa na uzoefu mzuri sana juu ya wale wote ambao huwa wanaomba ushauri humu na kile ambacho huwa wanakipata. Ushauri unapata na kusimangwa juu,si ajabu hapo ulipo unahisi kama uanata kujinyonga kutokana na changamoto zako mbali mbali,sasa unataka kutafuta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…