petro matei
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 812
- 949
Kumekuwa na kero kwa muda mrefu sasa haswa sisi tunatumia njia ya goba asubuhi ila haswa usiku.
Kuwa na foleni kubwa sana isiyotembea hata kwa masaa matatu na zaidi.
Ombi langu kwa serikali yetu kupitia tonroad wafanye mpango wa kujenga kuchora njia 3 toka around about ya goba mwembe madole mpaka njia 4 hii itasaidia magari yanayotoka njia ya makongo juu na haya yanayotoka huku mbezi shule yakifika hapa kupita bila kiziwizi na magari yanatoka madale,matosa na mbezi luis kuingia kwenye bila kusubiriana . Asubuhi njia mbili zinakuja goba na jioni njia mbili zinakuja njia nne inawezekana hii barabara ni pqna sana