Uzi maalum wa ushauri kwa vijana

Uzi maalum wa ushauri kwa vijana

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
371,741
Reaction score
861,143
Weka hapa linalokusumbua.. Lakini Kama unahofu ya kutumia jina lako.. Unaweza kuwasililiana na Moderator akakuweka anonymous

Vijana wamevurugwa mentally.

Vijana wengi hawana sexual awareness

Vijana wengi wanateseka na uraibu

Vijana wengi wanateswa na mahusiano

Vijana wengi wanatepelika kwa maana hawana information
CC: Eli Cohen
Pia unaweza kupitia nyuzi hizi

Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume 18-30years | JamiiForums Kenya Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume 18-30years

(5,094) Naomba kuongea na wadogo zangu wa kike wenye kutafuta ndoa | JamiiForums Tanzania Naomba kuongea na wadogo zangu wa kike wenye kutafuta ndoa
 
Thank you brother for further assistance
Screenshot_20260706_100813.jpg

255Fixer shxxt just got real😁
 
Uzi umekaa vyema kabsa mkuu
Sio ushauri ila nikanuni waiishi kila iitwapo leo "wajitahidi kuiheshimu sasa "

Kila jambo kama ikiwezekana afanye wakati huo huo aachane na muda wa kisaikolojia yaan
Baadaye
Kesho
Jana

Bila kutenda jambo leo hakuna kesho
Baadaye wala Jana hivyo kwa kila kitu wajitahidi wasiweke kiporo cha kutenda jambo wafanye muda huuo huoo kesho haipo Baadaye wala Jana pasipo SASA
wakaangazie zaidi katika kitabu kimeandikwa POWER OF NOW
 
*Baadaye wala Jana hivyo kwa kila kitu wajitahidi wasiweke kiporo cha kutenda jambo wafanye muda huuo huoo kesho haipo Baadaye wala Jana pasipo SASA
wakaangazie zaidi katika kitabu kimeandikwa POWER OF NOW*💪🏿✍🏿
 
Kutumia utambulisho uliofichwa (Hidden ID) kunampa kijana uhuru mkubwa wa kuelezea changamoto zake kwa sababu kunaondoa uoga wa kuhukumiwa na jamii inayomzunguka.

Vijana wengi wanakabiliwa na matatizo mazito kama msongo wa mawazo, uraibu, au changamoto za kifamilia, lakini hushindwa kuomba msaada kwa hofu ya kupata unyanyapaa au kupoteza heshima yao.

Wanapotumia njia za siri—kama vile majukwaa salama ya mtandaoni, namba za simu za msaada, au hata masanduku ya maoni shuleni—wanapata ujasiri wa kujieleza kwa uwazi na ukweli wote bila kurembesha.

Hali hii inawasaidia kupata ushauri sahihi wa kitaalamu kwa wakati, ingawa ni muhimu pia kuwaelekeza kwenye mifumo inayosimamiwa na watu waaminifu ili kuwakinga na matapeli au ushauri mbaya mtandaoni.
 
Mkuu uko sahihi katika hili maswaibu ya vijana mengi yamekaaa kwa namna ya kufanya kupata aibu au haya katika kuwasilisha kwa watu ,inafikia hatua wanaona endapo watasema mbele ya watu flani wataonekana niwakosefu wakuu kuwahi kutokea
Hili wazo lako mkuu liko sahihi kabisa
Sijajua namna ipi ifanyike kuwe na utambulisho fiche katika kuokoa jamii hasa jamii iliyokwisha kupita elimu za juu hasa vyuo vikuu ,maan sio rahisi kusema mbele ya watu nimeshirik anal sex mkuu

Ukiulizwa unasemaje unajua kabisa hapa sina utetezi 👋 👋 👋 atsaaaa nikukaa kimya inabaki ndio njia ila matokeo yake ukimya huu ni ule unao ua kabisa.
 
Weka hapa linalokusumbua.. Lakini Kama unahofu ya kutumia jina lako.. Unaweza kuwasililiana na Moderator akakuweka anonymous

Vijana wamevurugwa mentally.

Vijana wengi hawana sexual awareness

Vijana wengi wanateseka na uraibu

Vijana wengi wanateswa na mahusiano

Vijana wengi wanatepelika kwa maana hawana information
CC: Eli Cohen
Kuna mengi sana ya kusema, watu watoe vinyongo
 
Mkuu uko sahihi katika hili maswaibu ya vijana mengi yamekaaa kwa namna ya kufanya kupata aibu au haya katika kuwasilisha kwa watu ,inafikia hatua wanaona endapo watasema mbele ya watu flani wataonekana niwakosefu wakuu kuwahi kutokea
Hili wazo lako mkuu liko sahihi kabisa
Sijajua namna ipi ifanyike kuwe na utambulisho fiche katika kuokoa jamii hasa jamii iliyokwisha kupita elimu za juu hasa vyuo vikuu ,maan sio rahisi kusema mbele ya watu nimeshirik anal sex mkuu

Ukiulizwa unasemaje unajua kabisa hapa sina utetezi 👋 👋 👋 atsaaaa nikukaa kimya inabaki ndio njia ila matokeo yake ukimya huu ni ule unao ua kabisa.
Kwakuwa hii mada ni endelevu nina hakika suluhu itapatikana.. Lakini njia rahisi zaidi ni kuwa na ID ya ziada kwa ajili hiyo tuu
 
Kuna mengi sana ya kusema, watu watoe vinyongo
Kubwa na gumu sana kushare waziwazi ni kijana kuvutiwa na jinsia yake kwenye mahusiano. Na hapa waathirika wengi ni vijana wa kiume
Wakike nao wanakumbana na hizo hali kutamani au kuingizwa kwenye usagaji

Lingine ni kuwa na jinsia mbili
Kuotwa ndoto za kuingiliwa kwa vijana wa kiume
Changamoto za ndoa kwa vijana wa like
Harufu mbaya sehemu za siri
Magonjwa ya zinaa nk
 
Afya ya akili, kukosa ajira, mahusiano, spiritul issues, spiritualism..
Hayo ni mambo mazito na ya msingi sana yanayogusa maisha ya kila mwanadamu. Mara nyingi, mambo haya yanahusiana sana. Kwa mfano, kukosa ajira kunaweza kuleta msongo wa mawazo unaoathiri afya ya akili, na kisha kuleta migogoro kwenye mahusiano au kukufanya uanze kutafuta majibu katika upande wa kiroho (spirituality).
 
Watu wanateseka sana! Kuna kijana mmoja nimemsoma humu mara kadhaa like anahitaji msaada ila watu wanampuuzia! Ila kiukweli kuna watu wanapitia magumu sana! Tusiwe tunawatenga!
 
Back
Top Bottom