Habari watanzania wenzangu poleni na majukumu na hali ya kisiasa ambayo haina afya kwa taifa huru kama tanzania.
Nimekuja hapa jukwaani asubuhi hii kwa lengo moja tu la kutaka kushauriwa juu ya mwenendo wa misha yangu ambao unanipa sintofahahamu juu ya atma ya maisha yangu.
Kiualisia mimi ni...
Salaam.
Wadau wa JF, nna Mdogo Ang wa myaka 17 anateseka Sana na shida ya tonsils.
Ametibiwa hospitali Mara kadhaa, Hasa akiwa anakaa shule Ila shida imebakia kuwa nzito akahamia day.
From there tatizo limepungua Ila humrudia Kila Mara Licha ya kutumia doze na kumaliza.
Kila akila kitu...
Ni bora sisi raia wema tukajikita katika kusikiliza vyema hotuba na baadaye tukashauri.
Sio vyema kutoa mwitikio mbaya kwenye mitandao ya kijamii.
Hapa ni maoni ya watu kwenye mtandao wa Facebook au Meta.
Sina hakika kama hawa ni wanachama wa
Mahakama itoe uamuzi wa hoja za mawakili wa Lissu, halacu DPP akate rufaa kama ilivyokuwa kwenye kesi ya Dk. Slaa.
Huku uhaini unasubiri upelelezi, huku t unasubiri rufaa
Wengi wanaotoa ushauri wa ndoa huku JF si wanandoa. Unaona kabisa huyu hajaoa wala kuolewa.
Neno kuoa ni kuwa na mke unayempata kihalali—iwe kidini, kimila au kiserikali—na unatambuliwa rasmi kama mume wa mtu. Neno kuolewa ni kuwa chini ya mamlaka ya aliyekuoa, yaani unakuwa mke halali wa...
Wakuu, kuna huu mchezo unaendlea huko telegram , unapewa link unaingia kwenye web ya Ali express unalike bidhaa zao unalipwa.
Yeyote mwenye experience, hii ni genuine kwel maana nachojua hamn pesa rahisi hasa mtandaoni. Binafsi nimelipwa hapa ila nahisi kam ni mtego.
Mwaka huu nina mpango wa kuoa sasa Mwezi uliopita nilimtuma mshenga kwenda kuposa kwao Mchumba wangu, Sasa mshenga akanipa jibu posa imekubaliwa na kiasi cha mahali wakatajiwa ni Shilingi milioni mbili na laki mbili na 30, Mimi nikakubali kulipa ila nikawaomba nilipe kwa awamu tatu yani awamu...
David Kafulila a.k.a "Tumbiri" amejipa jukumu la kuwa msemaji wa watawala kuonesha kuwa uchumi wa Tanzania upo Imara na himilivu kuliko hata wale wenye jukumu Hilo.
Kafulila anaongea sana kuhusu Hali ya uchumi wa Tanzania kuliko hata Waziri wa fedha au Gavana wa Benki Kuu ambao ndiyo wenye...
Ni ukweli usiopingika kuwa CCM sasa wanaiogopa CHADEMA kuliko hata namna wanavyomwogopa Mungu.
Ukweli huu unatokana na ukweli kuwa, ni dhahili kuwa Watanzania wote sasa hivi wameona na wameelewa kuwa Chama cha Kweli cha Siasa ambacho kipo kwa ajili ya kuwapigania kweli ili kuwapatia maisha bora...
I hope everyone is doing well.
Mie ni mwanaume, 30 years. Nilipomaliza chuo nilipambana Ili kujenga uchumi wangu,,sahivi namshukuri Mungu maisha yanasonga.
Kwa Sasa nataka kuoa ila mpenzi niliyenae ananiweka dilemma, Kwa maana kwamba nimuoe au nisimuoe.
Huyu binti ana 22years, amesoma...
Kwenye makanisa ya sasa mtaji mkubwa na nguvu ya kanisa ni watu,yaani kanisa au huduma Yako ipate watu wengi.
Kwa dar sasa Imejaa makanisa yapo mengi mno na wanaonufaika ni wale wenye majina ie Mwamposa,kuhani Musa an CO.
Mkoa mzuri kwa Huduma kwa sasa ni Dodoma,dodoma inakuwa sana kwa haraka...
Habari wanaJF,
Natumaini mnaendelea vizuri. Nimerudi tena (na kasi yangu imenipa zawadi ya "can't stop" ya JF). Asante sana Maxcence and the team.
Juzi kati nilipigiwa simu na mdau mmoja. Akaniambia kuwa anataka nimsaidie mfumo wa SMS wa kumsapoti wakati wa harusi yake. Request nyepesi lakini...
Wakuu kwema.
Nimekuwa nikiishi kwa amani sana mpaka pale nilipoenda kupanga mtaani,
Kuna mpangaji mgeni ila inaonekana yeye ni mwenyeji hapa mtaani , ni mvutaji bangi mkubwa mno, utulivu hakuna.
Juzi natoka zangu kampas nakuta mtu kanisubiri akisema nimeiba kitu chake ambacho hata mimi sikijui...
Habari wakuu.
Kwa mwenendo wa maisha ya sasa, unaushauri gani kwa kijana anaetaka kutoka kijijini kwenda kusaka maisha mjini?
Mwenye elimu ya kidato cha nne, ana pesa kidogo ya kuanzia maisha mjini, hana ujuzi tofauti na uchapakazi wake, ushauri ulenge hasa wa kiume, lakini hata wa kike waweza...
Huko kazini, nimekutana na case ya dada ametolewa cervix (mlango wa kizazi) kwa sababu ya kujifukiza na kujiingiza mavitu ukeni.
Jamani, waambieni wanawake wasiweke vitu huko chini, athari zake ni kubwa na hakuna faida wala matokeo yoyote atayapata kwa kufanya hivyo zaidi ya kuwa na harufu...
Habari zenu wadau.
Kwenye moja na mbili,juzi kati nkaopoa demu moja mkali sana wa kisukuma.ila kwenye kuchati leo kaniambia ana tatizo la majini.
Wazee nilikuwa nimepanga kuichapa leo night.ila kabla sijaiomba nimeona nije kwenu hapa jamvini mshe uzoefu wenu isijetokea ile ya kafia ghetho...
Ewe mwanaJF, tupia ushauri wowote kwa hiki Chama ambacho mpaka Sasa kina dalili zote za kuwa Chama kikuu Cha Upinzani katika medani yetu ya siasa mara baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025. Unapendekeza wafanye nini' na kivipi.
Karibuni!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.