ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hot27

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya online business

    Habari wakuu wa JF nyote. Nipe mbele yenu nahitaji ushauri, mawazo na hata connection juu ya masuala ya online business. Mimi ni kijana na nilipo nina access ya internet (kuanzia saa tatu asubuh hadi saambili usiku) hivyo naona kutumia fursa hii kuangalia tu video tiktok na kuzunguka mitandaoni...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa RC Makonda kuhusu wadudu, sasa wamezidi

    Arusha bado kuna wahuni wa kila aina na wengine wajiweka tofauti na kujiita wadudu. Wadudu wamepata nguvu kubwa kwa RC Makonda ila tokea kupata nguvu yani ukifungua mtandao wa youtube mara wameiba jeneza, mara wamefanya hivi yaani vituko na maajabu. Kumbuka ulitoka Dar, Mfano Dar unapowapa...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa sina kazi ila nina milion 40 sasa ni jenge au nifungue biashara? Naombeni ushauri wenu

    Habari zenu wakuu! Nimekuja hapa mwa ajili ya kuomba ushauri kwa sababu wapo watu waliopitia hali kama hii yangu Nilikuwa nafanya kaz kwenye mradi mmoja Usaid sasa baada ya pilika za trump kazi ikawa imeisha rasmi mwez wa 4 ! Nina mke na watoto wawili ambao wao walikiwa kwenye shirika...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Brenda Rupia - Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi Chadema weka mawasilian yako wazi ili wenye nia njema wakupe ushauri then uupeleke kwa wahusika

    Kwa mfano, taarifa hii/ushauri huu ni madini makubwa sana. https://www.jamiiforums.com/threads/pamoja-na-kuruhusiwa-watu-kwenda-kusikiliza-kesi-ya-lisu-chadema-kuna-mtego-wametegewa-ngoja-niwasanue-sasa.2336593/page-2#post-53689188 Kama Mulilo anaweza kusema tarehe 24 polisi hawakumkamata...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu ifanyikie uwanja wa Uhuru Ili kutoa Nafasi kwa umma kushuhudia

    Salaam! Kwa kuwa Mahakama imeona ni vyema mtuhumiwa wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu lissu isikilizwe mahali pa wazi na umma wa watanzania umeruhusiwa kuhudhuria, Na kwa kuwa uhaini ni jambo baya, ungetumika uwanja ule wa uhuru Ili wananchi wahudhurie na kujua uhaini ni nini Ili waogope...
  6. youngkato

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri movie gani kali niangalie

    Movie yoyote ambayo itanifundisha au itabadirisha mindset yangu hasa katika kupambana na umaskini. Asante Jina tu la movie linatosha
  7. Fazz

    JamiiForums Tanzania Ushauri unahitajika kwa huyu dada yangu

    Nawasalim wote wakuu Ushauri unahitajika kwa huyu dada yangu .Dada angu anafanya kazi kwa wahindi za madawa (medical sales) dar es Salam. Kuna kampuni alikua mwanzo aliacha kazi baada ya boss wakampuni aliyopo ss kumtaka ahamie kwake. Amefanya kazi kwa hii kampuni kwa mkataba wa mwaka mmoja...
  8. nbayoungboy never broken

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara yangu

    Nilijitafuta nikapata mtaji wangu wa takriban milioni 3, nikaona si vibaya nikitumia kukuanzishia biashara. Nilianza kwa kutafuta fremu, nikaipata, lakini mwenye fremu aliniambia nilipie kodi ya mwaka mzima kwa kuwa eneo lilikuwa katikati ya shughuli. Nikalipa shilingi laki saba kwa mwaka...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa CCM - Upinzani hautakufa na Bora kuishi na mpinzani unayemfahamu kuliko ajaye usiyemjua!

    Tangu mwaka 1995 mpaka Leo CCM imekuwa ikihangaika na kuua upinzani. Walianza na NCCR na kufanikiwa kuiua. Kwa bahati mbaya ikaibuka CUF ikawa na nguvu mpaka wakasingiziwa kufanya siasa za ugaidi. Wakasingiziwa kuagiza matonteina ya majambia. Watu Zanzibar wakauawa, kwa mara ya kwanza Tanzania...
  10. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Ushauri: hakikisha una mganga mzuri kabla ujaenda oral interview yeyote ya utumishi

    Ushauri: hakikisha una mganga mzuri kabla ujaenda oral interview yeyote ya utumishi. Mi yangu ni hayo tu
  11. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Chadema: Wekeni rekodi vizuri ya Matukio yote ya Utekaji, Kuuwawa, kulawitia na Kupotezwa kwa Watu wenu na Watanzania. Mtanishukuru baadae

    Dunia haijawahi kuwa sehemu nzuri sana kwa Watawala Madhalimu. Wote waliofanya vitendo vya kuua, kuteka, kuwalawiti na kupoteza raia walikuja kukutana na mkono wa Sheria. Wengine kwa Mahakama za ndani ya Nchi zao na Wengine kwa Mahakama za Nje za Kimataifa. Hali iliyopo nchini Tanzania kwa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kwa kuwa wasomi wa shahada na stashahada wameongezeka sana mtaani, kwanini wasiajiriwe kuwa Polisi?

    Salaam, Najua zamani, failure wa kidato Cha nne walikubaliwa kuingia upolisi na majeshi sababu ya uchache wa wasomi. Sasa mambo yamebadilika. Yaani vigezo vya kuajiriwa upolisi kama, mbio, urefu, afya timamu viongezwe na kuweka kigezo Cha Elimu ya diploma au Degree Ili kupunguza tatizo la...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri napata trauma

    Ndugu zangu hapa nilipo sielewi napitia kipindi kigumu sana. Ipo hivi... Mimi ni mtu niliye sensitive sana mtu anapoonewa au kuona mtu anadhurumiwa haki yake hii kitu inaniumizaga sana. Najikuta nakuwa off mood sana na ninadhoofika kila siku kiakili, kihisia na ki mwili pia. KIfupi mpka hapa...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kama umekuta umejaliwa wingi wa mali then kuwa makini na ushauri dhidi ya uendeshaji wa familia yako haswa kutoka kwa ndugu.

    Mara nyingi unakuta roho zinauwaumia kwa ndani kutokana na makali ya mafanikio yako,. Watoto wao kutoweza kukufikia maendeleo, Shuguli zake hazilipi kama zako, etc Directly, hawawezi kuku-affect ili ushuke na ubaki kufanana na wao so wanapopata chance adhimu ya kukushauri jambo lililo personal...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Nataka kiwanja cha hati lakini gharama za kufanya transfer naskia ni kubwa naomba ushauri

    Naomba ushauri kuna kiwanja nimekipenda kununua kina hati miliki lakini naskia gharama za kufanya transfer ni kubwa je nifanyeje ili kupunguza gharama au nitafute ambacho hakina hati militias nipime nitafute hati miliki
  16. ndege joni

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuagiza Mazda CX-5, kwa wazoefu naombeni ushauri kwa mambo naenda kuyaelezea

    Amani iwe nanyi nyote Kama mada inavyosema, ni kwamba nahitaji kuagiza gari kutoka Japan, nimependelea kuitaja Mazda CX-5 ya kati ya 2013 - 2014 kwa sababu nimeona mwonekano wake ni mzuri ila sijui kuhusu uimara na upatikanaji wa spea zake Naomba ushauri kwa wazoefu, je ni gari ya kununua ama...
  17. Thecoder

    JamiiForums Tanzania Naomba mnipe maoni na ushauri juu ya hili wakuu

    Mambo vipi wakuu... Niko na hii platform ambayo inakwenda kwa jina la ulumbi.com ni marketplace ambayo inamuunganisha mwandishi na msomaji. Kwa maana iko na milango miwili ya kwamba unaweza kujisajiri kama user au writer na ukijisajiri kama writer utapata dashboard ya writer na huko ndio...
  18. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Nimechoshwa na distance love naombeni ushauri

    Hivi nyie wenzangu ambao mko kwenye distance love mnawezaje aisee yaani siku baada ya siku ndivyo ninavyozidi kuchukia distance love na kumchukia huyu binti bila sababu yoyote ile ila binti inaonesha kunipenda sana ila mimi kadri ya siku ndivyo navyozidi kumchukia na kuchukia hii distance love...
  19. Baba Rhobi

    JamiiForums Tanzania Music Enthusiasts na Wakali wa Sound System, Pitieni hapa mtoe ushauri.

    Wakubwa nimecheki huko Mjini Facebook, kuna wakenya huko wanatamba na hizi Sound System za magari wanaweka majumbani mwao hii idea imekaaje, make sote tunajua mziki wa gari huwezi linganisha na Sabufa za hapa na pale.
  20. Daby

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa member anayeitwa Perry

    Kwanza nakulaumu saana kwa ujinga ulioufanya. Nimeangalia ID yako umejiunga JF 2011 ikimaniisha wewe ni mtu mzima. I'm disappointed of you. Kosa mlililolifanya hasa wewe ni kutokusimama na dada yenu....haijalishi yeye ni mkubwa kwako lakini kiafrika mwanaume hasa wa age yako unatakiwa uwe...
Back
Top Bottom