ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ushauri: kama mawakili wa Lissu wakiendelea na usumbufu, mahakama itoe uamuzi wa hoj zao, DPP apeleke notice of appeal mahakama kuu kesi isimame

    Mahakama itoe uamuzi wa hoja za mawakili wa Lissu, halacu DPP akate rufaa kama ilivyokuwa kwenye kesi ya Dk. Slaa. Huku uhaini unasubiri upelelezi, huku t unasubiri rufaa
  2. O

    JamiiForums Tanzania Wengi wanaotoa ushauri wa ndoa humu sio wanandoa, sababu ya upendeleo

    Wengi wanaotoa ushauri wa ndoa huku JF si wanandoa. Unaona kabisa huyu hajaoa wala kuolewa. Neno kuoa ni kuwa na mke unayempata kihalali—iwe kidini, kimila au kiserikali—na unatambuliwa rasmi kama mume wa mtu. Neno kuolewa ni kuwa chini ya mamlaka ya aliyekuoa, yaani unakuwa mke halali wa...
  3. Egg mayai

    JamiiForums Tanzania Vipi kuhusu mchezo wa Ali express, Si utapeli huu?

    Wakuu, kuna huu mchezo unaendlea huko telegram , unapewa link unaingia kwenye web ya Ali express unalike bidhaa zao unalipwa. Yeyote mwenye experience, hii ni genuine kwel maana nachojua hamn pesa rahisi hasa mtandaoni. Binafsi nimelipwa hapa ila nahisi kam ni mtego.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ya Jana yameshapita, tugange ya tarehe 27 na ushauri wangu kikosi kiwe hivi ili kuiondosha Stellenbosch

    Stellenbosch atakufa kwa kikosi hiki tu na sio vinginevyo 1. Camara 2.Kapombe 3. Nouma 4.Che Malone kama amepona 5.Hamza 6.Kagoma 7.Kibu 8.Okajepha 9.Ateba 10.Mavambo 11. Mpanzu
  5. jaap

    JamiiForums Tanzania Naombeni Ushauri: Baba mkwe kakataa kupokea Mahari kwa awamu tatu

    Mwaka huu nina mpango wa kuoa sasa Mwezi uliopita nilimtuma mshenga kwenda kuposa kwao Mchumba wangu, Sasa mshenga akanipa jibu posa imekubaliwa na kiasi cha mahali wakatajiwa ni Shilingi milioni mbili na laki mbili na 30, Mimi nikakubali kulipa ila nikawaomba nilipe kwa awamu tatu yani awamu...
  6. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure Kwa kafulila!!

    David Kafulila a.k.a "Tumbiri" amejipa jukumu la kuwa msemaji wa watawala kuonesha kuwa uchumi wa Tanzania upo Imara na himilivu kuliko hata wale wenye jukumu Hilo. Kafulila anaongea sana kuhusu Hali ya uchumi wa Tanzania kuliko hata Waziri wa fedha au Gavana wa Benki Kuu ambao ndiyo wenye...
  7. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushauri wa bure kwa CCM: Tunaelewa Mmechanganyikiwa na Chadema, Ila tumieni fedha zenu kwa akili

    Ni ukweli usiopingika kuwa CCM sasa wanaiogopa CHADEMA kuliko hata namna wanavyomwogopa Mungu. Ukweli huu unatokana na ukweli kuwa, ni dhahili kuwa Watanzania wote sasa hivi wameona na wameelewa kuwa Chama cha Kweli cha Siasa ambacho kipo kwa ajili ya kuwapigania kweli ili kuwapatia maisha bora...
  8. RUKUKU BOY

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu nipeni ushauri kuhusu huyu binti

    I hope everyone is doing well. Mie ni mwanaume, 30 years. Nilipomaliza chuo nilipambana Ili kujenga uchumi wangu,,sahivi namshukuri Mungu maisha yanasonga. Kwa Sasa nataka kuoa ila mpenzi niliyenae ananiweka dilemma, Kwa maana kwamba nimuoe au nisimuoe. Huyu binti ana 22years, amesoma...
  9. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wachungaji,manabii na nitumie wa sasa (kizazi kipya)

    Kwenye makanisa ya sasa mtaji mkubwa na nguvu ya kanisa ni watu,yaani kanisa au huduma Yako ipate watu wengi. Kwa dar sasa Imejaa makanisa yapo mengi mno na wanaonufaika ni wale wenye majina ie Mwamposa,kuhani Musa an CO. Mkoa mzuri kwa Huduma kwa sasa ni Dodoma,dodoma inakuwa sana kwa haraka...
  10. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Fursa Hii Hapa: Naomba Ushauri Wenu

    Habari wanaJF, Natumaini mnaendelea vizuri. Nimerudi tena (na kasi yangu imenipa zawadi ya "can't stop" ya JF). Asante sana Maxcence and the team. Juzi kati nilipigiwa simu na mdau mmoja. Akaniambia kuwa anataka nimsaidie mfumo wa SMS wa kumsapoti wakati wa harusi yake. Request nyepesi lakini...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Naombeni Ushauri kuna mtu amenitishia

    Wakuu kwema. Nimekuwa nikiishi kwa amani sana mpaka pale nilipoenda kupanga mtaani, Kuna mpangaji mgeni ila inaonekana yeye ni mwenyeji hapa mtaani , ni mvutaji bangi mkubwa mno, utulivu hakuna. Juzi natoka zangu kampas nakuta mtu kanisubiri akisema nimeiba kitu chake ambacho hata mimi sikijui...
  12. Nomadiq

    JamiiForums Tanzania Una ushauri gani kwa kijana anaetaka kutoka kijijini kuja mjini?

    Habari wakuu. Kwa mwenendo wa maisha ya sasa, unaushauri gani kwa kijana anaetaka kutoka kijijini kwenda kusaka maisha mjini? Mwenye elimu ya kidato cha nne, ana pesa kidogo ya kuanzia maisha mjini, hana ujuzi tofauti na uchapakazi wake, ushauri ulenge hasa wa kiume, lakini hata wa kike waweza...
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Huu ni moja wa ushauri bora niliwahi kuona mtu akipewa JF. Yani uko simple na precise ila unafikirisha.

    👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿 BALENSIAGA 🙌🏿🙌🏿
  14. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Wanaume ongeeni na wanawake zenu labda nyie watawasikiliza

    Huko kazini, nimekutana na case ya dada ametolewa cervix (mlango wa kizazi) kwa sababu ya kujifukiza na kujiingiza mavitu ukeni. Jamani, waambieni wanawake wasiweke vitu huko chini, athari zake ni kubwa na hakuna faida wala matokeo yoyote atayapata kwa kufanya hivyo zaidi ya kuwa na harufu...
  15. mike2k

    JamiiForums Tanzania Nimepata demu mkali balaa ila ana majini. Naomba ushauri wenu

    Habari zenu wadau. Kwenye moja na mbili,juzi kati nkaopoa demu moja mkali sana wa kisukuma.ila kwenye kuchati leo kaniambia ana tatizo la majini. Wazee nilikuwa nimepanga kuichapa leo night.ila kabla sijaiomba nimeona nije kwenu hapa jamvini mshe uzoefu wenu isijetokea ile ya kafia ghetho...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa ACT-Wazalendo baada ya kuwa Chama kikuu Cha upinzani Oktoba 2025

    Ewe mwanaJF, tupia ushauri wowote kwa hiki Chama ambacho mpaka Sasa kina dalili zote za kuwa Chama kikuu Cha Upinzani katika medani yetu ya siasa mara baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025. Unapendekeza wafanye nini' na kivipi. Karibuni!
  17. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Bongo FM

    Sio kila mtu anaweza kusoma taarifa ya habari.Leo msomaji wa news hq saa 12 asubuhi kasoma vibaya sana,matamshi mabaya sana,kashindwa kutumia nukta,comma na anahema na kumeza mate kwa sauti. Na hivi ndio huwa kila siku. Lakini hii idhaa mmewatengenezea vijana,sioni sababu ya kutangaza news...
  18. KusiniKuchele

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Kila tukikosana ananiambia mimi nina experience ya ndoa, niitumie kuishi nae

    Habari za majukumu ndugu zangu? Straight to the mada. Mimi ni mama wa mtoto mmoja wa kiume. Mzaliwa wa Manyara Mwiraqw. Niliolewa kwa ndoa takatifu ya kanisani mwaka 2020 lakini bahati mbaya mume wangu alifariki kwa ajali ya gari mwaka 2023. Since then sijawa sawa kihisia namkumbuka sana...
  19. tajiri wa fikra

    JamiiForums Tanzania Mabroo wa miaka 40+ tupeni ushauri namna ya kuukimbia umaskini,vijana mnaojitafuta pitienj huku!

    Vijana wanaojitafuta katika mazingira ya kiafrika wamekua wakikumbana na changamoto nyingi zinazopelekea kubaki katika dimbwi la umaskini. Hata hivyo,kuna watu wamefanikiwa kujikwamua kiuchumi katika mazingira hayohayo,tunahitaji kupata maelekezo kidogo kutoka kwa wakubwa zetu waliofanikiwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushauri kwa Lissu kuhusu G-55

    Wafukuze G55 Mapema kabla hayajawa ya Lipumba kwa Maalim Seif kwa CUF. Njia ya kuwafukuza wanachama. Wafutwe kupitia matawi yao mmoja mmoja tena wiki hadi wiki. Njia hii itasaidia kulisambaratisha kundi hili Vyenginevyo athari kubwa mbeleni. Nimeamua kumsaidia Lissu ili kupinga siasa za...
Back
Top Bottom