ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Neem Min

    JamiiForums Tanzania Mapenzi Yaliyojaa Maneno ya Watu: Nifanyeje?

    Hey there! I’m a 24-year-old woman, and I need some advice before I lose my mind or worse:D:D, my patience with people who think they know everything! So, picture this: I was living with my sister, but she basically kicked me out because I was dating a guy who had just ended things with his baby...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza ukawa una vidonda vya tumbo na usipate maumivu ya tumbo?

    Mambo vipi wana jamvi, naomba kuuliza, kwa uchache sana. Hivi unaweza ukawa una vidonda vya tumbo halafu usiumwe na tumbo? (usipate maumivu) kama ni ndio naomba kwa ufupi sana dalili nyengine za vidonda vya tumbo
  3. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Ana 400,000 mfuko wa shati. Anahitaji ushauri

    Kuna mshkaji wangu kaamua kuachana na utumwa wa kuajiriwa. Amekusanya kiasi cha Tsh. 400k na kuniomba ushauri wa kipi afanye ili asije kujuta Nimemwambia anipe muda nimuangalizie. Na muda huo nalileta suala hili mbele ya JF, where we dare to talk openly. Anaishi Manzese Dar es salaam. Amekataa...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Ushauri Gwajima aitwe haraka mbele ya kamati kuu kauli zake zina ukakasi , he disregard taratibu husika

    Wadau hamjamboni nyote? Gwajima aitwe haraka mbele ya kamati husika , going against taratibu husika ni dharau kubwa, he disregard party tradition, needs to be fixed Angewasikisha hoja zake mamlaka husika. Has enough experience with party tradition hence should not have gone Public. A...
  5. 1academ

    JamiiForums Tanzania Nimedukuliwa mfumo wangu wa tumboo.. Ushauri jamani

    Naomba ushauri wako, niko kwenye mahusiano huu mwaka wa nne na mwaka jana kaja kujitambulisha kwaajili ya ndoa nina mtoto mmoja, nimezaa na mume wa mtu ila huyu mwanaume anayetaka kunioa anajua kuwa mtoto ni wake. Baada ya kuvalichwa pete na mchumba wangu, ndugu wa huyu Baba wa mtoto wangu...
  6. 1academ

    JamiiForums Tanzania Nina mimba ya shemejii.. Ushauri jamanii

    Toka kw pm yangu jamani dah.. Mwaka jana dada yangu alikuja kumtambulisha mwanaume wake, akatoa mahari na mipango ilikuwa ni kufunga ndoa mwaka jana hiyo hiyo mwezi 6. Mimi kipindi hicho nilikuwa niko kwenye mahusiano na mpenzi wangu, baada ya kumwambia kuhusu harusi ya dada yangu nilidokeza...
  7. technically

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Tuunganishe nguvu EAC tuwaondoe kwa chaguzi Marais wote madikteta

    Tanzania- full dikteta Kenya - full dikteta Uganda - full dikteta Rwanda- full dikteta Burundi- full dikteta Kongo-full dikteta Mozambique-full dikteta Tunazidiwa na nchi Kama Zambia Vijana wa East Africa tuamke turudishe nchi zetu kwenye utawala wa Sheria Haki Uwajibikaji Uwazi Na kukomesha...
  8. Adverse Effect

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula kwa Rais kuhusu wanaharakati kutoka nje

    USHAURI WA ASKOFU KWA RAIS SAMIA JUU YA WANAHARAKATI WATOKAO NCHI ZA NJE! Tarehe 19 Mei 2025 ni siku iliyokuwa imebana sana kwangu. Sikuweza kufanikiwa kufuatilia hotuba yeyote iliyotolewa na Mheshimiwa Rais Samia Saluhu Hassan. Hata hivyo, usiku niliona habari picha kadhaa zikiwa na maneno...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Ushauri wa Bure kwa Rais Samia, achana na hii kesi Haina maslahi yoyote kwako, CCM, wala nchi!

    Kwako rais Samia: Aibu hii ya nini? Lissu ni kama Yesu mbele za Pilato. Hana hatia. Wanaopaswa kukushauri kuachana na kesi hii wanasubiri uangukiwe na jumba bovu. Utakuwa mgeni wa nani kwa mwendo huu? Achana na kesi hili la kubumba. Wawajibishe wote wasiokutakia mema. Acha haki...
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania KITAA INTELEJENSIA: Wanaoongoza kula wake za watu.

    1: Doctors 2: Marafiki wa mitandaoni 3: Headmasters/Mwalimu wa mwanao 4: Boda Boda 5: Boss wake kazini 6: Garden boys 7: Graduate alieko kitaa muda wote 8: Mfanyakazi mwenzio 9: Mpangaji mwenzio/Jirani 10: Wachungaji/Manabii feki/Mashehe ubwabwa 11: Wauzaji dukani
  11. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa mwisho kwa CCM: Achaneni na Tundu Lissu, mnavyozidi kudeal nae ndo mnavyozidi kuharakisha anguko lenu, East Africa Spring iko njiani.

    Tundu Lissu ni mjumbe wa Mungu kuja kufanya jambo moja tu Tanzania nalo ni kufanikisha upatikanaji wa Katiba Mpya inayoweka mamlaka kweli kwa Wananchi na kujenga Mifumo imara ya kuwawajibisha Watendaji na Viongozi wanapokiuka Katiba na Sheria. Kwa alipo Tundu Lissu sasa, lolote mtakalojaribu...
  12. DeMostAdmired

    JamiiForums Tanzania Niache kazi Serikalini niende Botswana? Naomba ushauri

    Wakuu habari za siku mingi. Mercy yupo mzima, yupo dar kwasasa na kila siku ananisumbua niende dar au aje nilipo tuonane. Merry yupo tunasonga na maisha. Nimekuja leo naombani ushauri. Nilipata job govenment lakini at a time napambana na job ya govenment nilikuwa nishaanza kufatilia na...
  13. The only

    JamiiForums Tanzania USHAURI KWA CHADEMA: Lissu akitoka asiwape platform waliojitoa awatakie kila la kheri waendako na kuwaahidi ushirikiano

    Habarini! Ni wazi wala bila kuzunguka namna Lissu na wenzie walifanya kampeini ya kumtoa Mbowe ilitumika baadhi ya namna zimeacha madonda machungu kwa Mbowe akini kwa team yake na heshima yake kisiasa. Pia sitaki niwe na upande kama mshauri pia team mbowe haikujiandaa vya kutosha kupokea...
  14. Mijadala Migumu

    JamiiForums Tanzania Dada yangu anapitia kipindi kigumu anaomba ushauri wenu waungwana

    Dada yangu anapitia kipindi kigumu anaomba ushauri wenu waungwana. Ana mume na wamejaliwa mtoto mmoja. Dada ameajiliwa sekta binafsi mshahara wake ni wakaida sana, Mumewe kwasasa amepunguzwa kazini hivyo ni jobless. Sasa Changamoto ni kwamba huko kazini Bosi anamtaka Dada kimapenzi, anamsumbua...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Ushauri kubadili kada

    Mm nimeajiriwa kama mwlm ngaz ya cheti ila sitak kuendelea na ualim saaa n kozi gan naweza kujiendeleza nayo ambayo huwa ina nafasi za kazi zaidi msaada wenu wadau
  16. I

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Simba Mechi ya Fainali

    Nashauri Wapenzi wa Simba na Serikali! Hii ni Fedheha! Kwanini tupangiwe uwanja? Serikali Iandae Matumizi ya Uwanja wa Amaan siku ya Tarehe 25! uwe na Matengenezo! itafutwe hitilafu ya lazima! na kama CAF waleandika barua kwa Silba au serikali iwajibu CAF kuwa uwanja huo utakuwa kwenye...
  17. Malaika wa Misukosuko

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Astrology/Unajimu kuelekea Fainali ya Shirikisho Caf, Berkane atashinda mechi ya kwanza ila ya Pili kama ikichezwa saa kumi Simba ita Draw

    Habarini, viongozi wa Simba chukueni huu ushauri msiupuuzie Mechi ya jumamosi Tarehe 17 Berkane atashinda, ila mechi ya pili iliyokuwa imepangwa kuchezwa Dar es salaam majira ya saa kumi ilikuwa lazima Simba ita Draw hata pia ikichezwa Zanzibar kwa majira hayo hayo ya saa kumi pia Simba ita...
  18. Prayallthetime

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Ushauri Wenu: Nimejawa na hofu ya ugonjwa wa UKIMWI

    Ndugu Zanguni Poleni Na Majukumu . Nimekuja hapa kwa ajili ya ushauri wenu ,atakaenibeza Mungu amsamehe . Nimewahi kuwa kwenye mahusiano na dada mmoja mzuri . Siku ya kwanza wakati nashiriki nae nimeshiriki nae kwa kupeana denda na kuchezeshea mzee sehemu yenyewe ,kuingia ikafanye kazi...
  19. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa dada yangu Dr Tulia, epuka mizaha na Neno la Mungu.

    Kwa wakristo, tunaamini Neno la Mungu linapokujia ni vema kulitia moyoni na kulitafakari. Kulifanyia mizaha ni kufuru, ambayo madhara yake hayatambulikani. Zaburi 1: 1-2 Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu wakuu nahitaji nafasi ya kujitolea

    Naitwa Patrick nipo kigamboni miaka 22, namalizia chuo hapa chuo cha kumbukumbu ya mwalimu nyerere, kozi ya human resources management, degree. Lengo kubwa ni kupata hata sehemu ya kufanya kazi hata kujitolea walau iniweke busy nikiwa nasubiria cheti kitoke ili nianze kuomba kazi official...
Back
Top Bottom