ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri: Ahadi za wanasiasa ziwe supported na 'Indemnity' ili wananchi wawe na uhakika wa utekelezaji wake

    Tumeshuhudia wanasiasa wakituahidi mambo mengi sana kipindi cha kampeni, laiti kama kwa miaka 15 iliyopita, ahadi za wanasiasa (Rais, Wabunge, na Madiwani) zingetekelezwa walau kwa asilimia 50 tu, hii Tanzania ingekuwa ni ya tofauti sana na hii tunayoiona hapa. Mfano ahadi kama ya Milioni 50...
  2. JamiiForums Tanzania Bomu la Ajira litamlipukia Rais Magufuli

    Rais Jakaya Kikwete Pamoja na mapungufu yake mengi ya corrupt system aliyokuwa ameijenga lakini alifanikiwa kutoa Ajira kwa watanzania kila mwaka,kupandishwa madaraja kwa wafanyakazi kila mwaka,kupeleka wafanyakazi kusoma kila mwaka na mengine mengi. Tanzania watu wanaingia kwenye soko Ajira...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Simu gani nzuri ya Samsung kwa bajeti yangu

    Nataka kununua Simu. Naomba ushauri toleo gani zuri la Samsung. Bajeti yangu 300,000/= ~ 400,000/=. Nazingatia zaidi good camera na muonekano. Update Niliongeza pesa kidogo nikachukua Samsung A 51, nimeipenda ni nzuri. Asanteni.
  4. JamiiForums Tanzania Wazoefu nipeni ushauri. Shati la kitenge limeleta utata huku

    Ni mchumba bado sijamuoa sasa basi, kuna sherehe tumealikwa inabidi niende naye sasa ananilazimisha nivae sare na yeye. anishonea shati la kitenge Sasa wadau hii ishu siielewi nimekataa kanuna mbaya? Wazoefu wa kupigilia sare za vitenge nipeni uzoefu kwa mke nahisi ni sahihi lakini kwa mchumba...
  5. JamiiForums Tanzania Wakuu pitieni hapa mnipe ushauri wa kisheria.

    Kuna mtu alionekana anazurura eneo langu la mradi wa mifugo, usiku wa siku hiyo nimeibiwa. Kuna mashahidi waliomuona mtu huyo. Je hiyo inatosha kumtia mhusika hatiani? Karibuni wanasheria
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri: Kiwanja cha bata leo

    Wadau habari zenu, ndugu zangu ni muda wa mwaka sasa nikiwa kikazi mkoani. Leo nimeingia jijini Dar es salaam hakika jiji linazidi kukua na kupendeza kila siku. Wadau nisiwachoshe naombeni mnielekeze kiwanja kilicho happen kwa sasa unakula bear huku unacheza na chenye watoto wakali wa kike...
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu juu ya matumizi ya picha na icon fonts wakati kusanidi project zetu

    Kwa wale mnaoendelea kutumia picha kuwa kama icons inatosha sasa, kwa wale wanaotumia icon fonts mjitahidi kufanya ntakayoeleza!. Hakika inasumbumbua na italeta shida kwenye project yako, endapo utaendelea kutumia picha halisi kuwa kama icons, wengi hutumia picha kwa kuwa walikosa icons kadhaa...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri: Mgombea Urais kupitia CCM, zungumzia Tanzania ya Viwanda ulivyoifanikisha ili upate kura za kutosha

    Pombe Magufuli nakushauri usisahau kuwaeleza wananchi kuwa Tanzania ya viwanda kama umeifanikisha, maana 2015 ulipigiwa kura na watu wengi kwa namna ulivyonadi sera zako, hasa iliyonivutia mimi mpaka nikakupa kura ni Tanzania kuigeuza nchi ya viwanda. Sasa hivi sisikii ukinadi umeifanikisha...
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri kwa kampeni ya Urais ya CHADEMA

    USHAURI KWA KAMPENI YA URAISI YA CHADEMA NDUGU wanachadema wenzangu, Ni siku sita sasa zimeisha tangu kampeni ya uraisi ianze, Na kwa kweli niseme wazi kabisa CDM tumeanza vizuri sana katika kampeni hii, na tumepiga hatua kubwa sana, katika harakati hizi za kampeni, Pamoja na yyote naomba...
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri kwa ACT - Wazalendo juu ya kampeni za Uchaguzi

    Habari wenye chama chenu, naamini mnafuatilia mikutano ya Mgombea wenu wa Urais kama mimi nifanyavyo kwa wagombea wa vyama vitatu maarufu. Nilitamani kuongea na kiongozi wa Chama mara baada ya uzinduzi wa kampeni, bahati mbaya simu yake ilikuwa bize haikupokelewa. Niliyoyaona kwenye hotuba ya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri Tume ya Taifa ya Uchaguzi

    Lipo tatizo linalo ichafua Tume kwa kuwaengua baadhi ya wagombea na wengine kunyanganywa fomu zao wakati wa urejeshwaji, Hayo ni madhila waliyo kutana nayo wagombea wa upinzani pekee,na hili halijatokea kwa bahati mbaya ni makusudi na mipango ilisukwa kwa ustadhi mkubwa toka watendaji wa kata...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Nipo njia panda kuhusu kuendelea kuishi ghetto. Ushauri wenu unaitajika

    Habari zenu wadau, nilikuwa naomba ushauri kutoka kwenu wadau ni hivi ninapoishi kodi yangu inakaribia kuisha nataka kurudi nyumbani kwa mzee. Na sababu ya kutaka kurudi nyumbani na kuacha kupanga kwa sababu ya kutokuwa na kazi kwa sasa so hela ya kodi sina. Lakini girlfriend wangu amekataa...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mbowe: Vunja kitengo cha mawasiliano cha CHADEMA, kisuke upya

    Wapendwa wakuu humu jamvini: Huu ni wakati wa Kampeni na Uchaguzi mkuu. Nguzo kubwa ya ushindi katika uchaguzi ni communication (mawasiliano). Kwa maana ya kwamba lazima wapiga kura wafikiwe kwa ujumbe na ilana ya chama kwa ufasaha na kwa haraka, na ujumbe huu urudiwe mara kwa mara kwenye media...
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Yanga kipindi cha pili, mgeni wetu aruhusiwe kuongeza mchezaji wote tuwe 11 kwa 11

    Kadi nyekundu wamepewa kiulaini sana na imewaua na kuharibu ladha ya mpira Tunataka kuona ubora wa wachezaji wetu na timu yetu yanga Hatuwezi kuona ubora kwa usahihi kwa kucheza na timu pungufu Kama rafu hata sisi tumecheza nyingi ila refa hajatupa kadi Tumpe nafasi mgeni wetu.. mechi ni ya...
  15. O

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri kwa waandaaji wa Kampeni za CHADEMA

    Siku 3 zilizopita chama cha CHADEMA kimefanya Uzinduzi wa Kampeni zake Mkoa wa Dar es Salaam, Katika hali isiyotarajiwa mwitikio wa watu umekuwa Mdogo kuliko Kawaida sana naweza kusema(Waliohudhuria ni chini ya 5000). Wafuasi na wapenzi wa Chadema walioko sehemu mbali mbali wanaweza kujitetea...
  16. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Lissu: Kutana na makundi maalumu!

    Ni kawaida kwa kampeni za siasa za Marekani kwa mgombea kukutana na makundi maalumu ya watu, nadhani wanaita Town Hall meetings, na kuzungumzia mambo maalumu ya kisera. Halafu mgombea unatumia nafasi hiyo kutoa ‘major speech’. Uzuri wa mfumo huu unasaidia kufocus kwenye jambo moja, mfano elimu...
  17. JamiiForums Tanzania Je, unataka kujenga? Kwa ushauri na huduma ya ufundi kutana na fundi mahiri wa ujenzi

    Kwa wote wanaohitaji ushauri juu ya ujenzi wa nyumba za: Makazi Biashara Sherehe na Ibada karibuni sana. Najenga kwa Bei rafiki kulingana na mazingira ya mtanzania. Pia natengeneza mfumo mpya wa majitaka ambapo mashimo hayajai milele. Bei ya chini Ni TSH 2.5m. Bei inaongezeka kutokana na...
  18. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Honestly TBC wanatangaza wanakuja kuwafanyia coverage mlitarajia fairplay?

    Honestly TBC wanatangaza wanakuja kuwafanyia coverage mlitarajia fairplay? Yaani Lissu aelezee jinsi jamaa alivyoagiza apigwe risasi kwamba ni msaliti anawasiliana na Mwanyika ambaye naye ni mgombea ubunge huko CCM ingawa naye inasemekana ni kibaraka wa mabeberu? TBC wametumia picha za asubuhi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Wakubwa nina mtaji wa shilingi milioni mbili na nataka nifanye biashara. Je, biashara gani ninaweza kufanya kulingana na pesa hiyo? Nimetafakari sana ila nakosa kujua kwa usahihi biashara gani inanifaa. =========== SIMILAR CASES: =========== May 18, 2012: May 10, 2014: May 16, 2014...
  20. JamiiForums Tanzania USHAURI: kwa wasioamini maswala ya time travel

    Naomba niingie kwenye maada mojakwamoja, Ni baada ya kupitia mijadala kadhaa ya kitu kinachoitwa time travel nimeona watu wengi wakipingana na hii kitu, mimi binafsi bila ya lengo ya kujinufaida na faida yeyote ile napenda nikupe shuhuda na kukuomba pia uamini na ufanyie kazi kuwa hii kitu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…