Ninatoa ushauri wa bure wa mambo ya Tehama

equator

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
209
123
Je, una swali kuhusu mambo ya computer? ama Tehama kwa ujumla yani (Information Technology?).

Basi naomba nikukaribishe iwe maswali kuhusu printer, computer gani nzuri?, Naweza kufanyaje kwa ajili ya suala fulani? .

Mambo ya website mambo ya mitandao ya jamii.

Nitafurahi sana kuona maswali yako!.
 
Naweza kufanyaje kuset IP address kwenye computer? Je, tatizo la internet kwenye computer sababu ya IP address kukosekana?
Maana computer mpya Ila internet haikubali
 
Mimi nina priter ya hp deskjet f4580 ambayo ina support wireless, hii printer nilipewa ikawa haina wire wa kuleta kwenye pc, na sina cd yake kwa ajili ya instalation sasa. hivyo nikaamua kutafuta setup zake online lakini imekataa kuleta signal kwenye pc. sasa nifanyeje ili niweze kuitumia hii prtiner??
 
Mkuu swali lako lina changanya. Unataka kuset Ip ama? Una tatizo la internet kwenye pc yako?
 
Mimi nina priter ya hp deskjet f4580 ambayo ina support wireless, hii printer nilipewa ikawa haina wire wa kuleta kwenye pc, na sina cd yake kwa ajili ya instalation sasa. hivyo nikaamua kutafuta setup zake online lakini imekataa kuleta signal kwenye pc. sasa nifanyeje ili niweze kuitumia hii prtiner??
Asante mkuu nimekuelewa . Sasa swali langu kwako ni ume fanikiwa kuinstall hiyo application kwenye computer yako?
 
Mimi nina priter ya hp deskjet f4580 ambayo ina support wireless, hii printer nilipewa ikawa haina wire wa kuleta kwenye pc, na sina cd yake kwa ajili ya instalation sasa. hivyo nikaamua kutafuta setup zake online lakini imekataa kuleta signal kwenye pc. sasa nifanyeje ili niweze kuitumia hii prtiner??
tumia simu kupitia hp smart app
 
Mimi nina priter ya hp deskjet f4580 ambayo ina support wireless, hii printer nilipewa ikawa haina wire wa kuleta kwenye pc, na sina cd yake kwa ajili ya instalation sasa. hivyo nikaamua kutafuta setup zake online lakini imekataa kuleta signal kwenye pc. sasa nifanyeje ili niweze kuitumia hii prtiner??
Nenda Google search "HP Deskjet f4580 driver" nenda kwenye tokeo linalokupeleka kwenye HP support then utaambiwa udownload dricer, shusha mzigo alafu instoal kwenye compute yako kwa kusoma maelekezo sehemu ya mwisho utaulizwa unaconect kwa cable? Skip au Kama itakuletea ijiconect automatic au manual we chagua manual then Hapo ndan utakuta option ya waires na cable, chagua ya waires utasearch hiyo printer ip address then utaiselect hiyo unaconect but lazima hiyo printer iwe imeconectiwa na internet na huwa inatumia local area network I think
 
Back
Top Bottom