Kwa hali ilivyo huyu makamu mwenyekiti wa chadema anaweza kuuwawa.
Kwasabau alichukuliwa katika viwanja vya mahakama na mpaka sasa hajafikishwa tarime ni vyema mkafungua shauri mahakamani Haraka sana .kwa hali ya sasa zikipita siku 2 au 3 wanaweza kumpoteza. Hali si nzuri Tena kwa sasa
Poleni...
Heloo jf
Nimeamka leo hii nikajikuta nikiwa katika hali ya tafakari sana!🤔🤔🤔🧐
Nimejikuta natafakari matokeo ya vita vya Kongo!🤔
Nikitafakari pia vita vya Rwanda!😤
Nikitafakari vita vya urusi na ukrein!🤯
Nikitafakari vita vya israeli na palestini!🥵
Mwisho nimejikuta nazama zaidi kuitafakari nchi...
https://youtu.be/zrupDG6XOqw?si=Fm1UfLmdpaNqo-7c
Anasema:
1. Watanzania mwombeeni Rais wenu Samia Suluhu Hassan na serikali yake kwa ajili ya usalama wa nchi..
2. Kitendo cha Rais Samia Suluhu Hassan kufungia kanisa ili lisiabudu Mungu aliye hai ni jambo la hatari sawa na kucheza na waya...
Kutokana Hali ya kiuchumi Ninayo Iona naishauri BOT kutengeneza noti za TSH elfu 50 laki 1 na elfu 30
Noti ya elfu 10 imeshuka thamani huenda ikapotea kama TSH 50 na na zingine zingine
Maana ndani ya miaka mitano ijayo elfu 10 itakuwa Haina thamani kabisa
Kuna kila dalili huenda wakajitokeza wachache wakakamatwa au wasijitokeze kabisa.
Baada ya 29th October itakuwa wakati mzuri wa wanaharakati wa Tanzania kukata tamaa.
Watanzania inabidi waachwe kwenye mateso na changamoto ambazo zitaamsha akili zao bila kuwepo yeyote wa kuwasemea.
Idadi ya...
Utangulizi
Mheshimiwa IGP Camilius Wambura,
Huwa nafuatilia utendaji kazi wa Jeshi la Polisi siku hadi siku. Matamko yako yote huwa nayasikiliza na kuyachambua pia.
Barua nyingi zinazoandikwa na Msemaji wa Polisi, David Misime, ziko vizuri na hubeba weledi wa hali ya juu.
Hata hivyo...
Naziomba mamlaka na watu wamemshikilia Pole pole wasimdhuru yes wanaweza kumdhuru na hakuna wakusema neno ila damu yake italitesa Taifa itawatesa walio panga, walio shauri , walio toa tamko walio pokea mpaka watakao tekeleza hayo ndio maono Mungu ananionyesha.
Mbaya zaid haitozima uwasi ila...
Kama baba wa familia, kijana,mke, au kiongozi wa familia nunua vyakula weka ndani hasa wale mlio zoea kununua mchele kilo moja kila siku nunua vya kula vya mwezi mambo yana weza badirika watoto wakafa njaa
Unaenda kupambana njee uko lakini una jua familia yako ina chakula cha kutosha ata wewe...
Juzi 1/10/2025 nilitoa fedha kwenye ATM, hata hivyo pamoja na fedha kutoka kwenye AC yangu fedha hiyo haijatoka kwenye mashine.
Fedha hiyo nilitakiwa kulimlipa mdeni amabaye ananida, pamoja na jitihada za kuwasiliana na Branchi husika na kupiga simu kitengo hiduma kwa wateja bado fedha hiyo...
Wadau mi ni mtu mzima wa miaka 29,
Kuna binti nilikuwa na mahusiano nae mpaka tukaanza kuishi pamoja.
Kabla ya kuishi pamoja nilimpa ujauzito kwao wakaja kujua, binti alifokewa na kwao walimkataa asiende baada ya kumaliza chuo, Nilimhudumia ujauzito Lakini Mungu akasaidia kwao wakarudisha moyo...
Ni wazi safari imeanza Rasimi, Ndugu zangu Watanzania hii ndio nafasi pekee tuliyonayo ya kuwaondoa Hawa wahuni !!.
Wee Kijana Usiyekua na Ajira
Wee mwenye Ajira lkn mishahara haiendan na hali ya Maisha.
Wee unayehangaika na Usafiri Dar huku Abdul, Kijana wa Angela , Kijana wa DGIS, Vijana wa...
Wakuu habari,
Kama kuna mtu anahitaji uboreshwaji au ushauri au kuwekewa features mpya kwenye website yako au app unicheki nasaidia vitu kama hivyo hata bure.
Kwa wale wanaohitaji kutengenezewa website mpya pia mnicheki tufanye kazi malipo sawa na bure tu.
WhatsApp 0681564388
Asante sana!
Huwezi shindana na tundu linalofyatua mafuvu ya kila Aina.
Kimapana na kimarefu huwezi.
Tafuta pesa kula mlo Safi(IKIWEZEKANA WA ASILI) fanya mazoezi jipende penda familia yako (KAMA UNAYO)ishi kwa furaha.
Vibamia ni neno la kuwadhoofisha vijana kifikra wasijikubali walazimishe kidole kizame...
Baada ya kudumu miaka 9 kwenye ndoa, mimi na aliyekuwa mke wangu tumeachana rasmi Leo Mbele ya ofisi ya serikali ya kijiji cha Malangari
Tumegawana mashamba pamoja na ng'ombe tuliokua nao lakini watoto amebaki nao
Hakika
Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi 2022 kwa Wasanii ambapo jumla ya wasanii ni 96,727
Tanzania bara 88,365
Zanzibar 8,362
Mkoa wa Dar es salaam umeongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya wasanii wapatao 25,262.
Wanufaika zaidi na mfumo hawazidi 100 (0.113%)
Tanzia Mkoloni
Kaka zangu na dada Zangu habari
Yule mwanamke amekuja jana getoni kwangu na ameniomba msamaha kwa kunichiti pia anashida ya laki Tano
Naomba ushauri nimpe na nimsamehe
Habari?
Niende moja kwa moja kwenye point...
Nimejichanga nimepata mtaji wa kiasi cha millioni 10 nataka nifanye biashara moja kati ya hizi ambazo ni duka la vifaa ya pikipiki au duka la electronics hapa ni vile home applience yani TV ,FRIDGE, REDIO, FAN nk...
Kwa upande wa location nipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.