usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Ni nchi gani Mkuu wa usalama umewahi kuteuliwa Balozi tofauti na Tanzania?

    Ni kawaida kwa viongozi wakubwa nchini wanapoteuluwa kuiona fursa ya uteuzi nakusau umuhimu wakulinda na kuhifadhi hadhi ya juu aliyopewa. Kumteua mkuu wa usalama kwenye cheo chochote kunatua dosari nafasi hii. Narafakari Ni nchi gani imewahi kumteua mkuu wa usalama kushika nafasi ya ubalozi...
  2. ErlangB

    JamiiForums Tanzania Tushare experience, Ulinzi na Usalama

    Wadau kama title inavyoonesha, naomba kila mmoja mwenye taarifa afanye kutupa experience alipataje nafasi ya kujiunga na vyombo vya ulinzi na usalama ndani ya nchi yetu Tanzania. NB: Mimi nimelitumikia jeshi la kujenga taifa miaka mitatu lakini sikubahatika hata kupata nafasi ya kufanya usaili...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Nitarudi nyumbani ikiwa Rais Samia ataahidi kuwa nitakuwa salama nikirudi nyumbani

    Aliyekuwa mgombea wa urais wa Tanzania mwaka 2020 kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amesema kwa sasa CHADEMA agenda yao kuu ni Katiba Mpya ambayo wataendelea kupambania kama chama. Aidha amesema mapambano ya Katiba Mpya anaweza kuyafanya nchini ikiwa Rais Samia atamuita na umhakikishia usalama...
  4. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Tunataka kurudishwa Misri tulipolishwa makombo na mifupa huku nyama ikiliwa na wachache

    Mtume Musa baada ya kuwatoa waisraeli Misri aliua sana. Mungu pia aliua sana, alifikia hatua akataka kuwaua Waisraeli wote akamwahidi Musa akisema nami nitakufanya wewe Taifa kubwa na lenye nguvu kuliko wao. Kwanini? Kwasababu walikuwako "hardliners" na waliobobea waliokuwa wakifaidi makombo ya...
  5. SueIsmael

    JamiiForums Tanzania Amani na Usalama: Mitazamo yetu

    Wakuu, Kwa muda mrefu tumekuwa tukitumia hii misamiati katika maisha yetu: "amani na usalama". Hata hivyo ni dhahiri kuwa jinsi tunavyofafanua misamiati hii katika maisha yetu ya kila siku, kunaweza kuwa na utofauti. Tunaposema kuwa tunaitakia nchi yetu amani na usalama, je tunamaanisha...
  6. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Serikali kufunga kamera za usalama maeneo mbalimbali ili kupunguza uhalifu

    Serikali imedhamiria kufunga kamera za usalama katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dodoma kwa lengo la kupunguza uhalifu ambao umeanza kushamiri katika maeneo ya jiji hilo baada ya Serikali kuhamia Dodoma huku wimbi la watu likichagiza hali hiyo ya uhalifu. Hayo yamesemwa leo na Mkuu wa Mkoa wa...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Usalama wa Watoto Mitandaoni: Hatua ambazo Mzazi anaweza kuchukua

    Kumfundisha Mtoto kuhusu hatari za Mtandaoni anazoweza kukumbana nazo pamoja na namna ya kuziepuka au kuziripoti ni moja kati ya hatua muhimu kuhakikisha usalama wake Angalia historia ya kile mtoto anatafuta mtandaoni mara kwa mara. Pia inashauriwa kuweka kifaa anachotumia sehemu ya wazi ili...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aachane na mtindo wa kuhutubia njiani; hauna tija na ni hatari kwa usalama wake

    Mwendazake ndiyo muasisi wa mtindo huu usiofaa wa kuhutubia njiani (naona Rais Samia naye anaufanya Mwanza). Rais anapaswa kutoa hotuba kaatika eneo lililoandaliwa vema kiulinzi na kiusalama siyo kusimama majiani. Kusimama na kuhutubia njiani ni hatari kwa usalama wa rais (rejea tukio la hivi...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Rais Buhari akiri kushindwa kumaliza hali tete ya usalama

    Rais Muhammadu Buhari amekiri kushindwa kumaliza hali tete ya usalama Nchini humo, ahadi ambayo alitoa alipochaguliwa mwaka 2015. Kauli yake imekuja wakati baadhi ya Wananchi wakiandamana kuhusu Usalama Nchini Nigeria. Kundi la Boko Haram limezidisha matukio ya ghasia miezi ya hivi karibuni...
  10. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Ndoto yangu ya kufanya kazi Takukuru au Usalama naona imekufa rasmi, nasikia sauti ya kuwa mchungaji ikiniita

    Habari wadau! Wakati nasoma niliwaza sana kuwa mtu wa system au Takukuru coz kipindi hicho nafasi zilikuwa zinatolewa wazi za kuwa Takukuru. Nakumbuka jamaa yangu mmoja nilimpigania akaingia polisi, mwengine akaingia magereza ila mimi niliwaambia nyie nendeni mimi nangoja za Takukuru au...
  11. Bepari la bariadi

    JamiiForums Tanzania Kuna tahadhari za kuongezeka matukio ya ujambazi na unyang'anyi, mamlaka husika zimeshindwa?

    Pasipo kumung'unya maneno Hali ya usalama wa raia na Mali zao imetikiswa kwa kipindi hiki, matukio ya ujambazi, unyang'anyi, ukwapuaji, na ukabaji yameendelea kushamiri sasa licha ya kuwepo na matamko mbali mbali kutoka kwa wenye dhamana na usalama wa raia. Kama halijakukuta Basi fanya simple...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Je, Mahabusu zetu zina vyumba maalum (VIP) kwa watu maarufu kwa usalama wao?

    Kutokana na maisha kuwa na mapito mengi, hata watu maarufu katika jamii wanajikuta hatiani. Mfano wanasiasa, wafanyabiashara maarufu, wasanii, wachezaji, machifu nk. Je, watu hawa wakiwa Mahabusu huku kesi zao zikiendelea, huchanganywa na wafungwa? Je, wanakula chakula cha gerezani ilihali...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Askari huyu wa Usalama Barabarani anayeongoza magari kwa mbwembwe anafurahisha wengi

    Kuna huyu trafiki anaeongoza magari kwa mbwembwe(huku anachezacheza) anaonekana kuvutia na kufurahisha watu wengi. Sijui ndio kuipenda kazi yake au laa, ila anachofanya ni kuwafanya watu wengine wanaomuona kupenda kazi zao hata kama wanazifanya katika mazingira magumu kwani anaonesha kuipenda...
  14. laurentie

    JamiiForums Tanzania Kwa usalama wa chombo chako cha moto fikiria Blackhorse Africa

    Blackhorse africa ni kampuni ya kisasa yenye uwezo wakukuondolea wasiwasi wa magri yako bajaji, pikipiki na trecta, kwa teknolojia ya kisasakabisa unaweza ukakiona chombo chako cha moto kupitia simu yako popote ulipo unaweza ukajua spidi yake, unaweza ukajua kipo wapi, kimesafiri umbali gani na...
  15. laurentie

    JamiiForums Tanzania Mahitaji ya kamera kwa majumbani na ofisini

    Kwa usalama wa nyumbani na usalama wa ofisi yako Black Horse Africa tupo kwaajili yako. Tuna kamera za kisasa zenye uwezo mzuri wakuona hata kizani bila kupoteza taswira halisi Karibu tukuhudumie .gharam zetu ni nafuu sana wamasiliano 0782719980
  16. Mashashola

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Samia Suluhu Personal Security is Porous

    Women empowerment inalazimishwa mahali haifai. This people are just trying to copy what men normally do but in a dangerous exaggerated way. The Head of presidential security Tanzania Mwenye amepanga hao wanawake is doing a great injustice to Suluhu. Don't put too many women around the...
  17. Kishimbe wa Kishimbe

    JamiiForums Tanzania Bandari zetu nazo ziwe chini ya Ofisi ya Rais kwa Usalama wa Taifa

    Naona sasa ni muda muafaka bandari zetu zikawa 'monitored directly' kutoka ikulu na special branch of IT graduate and highly motivated TISS operatives. ... hii itasaidia kupunguza safari za kushtukiza ambazo, naanza kuona, hazileti tija yeyote katika kudhibiti upigaji na kuongeza ufanisi! Picha...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Akutana na Rais Mstaafu wa Nigeria, Olesegun Obasanjo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani amekutana leo na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Nigeria Oluseguni Obasanjo. Taarifa zaidi kutolewa ======== Rais wa Jamhuri ya Muungano leo Mei 3, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Nigeria...
  19. OLS

    JamiiForums Tanzania Je, Vyama vya wafanyakazi vimeshawahi kuzungumzia Usalama mahala pa kazi

    Ni kweli kwamba mishahara huongeza ufanisi wa kazi, lakini usalama wa kazi huongeza vitu vingine ikiwamo kuepusha majanga ambayo yangepelekea mtu kulazwa hospitali kwa muda mrefu ambayo kwenye long run inapunguza utendaji kazi. Tunaweza sana kuheshimu mishahara lakini nikitazama mazingira...
  20. mngony

    JamiiForums Tanzania Moja ya picha adimu sana ya wakuu wetu wa Ulinzi na Usalama

    Baada ya huzuni ya mwezi mmoja, sasa wanaendelea na majukumu yao kwani Taifa la watu mil 60 liko chini ya uangalizi wao, Ukubwa ni dawa. Sijui nini kilichowafanya wazee hawa angalau wakacheka.
Back
Top Bottom